Home
Unlabelled
calender song ya boney m
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
UMEWAONA HAO SIKU HIZI NI WAZEE, SIKU HAZIGANDI, NILIBAHATIKA MWAKA JANA KUWAONA BONN GERMANY TULIGONGANA KWENYE HOTEL MOJA HIVI NI WAZEE.
ReplyDeleteboney m ni kati ya makundi bora kabisa ya muziki kuwahi kutokea katika karne hii big up
ReplyDeleteKaka asante sana kw akuleta kitu hicho. Kinanikumbusha enzi za RTD akina Julius Nyaisanga, Charanga Boss, na wenzao wote wa wakati ule walikuwa wakija na vitu vya wakati ule. Boney M ni kundi ambalo lna sifa ya kipekee kwingineko duniani lakini USA hawalikumbuki wao na wanamuziki wao 2.
ReplyDeleteAhsante ankoo nanihii kwa kutumbusha za late 70's early 80's Boney M ni mai favorait, mdau USA
ReplyDeleteu have remind me of my late ma who was really in love with bon m and made me love them too though i was a little girl,mdau
ReplyDeleteNani alikuwa zaidi kati ya Boney M na ABBA
ReplyDeleteAnkal, ni wapi naweza pata kanda ya hizi nyimbo? i luv them. Please wadau, msaada kwenye tuta.
ReplyDeleteMdau