WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti na Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia akiwa na Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba mara baada ya kumtunuku nondozzz yake ya Uzamili katika mambo ya Uongozi na Utawala (MBA) kwenye Chuo cha ESAMI mjini Arusha. Pembeni yao ni Professa Bernard Veltman kutoka Taasisi ya MSM ya Nchini Nertherlands, Taasisi hiyo inashirikiana na Chuo cha ESAMI

MWESHIMIWA SERUKAMBA AFYA NI KITU MUHIMU SANA KULIKO HIYO NONDO ULIYOKULA SASA NAKUOMBA RESOLUTION YAKO YA 2010 IWE KUPUNGUZA UZITO WALAU KILO HAMUSINI TU. MTU NI AFYA ELIMU NI AFYA SASA HII IWE CHANGAMOTO SINA MAANA UWE PETITE LAKINI JALI AFYA YAKO. ASANTE NI MIMI NDUGU YAKO NTAKANDI!
ReplyDeleteMheshimiwa Serukamba , hongera sana kwa hatua hiyo kwa kuwa ni watu wachache wanapopata madaraka makubwa hukumbuka kusoma. mungu akujalie uongoze vyema jimbo lako na Tanzania . hakika mungu ana mapenzi yake katika kila jambo . big up .
ReplyDelete