

Kwa wale wajasirimali,wanaopenda kuwekeza kwenye usafirishaji ,basi linauzwa.Bei ni Tsh milioni 65, imelipiwa ushuru,imesajiliwa,comprehensive insurance,kibali cha Sumatra,ina uwezo wa kubeba abiria 96,AC,nk.
Maker : Mitsubishi Fuso
Year : 1999
Mileage : 140,000KM
Transmission : MT
Wasiliana nami simu; 255 22 2 77 1316
E mail : manchesterguy100@yahoo.co.uk
Maker : Mitsubishi Fuso
Year : 1999
Mileage : 140,000KM
Transmission : MT
Wasiliana nami simu; 255 22 2 77 1316
E mail : manchesterguy100@yahoo.co.uk
Watu 96? Hilo Ikarus au Famagusta?
ReplyDeletewewe anony wa kwanza unashangaa nini hilo dude kubeba watu 96,ili hali kipanya kinabeba hadi mtu30?
ReplyDeleteBasi la size hii lina beba watu 46 na siyo 96.
ReplyDeletemchuma mzuri but mayai! mil 65 du? very risk
ReplyDeleteWe anonymous wa hapo juu......Biashara bila ku risk haiwezekani.........husivunje watu moyo!!!
ReplyDeleteOK, kumbe mayai, u-Fuso ulinivutia kidogo.
ReplyDeletemillioni 65 biashara yenyewe ni daladala MAJEMBE,SUMATRA,TRAFIC,TIGO,TRA,DEREVA na KONDA WAWILI wote wanakula hapo italipa kweli? du inahitaji moyo sana.
ReplyDeleteKama Utahesabu vizuri hizo siti hata watu 38 hawafiki humo ndani sasa nyie mnaosema 96 kuna kupakatana ama? Na huyu anaenadi hilo basi hajui sio kila mnunuaji analihitaji kwa sababu ya kufanyisha usafiri wa dala dala, mnunuaji anaweza akalinunua labda kwa sababu ya timu, au likawa basi la ofisi au school bus yeye kawahi tu 'LINAPAKIA WATU 96"...PEOPLE THINK OUT THE BOXX..!!
ReplyDeleteBasi zuri ila rangi mbaya, ila nakusifu kwa kuandika bei maana sisi wabongo wengi huwa tunaandika namba za simu tu.
ReplyDeleteKuna watu humu ndani wanachanganya mambo, akisema linabeba watu 96 haimaanishi wanakaa kwenye viti watu 96, na wala hata mwandishi hajaongelea 96 seaters! Huenda anamaanisha kuwa ofcourse kuna viti around 32~ 36 na ukiweka na watu wanaosimama, maana huwa zinakuwa na sehemu kubwa kwa ajili ya watu kusimama ndo inafikia idadi hiyo au hata zaidi.
ReplyDeleteBROTHER SI UNGEANZIA MSIMBAZI KWANZA WALE JAMAA SIDHANI KAMA WANAWEZA KULIACHA KWA SABABU RANGI ZAO HIZO. BASI LITAWAFAA SANA KWA SAFARI ZA MIKOANI.
ReplyDeleteWe anon wa Mon Dec 14 10:01:00 PM usisahau na Ngedere gari nao wapo kwenye kukatiwa chao na dereva teh teh teh lol
ReplyDeleteMmh, mail 140,0000 tu, mbona jipya sana???? Kwanini unaliuza!!!! Mnhu, machaaaale.
ReplyDelete