Kisura wa Tanzania 2009 Diana Ibrahim (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Jaquiline Benson (kulia) na Mwajabu Juma aliyeshika nafasi ya tatu mara baada ya kutangazwa washindi katika shindano lililofanyika kwenye Hoteli ya Movenpick, Dar es Salaam, juzi.
Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Michuzi acha utani bwana...

    ReplyDelete
  2. Hivi sijaelewa, ina maana kila Kisura lazima afanane na Alec Weck?
    Ina maana hawa dada zetu warembo kwa standard za Mwafrica wa kileo hana na fasi kwenye kisura?

    ReplyDelete
  3. i gues vigezo vya urembo Bongo ni tofauti kabisa na duniani thats why hata mashindano yote ya urembo world wide waga tuko nje ya mstari kabisa.....

    ReplyDelete
  4. Kwakuwa majaji wameamua kuwa hao ndio washindi basi lazima tukubali..tukizungumza kinyume na hapo ni majungu,tunawapongeza washindi wetu

    ReplyDelete
  5. mh hii kali sasa n its too much!mashindano mengine yasitishwe kama mmekosa kabisaaaaaaaa warembo!KISURA indeed!

    ReplyDelete
  6. huyo mrembo balaaaaaaaa
    kweli tz tumeishiwa warembo

    ReplyDelete
  7. duh hii noma..nilijaribu kupunguza makali kwa kuwakubali warembo na majaji ila kusema ukweli waosha vinywa wamenishtua na mimi nakubaliana nao kuwa kama hawa ndio visura wa bongo kweli bongo visura kwishinehi...

    ReplyDelete
  8. ndio maana tz hatutakaa tuendelee n'go, hebu watayarishaji wa mashindano haya tafuteni darasa kwanza msome, mjue ni nini kinahitajiwa kuwa mrembo wa mahali popote, ndio mje muandae mashindano haya, elimu muhimu kwanza kwa waandaaji, la sivyo jitoeti kabisaaaaa muache kuibia watu hela zao. au kakodisheni warembo kwingineko duniani. lo aibu kwenu wote.

    ReplyDelete
  9. They are not serious.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...