AGNES KATHLEEN SHAURI

Mpendwa mama yetu leo umetimiza miaka miwili tangu ututoke Dec. 19, 2007.
Umeacha pengo kubwa ambalo halitaweza kuzibika. Unamkumbukwa sana na mume wako Bishop Shauri, watoto wako, wakwe zako wajukuu zako, ndugu zako wote ukoo wa Chipungahelo na Shauri na marafiki zako wote.
Ukarimu wako, ucheshi wako na moyo wako wa kusaidia watu hautasahaulika.
Umetuachia changamoto kubwa ya kuiga mfano wako wa kujitolea na kusaidia watu bila kuchoka.
Uendelee kupumzika peponi mpenzi wetu mama.
Tunaamini umetuachia maandiko haya ili yatufariji 2 Timothy 4:7-8
Amen

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Rest in peace.
    Siamini miaka miwili imepita
    Tunajua uko pema peponi

    ReplyDelete
  2. Rest in peace Bibi Shauri. We love you but God loved u most. I remember ur kindness and cherishness when we came to Liuli with my late father back in 1999 with Habitat. May Godbless all the family and give them joy.

    Mjukuu wako wa Atlanta, Ga

    DK

    ReplyDelete
  3. mchuzi asante kwa kuweka makumbusho ya bibi yangu Agnes Shauri. i see that she have touched so many people. i miss and love her so mutch. but you know we are not ment to live on earth forever for now. when my time is ready i will see her up there with jesus.

    ReplyDelete
  4. Rip Bibi shauri,tulikupenda sana lakini Mungu alikupenda zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...