
(INNA-LILLAHI-WA-INNA-ILAIHI-RAJIUN)
KISOMO CHA ARUBAINI MAREKANI
Kwa niaba ya wa Tanzania wote hapa Detroit, Michigan, kutakuwa na Kisomo cha kumhitimisha Marehemu Mama Yetu
Asha Mfinanga (Mwenyezimungu atamlaza mahala pema peponi-Amen), siku ya Jumapili hii tarehe Dec 13, 2009 nyumbani kwa Mwenyekiti , Mtoto wa marehemu, Bw. AYUB MFINANGA.
Mmungu amukhufirie mazambi yake na amuepushe na kila adhabu ya kaburi na amtengeze makazi mema katika peponi, yatakayokuwa karibu na mola wake .Amin
ReplyDeletesaid Ahmed Makame.
Poleni sana wafiwa, hivi huyu mama ni yule mama Mfinanga wa Mikocheni karibia na shule ya msingi ushidndi jamaani.
ReplyDeletePole sana ndugu Mfinanga kwa msiba wa mama yetu mpendwa. Mwenyezimungu mwingi wa kurehemu na mwingi wa baraka afanikishe kisomo hicho na azikubalie dua zetu na amlaze mahali pema peponi mama yetu mpendwa,pia tunamwomba subhana wataala ampe kheri na baraka kila atakayehudhuria kisomo hicho au kuchangia kwa namna yoyote ile. Hakuna zawadi kubwa kwa marehemu mama yetu kama Kumwombea dua kwa ALLAH Subhana wataala.
ReplyDeleteKim - Boston,MA
Inshalaah! sote twawapa pole sana, kwa MaMa yetu mpendwa. mama alikuwa ni mtu mwenye kupenda sana watu, na alikuwa anasidia mtu yeyote jamaani, Mungu atampa kila la kheri huko anakokwenda, na pepo ndiyo inayomsubiri tukimwombea kwa Mwnyezimungu.
ReplyDeleteBwana MFINANGA Tunakupa pole sana Na Familia yako, Mungu atawapa subra nakuwaondolea huzuni zote. Amen.
Herriet, Amsterdam.
INNA-LILLAHI-WA-INNA-ILAIHI-RAJIUN.
ReplyDeleteTUNASHUKURU SANA KWA IMANI NA DUA ZENU,WOTE HAPA AMERICA NA TANZANIA TUNATOA SHUKRANI NYINGI SANA KWA WALE WOTE WALIO KUWA NASI KATIKA WAKATI HUU MGUMU SANA KWA FAMILIA YOTE. MWENYEZIMUNGU ATAMLAZA MAHALA PEMA PEPONI, NA DUA NDIYO CHAKULA NA MALAZI YAKE ALIPO HUKO. TENA TUNATOA SHUKURANI NYINGI SANA. NA MUNGI AWAZIDISHIE KILA LA KHERI HAPA ULIMWENGUNI NA AKHERA AMEN.
Ayub Mfinanga, Det. Michigan
Pole sana kwa msiba wa mama yetu mpenzi inshalaah mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atampa kila la kheri huko aendako kwani twaamini yeye katangulia sisi tuko nyuma yake.
ReplyDeleteGEORGE MAPANGO