KUNDI LA VIJANA KUTOKA ACTION AID WAJULIKANAO KAMA CLIMATE DEBT AGENT KUTOKA NCHI TANO (5) TANZANIA, KENYA ,UGANDA,ZIMBABWE,ZAMBIA NA WENYEJI DENMARK WAKIPIGANIA MAKUBALIANO HALALI ( FAIR DEAL ) WAKATI WA MKUTANO WA DUNIA WA MABADILIKO YA TABIA NCHI (CLIMATE CHANGE) UNAOFANYIKA NCHINI DENMARK -COPENHAGEN.
VITUKO MBALIMBALI KWENYE MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIA NCHI NCHINI DENMARK- COPENHAGEN

BAISIKELI ZINAZOTUMIKA NA MKUTANO WA DUNIA WA MABADILIKO YA TABIA NCHI KWA WAJUMBE WA MKUTANO NA BAADAE ZITAPELEKWA TANZANIA KAMA MSAADA WA SERIKALI YA DENMARK KWA AJILI YA HOSPITALI ZETU NCHINI TANZANIA. PICHA NA ANNA ITENDA WA MAELEZO



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hongereni wadau wa A. A kwa vekesheni!!. Kuna uwezekano mkubwa kwamba hao 'matajiri' wanaodaiwa ndiyo walio toa msaada kufanikisha safari yao, hiyo imekaaje? Mdeni anapokupa nauli ili ukamdai!!

    ReplyDelete
  2. zitasaidia kubeba wagonjwa

    ReplyDelete
  3. watagawana tu

    ReplyDelete
  4. Niko Dk kuna gazeti nimesoma wameandika kuwa waandamanaji wa kiafrika walikuwa wanaimba 'HUYO HUYO'kwa lugha ya KISWAHILI mwandishi katafsiri kuwa 'Huyo huyo' ina maana moja moja. Nilishangaa sana sana ni kwanini hata alishindwa kuuliza maana ya 'Huyo huyo na badala yake akakurupuka tu kuandika kitu anachohisi.

    ReplyDelete
  5. imekaa poa tu mdau si ndio zetu?

    msaada huu wanagawana zikishuka airport

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...