biashara ni matangazo na TBL wako kileleni
na tangazo lao jipya la kilaji cha Kilimanjaro na kila kona wamefunika



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Uchafu tuu wa mazingira na kutowajibika kwa meya wa jiji mabago ya ulevi mijini ni ishara mbovu kwa vizazi vijavyo..

    ReplyDelete
  2. ahaa kilele gani cha mafanikio walichowafikisha watanzania,porojo tu,bora izo hela wazidi towa kwa jamiii

    ReplyDelete
  3. MAKABURU WANATUKEJERI, ULEVI WETU KWAO NI KILELE CHA MAFANIKIO? WANAOFANIKIWA NI WAO WANAOTULEWESHA KWANI WANAONDOKA NA PESA ZETU WALEVI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...