Golikipa wa timu ya Uganda Revenue Authority, Kaweesa Eddie akiruka juu kuokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake wakati wa mchezo wa kimataifa dhidi ya TRA wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Tanzania ilishinda 1-0.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. VIPI NDIO KUPUNGUZA RUSHWA HUKO?wizi mtupu,wanaulizwa kwa nini kuna ucheleweshaji wanajibu ati ,wateja kidogo,sasa wateja kidogo ndio muwacheleweshe?Gari zinakaa mwaka mzima na kila kinachotakiwa kipo unaambiwa usubiri zamu yako,mbona storage hamlipi nyie basi,na hizo zamu kamamtu mwengine hajakamilisha ndio tuumie sisi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...