hellow mr. michuzi nimekutumia mail sijui kama umeipata na hope mzm kabisaaaaa

mi naitwa Lilian nafanya morogoro na nina besdei yangu ya kuzaliwa leo tarehe 27/12/2009 natimiza miaka 27 naona unirushe ktk Globu yako ya Jamii ya michuzi kama inawezekana ila sijui utaratibu wako unaendaje.

Sherehe inatafanyikia Maisha Club ya morogoro usiku huu. Na nakutumia picha zangu 2 utaangali ipi inafaa kuiweka na nakutumia na cake ya barthday please.... nategemea majibu kutoka kwako.

have a nice day!! mnakaribishwa woteeeeeee

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. Biashara Matangazo.

    Michu changamkia tenda hiyo, bahati haiji mara mbili (kama sikosei).

    Ilaaa, Morogoro hamna Gym?

    Haya, Happy Besdei to you, same to me.

    ReplyDelete
  2. lilly,you seem honest and lovable.Happy birthdate.
    Mdau uk

    ReplyDelete
  3. Nikitaka kukupa Happy Birthday bila ya wengine kusikia nitumie njia gani?

    (Mdogo wa US Blogger)

    ReplyDelete
  4. 27 ushapata mchumba, kama bado mie nataka kuongeza mke wa pili...happy bd Lilly.

    ReplyDelete
  5. LILLY NAOMBA NAMBA YAKO TAFADHALI, NAHISI WEWE NI MKE MTANZANIA HALISI

    ReplyDelete
  6. Torture Lily, Tooorture.

    Majibu ni +, usijali.

    ReplyDelete
  7. NImeondoka Moro siku nyingi daaa,hiyo Maisha club Moro iko pande za wapi..nahisi nikirudi Bongo nitakuwa Mgani kabissaa...Mji kasoro Meli jamani bahari ipo sana tu.
    Ausindile ...anoga.

    ReplyDelete
  8. Cute girl and seems very honest..... what else to say? Happy besdei Lilly, mungu akupe maisha marefu.

    ReplyDelete
  9. Huyo mtoto mzuri sana anafanya kazi internet cafe moja opposite na Matunda cafe.
    She is so beautiful, so humble na atakayeoa atabahatika sana

    Anoni Sun Dec 27, 03:12:00 AM Unayeulizia gym Morogoro ni mgonjwa wa kupunguza uzito ukiamini kwamba kuwa fidodido/mbu/mwembamba ndio uzuri.
    Kwa wengine na naamini hata yeye mwenyewe alivyo ni bomba sana-You sick and stop disrespecting watu na maumbo yao

    ReplyDelete
  10. we weee hongera lilain hepi besidei mungu akulinde akuongezee miaka mingine 80
    mdau canada

    ReplyDelete
  11. congrats Lilly.wishing u a loooong lastin life.
    well,jina la hiyo Club ni Four Stars bt rumor has it,wengi wanasema ni mkono wa Maisha Club.i was there ktk Grand Opening(July 2009).unfortunately,never been there after hivyo sina hakika kama iko sambamba na jina lake(4 Stars).

    ReplyDelete
  12. Sikukuu njema ya kuzaliwa.

    Hao wanasema juu ya umbo lako usikonde wala nini.

    Hawajui kwamba kuna watu wengi tu wanapenda sana umbo kama lako.

    ReplyDelete
  13. happy birthday dada Lily....it seems that u got attitude i like it(1 in a million)

    ReplyDelete
  14. Br. Michuzi,

    Kusema kweli huyu dada UMEMWONEA, siku zote watu wa maana wa mjni unaowaona wewe huweki kile walichokuandikia kwenye email akama kilivyokuja. Ukisoma hayo maelezo ya huyo dada kwenye email yake, kuna mengii hukutakiwa kuyaweka kwani ni kama kumzalilisha. yeye amekutumia email private kuhusu birthday yake, ungeweka tu kile alichotaka basi......hakukwepo na umuhimu wa kuweka email yake kama ilivyo anavyobembeleza....NA HII NDIYO MAANA KUNA COMMENT NYINGI AMBAZO HAZINA MAANA KUTOKANA NA ULICHOKIWEKA. INGAWA WENGI WAMEONA KUWA HUYU MTOTO ANAONEKANA KUWA NI MAKINI NA NI MKWELI. Kwa mtazamo wangu hana nia mbaya ya kujulikana wala kutafuta mume humu.

