Canadian diplomat arrested in Tanzania

High commission staffer allegedly spat at police officer and TV journalist
Tanzanian police arrested a Canadian diplomat Wednesday on accusations he spat at a police officer and a TV journalist.

Jean Touchette, first secretary at the Canadian High Commission in the African country, was arrested by police in Dar es Salaam, the country's largest city and commercial capital, after he allegedly spat at a senior police officer during an argument over a traffic jam on the outskirts of the city, according to Tanzanian newspaper the Daily News.

Touchette is also alleged to have spat in the face of Jerry Muro, a TV journalist with the Tanzania Broadcasting Corporation, when Muro went to the police station to interview and film the diplomat.

"And I asked him why was he doing it to me," Muro told CBC News. "And he said, 'I'm doing it because you are taking my pictures … and it's my privacy.' "

Muro said the diplomat insulted him, calling him "stupid" and "an idiot."

Touchette has diplomatic immunity and was not charged.

However, Touchette's case has been handed over to the country's director of criminal investigation for further action, the Daily News reported.

The Tanzanian government is reportedly considering whether to expel Touchette.

Robert Orr, Canada's high commissioner in Dar es Salaam, said members of his staff are investigating the case.

"I think we want to make sure we have all the facts before we reach conclusions about what exactly occurred and the full nature of the incident," Orr said.

"I think it's important to ensure that people understand that Canada holds its public servants and its diplomats to a very high standard of behaviour."

Foreign Affairs spokesperson Dana Cryderman said the department is aware of the situation and is gathering further information.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Michu, baadhi ya hawa watu bwana japokuwa tunakula na kucheka nao lakini moyoni mwao wanatuona sisi sio watu! Huko nyuma waliisha jaribu hata kuchoma kwa kibiriti ngozi ya Mwafrika ili tu kuona kama nayeye anaona maumivu kama mzungu! Wengine waliisha tafutia Waafrika wanawake mbwa na kupiga akifanya nae tendo la ndoa! Huu ni unyama na dharau iliyokirithiri sana. Na kitendo kama hiki angefanyiwa mzungu, sijui huyo Mwafrika angefichwa wapi maskini!!!

    ReplyDelete
  2. kila taifa lina wabaya na wazuri. Kosa hili lina ukosefu wa nidhamu na wala sio case ya ubaguzi wa rangi. Na kwa hatua hii nalipongeza askari polisi kwa kuchukua hatua hii ya kumfikisha kwenye vituo vya dula. Na kuongezea inavyotakiwa awekwe bayana kwenye vyombo vyao vya habari kwa ni aibu tosha kwa taifa lao kwa mtu kama yeye mwenye hadhi. ni ujinga mtupu alioufanya kwa nafsi yake kwani wapo wazuri kwenye taifa lao.

    ReplyDelete
  3. huju amefanya hivi makusudi kwavile anajua tanzania awawezi kufanya kitu chochote maana huu ni ubaguzi tu wa rangi sawa polisi labda waligombana sana je na mwandishi jeri muro hiyo ni dharau na inatakiwa ipingwe mara moja ingekuwa rais nyerere mi nafikiri angepewa masaa mawili tu aondoke hila serikali yetu hii ya sasa utaona yatakayojili maana tumezowea tunaogopa tutanyimwa misaada yao kitu ambacho kinatuathiri sana nchi yetu

    ReplyDelete
  4. PETER NALITOLELADecember 12, 2009

    NYINYI WATU MNANIITA HETI MIMI NDIO MBUMBUMBU, SIYO. NYINYI NDIO MBUMBUMBU. HAKUNA MUTU MWENYE AKILI TIMAMU ANAYEWEZA KUTEMA TEMA MATE OVYO KAMA KAMA NYOKA, HUYU MAMA TANGU MWANZO MIMI NILISEMA AMECHOKOZWA. MATRAFIKI WETU NI WABAYA SANA, SIYO TRAFIKI TU. POLISI WETU NI WACHAFU SANA NI MAFISADI MNO. HAPA WALITAKA KULA, CHAMBO IKATOKEA PUANI, MATOKEO YAKE WAKALA MATE. MIMI NAWAAMBIE TENA NARUDIA, NINGEMLIMSHA HUYO TRAFIKI HAJA KUBWA USONI, WALAI TENA. ILA SISI TUIVYO WAZURI WA KUROPOKA, ZIJUI MZUNGU FISADI, SIJUI MBAGUZI, KWANI MZUNGU NI KICHAA KUTEMA MATE OVYO OVYO. HUYU MAMA AMESOMEA MAMBO YA KIBALOZI PALE MUZUMBE CHUO CHA DIPLOMASIA, KWA HIYO NAMUUNGA MKONO, KWANI HATA RAIS WETU MAKINI JK PIA MASOMA DEGREE YA UCHUMI PALE MUZUMBE, PONGEZI MZUNGU

