WA-ETHIOPIA WAISHIO GERMANY, DENMARK,NORWAY,FINLAND NA SWEDEN WAKIPINGA KAULI ALIYOTOA WAZIRI MKUU WAO MELES ZENAWI KUHUSU MSIMAMO WA AFRIKA WAKATI WA MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIA AMBAPO ZENAWI ALICHAGULIWA KUONGEA KWA NIABA YA AFRIKA NCHINI DENMARK -COPENHAGEN LEO .
RAIS OBAMA WA MAREKANI AKIKARIBISHWA COPENHAGEN JUU NA CHINI NI WATU MBALIMBALI IKIWA NI PAMOJA NA WAANDISHI WA HABARI WAKIFUATILIA HOTUBA YA RAIS OBAMA AMBAE HAYUPO PICHANI.KWANI ILIKUWA TAABU KUINGIA KWENYE MKUTANO HUO KWA AJILI YA USALAMA NA ALIHUTUBIA VIONGOZI MBALIMBALI WA DUNIA LEO NCHINI DENMARK -COPENHAGEN NA KUTOA MSIMAMO WAKE.
PICHA NA ANNA ITENDA -MAELEZO .





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...