Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi wa zamani, Timothy Apiyo wakati alipomtembelea nyumbani kwake Sitakishari, Ukonga jijini Dar, kumjulia hali wikiendi hii. Mzee Apiyo alikuwa amelazwa Sauzi kwa matibabu na anaendelea vyema

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Jamani nisomesheni kidogo: nani alikuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa kwanza: Apiyo au Rupia? Mungu awabarikie katika sikukuu zijazo

    ReplyDelete
  2. Mzee Apio alikuwa amelazwa Sauz, whats wrong with Muhimbili?Hii sio hospital ya kila mtu?

    ReplyDelete
  3. Mzee Apiyo alikuwa KM Ofisi ya Rais hadi alipostaafu 1985 au 1986 (alipotimiza miaka 55). Aliyemfuata katika nafasi hiyo ni Balozi Paul Rupia. Kwa hivyo, kama sikosei Mzee Apiyo an umri wa kati ya miaka 78 na 79. Namwombea Mzee Apiyo kila la heri. Mdau "Former civil servant".

    ReplyDelete
  4. muhimbili haiwafai tutenda sie tu ndo maisha bora kwa kila mtanzania

    ReplyDelete
  5. Hivi kwa nini huyu mzee hakuuziwa hata ka servant quarter Oysterbay???
    Uandaliwe utaratibu kabla ya kusaini mikataba MINONO mabwana wakubwa wa sasa wawe wanapelekwa kuhiji "Sitakishari" kwa Mzee Apiyo, kuna mengi ya kujifunza. Wazee wetu hawa ndio walikuwa watumishi wa "kiukwelii".

    ReplyDelete
  6. Mzee Apiyo na wengi tu wa namna yake wanakula pensheni ya "mateso". Huyu ni Katibu Mkuu kiongozi jee akina nanihii wako vipi? Ukweli unabakia kwamba watanzania hatuna mipango ya muda mrefu ya akiba za uzeeni. Bado twategemea watoto na jamii watutunze. Tubadili tabia na mienendo jamani!

    ReplyDelete
  7. TvzkicartoonDecember 15, 2009

    Christina Apiyo, uwapi shosti?
    Ni-beep please tvzkicartoon@gmail.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...