    ReplyDelete
  5. Peter,
    Tafadhali amka ulale! Maana haueleweki? Sijui upo bwiiii wewe?

    ReplyDelete
  6. i'll appreciate the authority will take major action against mr. dipromat to put him in prison for act he committed.

    ReplyDelete
  7. Peter nahisi wewe na huyo mzungu wote akili zenu ni ndogo kuliko za samaki,sijajua unazungumza yote hayo kwa sababu gani,kama hauna comments u better stay cool and angalia how intellectual can comment sio ilimradi tu. Usikurupuke!!!, alafu hivi wewe umetokea kijiji Gani?.

    ReplyDelete
  8. Michuzi bwana,kwa nini umewatuma wadau wa hii blog ya jamii kwenda kucomments kwenye CBC news website,wengine wanatia mpaka maneno ya Kiswahili

    ReplyDelete
  9. matrafic ni waonevu na tunahitaji wakuu wa polisi wajue ili ni waonevu na wanapenda rushwa mno, na hasa wakimkuta mwnamke, trafics wanapenda kunyenyekewa, na ni wazurikugeuza kesi na kukubandikia by the tamu ukweli wajulikana umeshosato na wamefurahi kukomesha kuna incidence niliona junzi tarehe 10/12/09, mtaa wa laibon oysterbay saa mbili, that was bad, polisi alimnyanyasa na kumharasi sana yule dada, nahani dpp, na wasimamizi mashtaka wanahitaji kuwa macho sana na kesi zinazopelekwa mahakani nyingi ni za kukuomoana, nchi haina haki.

    we need jicho la tatu

    ReplyDelete
  10. hakuna jipy kwa newz hii

    tuwekee suala lingine
    ao ndo wanaotulisha bongo

    ReplyDelete
  11. TUWEKE MASLAI YA TAIFA MBELE mate yasitufanye tusijengewe mabarabara,mashule na tusipewe mahela kwa ajili ya malaria na ukimwi.

    ReplyDelete
  12. Huyu officer wabalozi Canada wakisema wanamchukua wakamshtaki kwao Trafic na Jerry Muro watakua wameulamba manake itabidi wapelekwe Canada wawekwe kwenye five stars hotel walipwe allowances zote wakisubiria kutoa ushaidi na wakishinda kesi watalipwa mamilioni ya dollar kama fidia ya kuzalilishwa Dili hilo mwanangu.

    ReplyDelete
  13. Afisa Balozi hapelekwi korti ya Tanzania. Kwa vyo vyote, amesharudishwa kwao na wao wenyewe ndio watakayempiga bakora kama onyo, au kupunguziwa cheo au hata kufukuzwea kazi. Lakini ninavyowajua wazungu, sana sana atapewa onyo asirudie tena. Lakini Tanzania waiwezi kumhukumu klwa kuwa ana pasi ya KIbalozi. Endapo serikali ya Canada itakubali ahukumiwe ndio ataweza kupelekwa kortini lakini mara nyingi wazungu wanajua kuwa korti zetu zinachukua miaka kumaliza kesi na asilimia 100 kwa 100, hawakubali maofisa wao wapelekwe kortini nchi za kimasikini.

    Habari ya BBC inasema kuwa serikali ya Kanada imeshamrudisha afisa kwao.

    ReplyDelete
  14. Hata nasi tumekuwa wapole sana. Hawa wakanada kwa sababu ya misaada yao wanaona wannayo haki ya kutudharau. Serikali ilipaswa kumfukuza hata kabla yaharejeshwa hna nchui yake. Mbona tunaruhusu kuydhalilishwa hivi.Heri tufe maskini lakini kwa heshima kuliko kufadhiliwa kwa kejeli na dharau!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...