michuano inayoshirikisha timu za mamlaka ya bandari za tanzania imeanza katika viwanja vya TCC Chango'mbe jijini Dar ambapo katika soka timu ya bandari mtwara ilitoa sare ya bila kufungana na bandari ya Tanga. Katika netball tanga ilishinda 28 dhidi ya mtwara 12 na kwa upande wa basketball Mtwara 42 Tanga 19 michezo mingine ni pamoja na mchezo wa bao. Picha na mdau Hassan Mvula wa Globu ya Jamii
mpila wa kikapu kati ya Mtwara na Tanga
netball kati ya Tanga na Mtwara
hassan ismail wa mtwara (shoto) akichuana na twaha akida wa tanga katika soka




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. rudini shule mkasome tena kiswahili, ni MPIRA sio MPILA, mijitu ya milimani inachanganya matamshi kwa sana.

    ReplyDelete
  2. Twaha akida naona bado unaweza ndugu yangu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...