





Picha zote na
Paul Mzungute wa Globu ya Jamii A-Taun
Paul Mzungute wa Globu ya Jamii A-Taun
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi hiyo picha yenu ingekuwa nzuri kama siyo yale matipper migongoni kwenu au ni mapickup yale. Kwa kweli ni eye sore. Wadau wengine wanasemaje? Hata hivyo nimefurahi kusikia kuwa ATC imeanza safari za kwenda Arusha. Maana Precission walikuwa nyodo nyingi. Hata hivyo ATC better watch out kwa vile wanahujumiwa sana. Hiyo sekta ya Arusha ina biashara sana. Hongera sana ATC. Hivi David Mataka yuko wapi siku hizi?
ReplyDeletewaambie hao mabosi wa twiga mzembe waweke angalia taarifa muhimu kwenye wavuti yao
ReplyDeletehttp://www.airtanzania.com/
shame!
Mwanzo mzuri, hatukuwa na sababu za msingi za kutoboresha shirika letu la ndege!
ReplyDeleteSIDANGANYIKIII! SITAKUJA KUSAHAU JINSI ATC WALIVYONIHARIBIA KAZI YANGU WALIPONIKALISHA AIRPORT MASAA 8, TOKA SAA 11 JIONI HADI SAA 7 USIKU KUSUBIRIA SAFARI YA ARUSHA!ILIKUWA NI APRIL 2008. TOKA SIKU HIYO NILIAPA MAISHANI MWANGU KUTOPANDA ATC TENA AS LONG AS PRECISION AIR IPO. KU-CANCEL AU KU-DELAY FLIGHT NI JAMBO LINALOTOKEA KWENYE KWENYE USAFIRI WA ANGA LAKINI MUHIMU NI KUWAPA TAARIFA ABIRIA MAPEMA ILI WAJUE CHA KUFANYA. ATC TAARIFA WANAZITOLEA AIRPORT MTU UKIWA UMESHA-CHECK IN, NA SIKU HIYO NAKUMBUKA WALITUKIMBIA KABISA ABIRIA, HAKUWEPO WA KUTUPA UPDATES KWA MUDA HUO WOTE. HATA MLETE NDEGE 200 UBAYA WA CUSTOMER SERVICE YENU UTAZIDI KUWADIDIMIZA.
ReplyDeletemsaada tutani! katika picha ya chini kabisa, je hilo gari lililonyuma yenu ndio gari la fire la uwanja wa arusha?
ReplyDeleteKwakweli bado tuna kazi kubwa. Yaani kandege kamoja tu hako kutua eapoti ni sherehe mpaka na wakuu wa mikoa! Hivi hii ilikuwa lini hata kwa nchi kama Singapore?
ReplyDeleteMara Byarushengo, Kagirwa...it sounds like wale wale wa nyumbani..
ReplyDeleteAnyway.....ATC need to put their act together. The statusquo is completely unacceptable. Why can't the company run itself profitably...why and why?
If the expenses are higher than revenues..then someone has to tell why?
kaka mithupu nani alikuwa pilot wao? mbona mnawabania marubani jamani? hebu wapeni shavu na wao.. khaa..
ReplyDeleteAWWWW I can imagine huko angani ni mapanga sha sha sha tu precision na ea danganyika mmhh shida hapo washindane kwenye customer care maana wote minyodo mingi.ni hayo tu mithupu usinibanie.asante
ReplyDeleteMichuzi na we kwa kunusa! Kila Shughl umo tu. Khaah!
ReplyDeleteYaelekea tentakolz zako kali kweli zinanusa kila mnuso.
Halafu kumbe konozzz hauko peke yako.
Si unacheki huyo jamaa mwenye shati jeupe ne suruali ya kijivu alivyomkonozz huyo bint?
N NA HUYU DADA HAPO KABEBA TRAY LA MAANDAZI AU? KWELI SHIDA, HIYO SIYO NDEGE NI HELICOPTA HUKU KWA WABEBA MABOX! HAPO SASA JIONI NI PARTY YA NGUVU NA UKUMBI USHAKODISHWA TAYARI< POLENI WATZ.
ReplyDeletembona nimesikia jamani kampuni imebinafsishwa kwa mchina na wafanyakzi wote wamesimamishwa kazi na kulipwa marupurupu yao?
ReplyDeleteHaya yetu macho tusiongee vibaya saaaaaaaaana kumbe mambo murua!
ReplyDeleteKaaazi kweli kweli, duh mtoto wa shule alikua anapata 70 halafu akapata 2, leo amepata 3 tunafanya sherehe kuuuubwa....... hatutafika ng'o!
ReplyDeleteClouds FM yatusaliti!
ReplyDeleteThe whole week PJ wa Power Breakfast (clouds FM) alikua anatembelea migodi ya Barrick. Akaja na bla bla bla kwamba wamepeleka maendeleo katika vijiji vilivyo zunguka migodi. Mie nimemuona yeye na waliemtuma kwamba ni wa puuzi. Sababu ni hizi:
1. Mikataba ya migodi ni mibovu
2. Tunapata ONLY 3% from revenue ya madini
3. Migodi imetililisha sumu katika mito kama Tighitte na watu pamoja na mifugo imekufa
4. Watu waliwahi miminiwa risasi na walinzi wa migodi na wengine waliuwawa na hamna aliekamatwa kwa kuua.
Leo hii PJ na Power Breakfast, niseme Cluods FM wamesimama na kufagilia migodi ya walanguzi. Hii ni haki? Si ni usaliti huu?
PJ, unadhani hatujui kwamba ulikaribishwa na wana Barrick, ukalipiwa malazi na ukapandishwa ndege yao, unategemea sisi tutaamini kwamba utawaponda? Hao jamaa wanafanya PR ili tuwaone niwasafi na wanatusaidia. Hamna kitu. Ni capitalist wanetaka kupata faida lukuki ya madini na watimke baadae na kutuachia mashimo. Mimi na wewe PJ tutabaki hapa hapa TZ.
Ukasema te kwamba eti hatuwezi kuiendesha migodi sababu gari moja inayobeba mchanga wa madini linaizwa $1,000,000. Tujilize, walieiba hela kupitia Kagoda waliimba liasi gani? Tsh. 40,000,000,000. Hizo hela zinaweza nunua migari hiyo mingapi? Na Liyumba je? Anashutumiwa kuiba Tsg. 220,000,000,000, nae angenunua migari mingapi? Sasa nikuulize PJ, hao jamaa wa Barrick, hizo investment wanatoa mifukuni mwao au wanakopa? Sisi hatuwezi kukopa au kuiba BOT kuka invest katika migodi yetu?
Huu ni ujinga watu kama PJ na watawala wengine wanataka tuamini kwamba hatuna uwezo wakuchimba madini yetu. Nakataa.
Ombi langu kwako PJ na wana Clouds wenzako nikwamba, waTZ waleo sio mbumbumbu. Tunaelewa. Tunachambua na tunatafari. Huwezi tupumbaza kamwe.
Mjadala unaendelea.