Home
Unlabelled
cheka unenepe: tofauti ya obama na brown...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mr. Brown ni rimbukeni tu
ReplyDeleteBrown baada ya kuona jamaa ni mbantu akaakataa kumpa mkono mbaguzi
ReplyDeleteni kawaida ya waingereza wanatamani watu weusi msiwepo kisiwani mwao lakini hawana jinsi maana wao wenyewe ni wahamiaji hapa kisiwani. Wanakuonyeshea plastic smile kumbe miyoni mwao tofauti hivyo sishangai pengine kaona obama katoa mkono yeye akaona ajisheue kwa kutoa salamu tu ili aonyeshe si mbaguzi
ReplyDeleteTusimlaumu Brown bure. Kiprotokali hawa askari waharuhusiwe kusalimia kwa kushika mikono ya viongozi. Obama yeye mara nyingi huwa anasalimie tu kama kawaida. Kama alivyomsalimie Mfalme wa Saudi Arabia kwa kumbusu mkono na hivi karibuni pia kwa mfalme wa Ujapani. Hata hivyo wamerikani ambao makosevantive wahakufurahishwa na vitendo hivyo. Kwani wanadai rais wa marekani hawazi kumsujudia mfalme.
ReplyDeleteObama is just trying to make it easy.
Just enjoy the clip guys, what is all the fuss?!
ReplyDeleteUnajua sisi watu weusi tunashida sana. Tunakuwa tunalopoka tu bila maana yoyote. Unajua Naomi Campbell kuja Tanzania ile ni project ya nana Mke wa Brown na amezaliwa Dodoma, Tanzania kama hamjui.
ReplyDeleteSasa yeye iweje amchukie mtu mweusi si angemkataza hata mke wake asijihushishe na mambo ya kusaidia wakinamama wanaojifungua kwa eaabu kwenye za watu weusi kama Tanzania.
Pili siyo kila mwingereza ni mbagusi please change your mentality mwananchi la sivyo hatutaendelea kabisa.
Brown alikua hajui anachofanya, alikua anafata lichofanya Obama bila kufikiria (tunafanya mara nyingi ukiwa unatembea na mtu hasa wakati wa kuvuka barabara), sasa akashtuka kuwa protokali hairuhusu wakati mwili wake ushafika karibu na mlinzi na mkono ushaanza kutoka....so funny! LOL!
ReplyDeletemdau jiang uko "SPOT ON" mr brown alikuwa kwenye auto mode,protocal hairuhusu ila obama yuko easy going sio mtu wa kufuata kitabu ndio maana ameshake hand vilevile brown hapo ni nyumbani na ofisini kwake labda alimsalimia asubuhi alipotoka sasa akakumbuka...but its so funny
ReplyDelete