Albino Fulani

He goes by the name of Albino Fulani who recently organized an outstanding benefit concert to raise funds to help kids with albinism by providing sun blocks to prevent skin cancer who also participated in Baby Powder the movie has just released a HIT new single “NAFASI” Featuring Sugu and Belle 9 on chorus and Mwana FA on the 2nd verse. The song which was officially released at Friday night show on East Africa Television (EATV) song talks about things they will do if they were given a chance.

Enjoy!!!!
www.babkubwa.com
www.babkubwa.ning.com
www.bongomusic.wordpress.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Bab kubwa Babu mikono juu, nimekubali kamanda keep working hard Man. Big Up!!!!
    Home Boy
    Gill.

    ReplyDelete
  2. Yeah hili songi limetulia. Yaani nasikiliza hapa natikisa kichwa.

    ReplyDelete
  3. eeh mungu wangu wee huyu albino fulani anaiweka roho yangu njia panda anyway nakupa big up sana we mtoto uko juuuuuuuuuu we luv yu hasa mimi ingawa huyu michuzi anatabia sana ya kubana meseji zangu napotuma ujumbe kuhusu wewe , ewe michuzi wa blog ya jamii naomba usiibane hii meseji iache tu imfikie my brad pitty full stop

    ReplyDelete
  4. I give you Big Up ili song limetulia sana,nimefuraishwa na kazi yako albino fulani:))))BIG UP.

    Mdau Warsaw,poland

    ReplyDelete
  5. hii kichwa imetulia... great track Albino fulani. That kilio cha furaha song inatoka lini? cant wait

    ReplyDelete
  6. hii kitu noma

    ReplyDelete
  7. BRAVO to Albino Fulani kwa kuandaa ile concert about mambo yanayotendeka Tanzania dhidi ya walemavu wa ngozi. Hivi (ukimu-exclude Babu Sikare mwenyewe) hawa wasanii wenyewe wa pale Tanzania wa muziki wa kizazi kipya wao hawakuona njia mojawapo ya kutoa mchango dhidi ya jambo kama lile? Kama kuna wafuatiliaji wa muziki huo naomba waniambie kama kuna wimbo ambao ulitolewa unaohusu au unaotoa simanzi juu ya mambo yale. Hivi hawakuona kwenye TV au kwenye Internet yaliyokuwa yanatokea maili chache tu na makazi yao? Wao wanajua kuimba raha na starehe tu? Shukrani sana Babu Sikare, japo sikuweza kuja Ohio lakini hicho ni kitu kimoja kikubwa sana ulifanya.

    P.S Michuzi niwakilishie hii message tafadhali. Naomba Usiiminye.

    ReplyDelete
  8. mie mtoto wa kike nimekupenda sana albino fulani,,,yani una kitu ivi tofauti sana na wanaume awa sijui ata kinaitweje

    siku nyingi nafatilia newz zako leo nimeona niongee!!!lol

    natamani japo nkupe a little hug

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...