    NB: Br, kamamimi ninakuonea basi jiangalie birthday zoooote za wale watu mjini unaowathamini jinsi unavyozipa sifa na maneno mazuri ya kupamba. Imeniuma sana kama vile huyu dada ni ndugu yangu aua namfahamu vile....ni victim bila yeye mwenyewe kuelewa, na kamwe hato elewa labda.

    ReplyDelete
  15. nimependa sana hiyo keki.

    ReplyDelete
  16. Br. Michuzi,

    Nime-appreciate jinsi ulivyorusha comment yangu ya malalamiko kwako. Hii imeonyesha kukomaa kwako kwenye hii fani yako, kwani ni wachache wanaoweza kuchukua CRITICISM positively!

    Kwa hilo nakupa hongera na tambua tupo pamoja katika blog yetu ya jamii.

    Br. Michuzi hureeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  17. Happy birthday mama lily, Mungu akulinde lakini jitahidi kwenda gym

    ReplyDelete
  18. Mtoto wa CoastDecember 27, 2009

    Kaka Michuzi kubali kosa na kuomba radhi ya kubandika email yake nzima nzima bila kuedit na kuweka kile tu kinachotuhusu wote; pengine ulikuwa na haraka.

    Wewe ni mtu senior katika fani ya uandishi unaelewa tunachosema.

    Dada hongera sana na ubarikiwe katika maisha yako.

    ReplyDelete
  19. Dada Lily Hongera sana mpenzi, asante kushare nasi siku yako hii muhimu, Mungu akutunze akuzidishie na miaka tele.

    Kaka Michu umeniudhi kwa kuweka email ya huyu dada hapa. Wewe ulitakiwa uweke kile alichotaka basi Sio fresh mzee. Usirudie tena eeh!!!!

    Mdau Canada

    ReplyDelete
  20. Michuzi alosema anonym.wa 05.42 PM ni ya kweli kabisa. Haina maana yoyote ile ya kuweka private message kama ya dada mhanga na kumnanga namna hiyo. Kwa hili hata mimi limeniudhi. samahani kama nitakuwa nimegusa hisia zozote. Ila chambua message na sio kuiweka direct.

    OK, hongera sana dada kwa kutimiza miaka 27.

    ReplyDelete
  21. Anon hapo juu ni kweli amemweka hivyo na email yake kwa kuwa huyu dada sio one of the socialites, angelikuwa miss so & so, au sijui mtangazaji gani au sijui bishororo gani wa mjini ungeona jinsi ambavyo angelimpamba, hata mie ameniogopesha, naogopa hata kutuma namie salamu za mwaka mpya. kwanini lakini umefanya hivyo? ni bahati mbaya au makusudi?

    Hongera lily kwa birthday yako, mungu akupe maish mema na marefu

    ReplyDelete
  22. For sure kaka Michuzi huyo dada umemdhalilisha na kumfanya kama kikatuni,as this is the peoples blog haikuwa fair and good,mbona wauza sura wengi8 wanakutumia sms kwenye simu bado unawapamba vizuri au huyo dada sio mmoja kati ya watu unaowathamini wewe???

    wake up and stick to the game positively if you really wanna reach juuu aka to the top

    khaaaaaaaaaaaa nimeboreka sana kaka.

    ReplyDelete
  23. Kaka michuzi samahani nakumbuka kwenye mwezi wa tisa mwaka huu Ledjei D na mumewe walikuwa Vekesheni Sauzi walikutumia picha yao wakiwa hukohuko Sauzi uibandike kwenye glob yetu. Mbona wao uliwawekea kile walichotaka tuu ukilinganisha na namna ulivyopitiwa kwa huyu dada? na wala hukutubandikia maneno mengine waliyoyaandika? Don't be biased in this area. usirudie tena

    ReplyDelete
  24. jamani nyie wanaume wengine kwenye blog mna taabu sana..stick to the point, she is not looking for a hubby... jamani

    sista..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...