Wapenzi Wasomaji,
Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru!
Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru!
Zanzibar na Mapinduzi ya Afrabia, si kitabu tu bali ni changamoto ya kuujenga upya msingi wa Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano na Tanganyika.
Tupia jicho kiungo kinachofuata na kuwa tayari kukipokea kitabu kwa lugha ya Kiswahili ambacho kitairudishia nuru ya macho jamii ya Kizanzibari na ya Kitanganyika, pamoja na wasomi, wanasiasa na watafiti, waliowekwa ndani ya giza nene la upotoshaji wa zaidi ya miaka 45 wa historia ya Mapinduzi ya Zanzibar na Muungano wake na Tanganyika.
Utaweza kuzipata habari za lini na wapi
utakipata kitabu ukijiunga na kiungo kifuatacho:
http://www.facebook.com/group.php?v=photos&ref=mf&gid=196157673651#/group.php?v=info&ref=mf&gid=196157673651
Natanguliza shukurani.
Harith Ghassany
http://www.facebook.com/group.php?v=photos&ref=mf&gid=196157673651#/group.php?v=info&ref=mf&gid=196157673651
Natanguliza shukurani.
Harith Ghassany
ona kiroja kingine iki!!!!
ReplyDeletentakuelewa ukisema Pemba Unguja na Tanganyika basi,khaaa utafikiri ni nchi kuuubwa si mjitenge???
Ukoloni bado upo kuliko ulivyokuwa, sasa hivi tumetawaliwa na mkoloni mweusi (Watanganyika). Ule wa zamani ulikuwa na barka nyingi sababu znz ilikuwa ipo juu kwa kila kitu but huu ukoloni mweusi umeiua znz sn sn. Ni kheri yule mkoloni mweupe kuliko mweusi usiombe daaaaaa.
ReplyDeleteyooooooo michuzi
ReplyDeleteyoooooo
ReplyDelete