



Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aisee haya mazingira yananikumbusha kwetu Iringa, safi sana!
ReplyDeleteKwani hawawezi kukaa mezani na kwa utaratibu mzuri wa kula, badala ya kusimama na kila mtu kula kivyake na kwa wengine kusimama, kuongea na hata hakuna mpangilio..hivi ni vitu vidogo vidogo vyenye nafasi katika kujenga nidhamu katika timu.
ReplyDeleteAnonym wa kwanza kanichekesha sana!.Sasa wahindi wako kama sisi,there's nothing new.Halafu wewe WWW.Tanzaniasports.com,hiyo inaitwa "Buffett" siyo lazima ukae,hata Tanzania kuna mambo haya try to mingle with Tanzanian high society.Nothing personal!
ReplyDeleteMbona wote mko kwenye pikipiki? Ina maana hakuna magari huko? Njooni huku tuwapeni magari ya bei chee.
ReplyDeletesasa hao nao wanakula ubwabwa na maharage then wakakipige ,wataweza kukimbia kweli au wataishia kutapika tuu
ReplyDeleteNaona wachezaji wanapati pilau kabla ya gemu.
ReplyDeleteIna maana mumesahau nasaha za Dr. Licky kwamba pilau na soka wapi na wapi na kwamba munatakiwa mupate fibre.
Dr. Licky wakumbushe vijana.
Michuzi mbona dokta hatukumsikia siku nyingi? Mlete atupe mawili matatu.
(US Blogger)
Du inanikumbusha sana maeneo ya watu mchangani udongo mwekundu na vipando vyao lol! India ni noma!
ReplyDeleteww ulosema wahindi wako kama ss,kwanza tofautisha katia ngozi nyeusi na nyeupe hivi nivi2 tofauti ss ww unaesema tuko sawa sawa muongooo mkubwaaaaa
ReplyDeleteWow!!!!! namiss sana hayo mazingira katika uwanja huo wa manviguda Sainikipuri...Najua ningekuwepo mzee mzima hapo tungewapiga waganda hata bao 5-0...
ReplyDeleteJamani msishangae hivyo ndivyo viwanja vya India...asubuhi choo cha public, mchana ni wakati wa nguruwe kufukua fukua na kusafisha mazingira ,jioni soccer au Cricket inapigwa
Sikieni tu jamani watu tunatoka mbali.
Rodrick Mwambene
Ex Osmania Unversity ,Hyderabad India.
Anon wa 9:50,
ReplyDeleteIndia kuna magari? Ndiyo kuna magari. India wanatengeneza magari (TATA, Nanocar, etc.) pikipiki (bajaj, n.k.) computers, generators,simu, wao wenyewe na hata wagonjwa wengi sana kutoka hapa TZ wanakwenda kutibiwa huko. LESSON? Kama India na China wameweza kuwa totally self-reliant katika teknolojia na uchumi wao unaendele kukua kwa 10%, then na sisi pia tunaweza. Cha kujifunza kutoka kwao ni "we too can do it". Tuone wamefanyaje hivyo, ili na sisi tuige yale bora. La sivyo in 20 years time gap hiyo itakuwa kubwa sana. Mdau Mushi.
Tanzania kuna mambo haya try to mingle with Tanzanian high society.Nothing personal!. THIS IS VERY PERSONAL."BUT WWW.TANZANIASPORTS.COM DO GO PLACES BIG TIME!!"
ReplyDeletejamani huo uwanja upo kijijini ndio maana upo mazingira hayo ukenda town ni tofauti kabisa na ni bomba tu
ReplyDeleteTupeni picha nyingi za india. nafanya hapa kazi na hawa wahindi fulani wanajisikia kweli. kwa vile tukisikia habari za india ni taj mahal tu...Kumbe kuko hivyo. Hebu Jumatatu ifike niwaonyeshe sijui watasemaje...wanajiadai africa africa
ReplyDeleteJamaa anacount nimewekewa nyama ngapi hapa jamani. Au lilikua pilau ya vegans?
ReplyDeletemdau wa dec 12,01:23:00 wahindi wasikutishe kabisa africa tena tz ni kuzuri sana na hao wanaosema hivyo nina uhakikia awajafika india maana wakija huku nao hao wanakuwa wageni tu kama sisi tunaosoma huku pia wahindi ni maskini sana ukitaka picha nakupa email yangu wasiliana nami alafu nitakuytumia picha za huku india nipo hapa walipo vijana wangu wa soka mdau jjozzee@yahoo.com
ReplyDelete