
Mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Tshalla Muana akiwapungia mkono wenyeji wake waliokuja kumpokea mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar usiku huu tayarijioni kwa ajili ya onesho la Embassy Club E litakalofanyika ndani ya Ubungo Plaza ijumaa hii.
Sawa hiki kifaa pembeni yake nani, nshapenda mtu mimi!
ReplyDeleteHee!!!? Uzee ni mkatili kweli. Huyu Mama kweli bado anaweza kutumbuiza kama enzi zake? Maana naona kwa sasa kazeeka. Anyway labda kwa vile ujuzi hauzeeki. Hivi kizazi cha sasa cha akina Banana Zoro wataupenda muziki wake? Au kizazi cha Mzee Zoro ndiyo watakaoburudika. Kila zama na kitabu chake alijisemea Mzee Mwinyi.
ReplyDeletetulitafakari na hili, hivi wanamuziki wetu wanakubalika nje kama tunavyo wakubali wa nje?
ReplyDeletehii ni sawa na importation against exportation in the sector.
all the best wadau kwa kupata burudani safi
Chonde chonde kaka Michu usije enda kwenye shoo ya huyu mama na mai waifu.. Maana huyu mama huwa hakawiagi kumwaga lazi.. yaliwakuta jamaa fulani nchi ya jirani hivi karibuni... Mie sitaki itwa huku kuja kukusaidia kutafuta suluhu na mai waifu wako
ReplyDeleteHavaagi kufuli kwa hiyo wale wapenda chabo wahini viti vya mbele mujifaidie sinema ya bure Halafu mashallah mama kajaaliwa 'JITUMBUA' si mchezo.
ReplyDeleteTshalla naomba abaki bongo,aungane na miji-mama inayokodishwa kwa ajili ya kusasambua wakati Wazaramo wanatoa mwali,nadhani atafiti sana,wadau maoni tafadhali
ReplyDeleteKusema ukweli bado hajaacha kumwaga radhi - lakini utapenda. Piga ua galagaza usikose maonyesho yake utakuja kusimulia nini kuhusu 2009.
ReplyDeleteHakuna kuuma uma maneno. Alimwaga razi Kampala, Uganda. Aliingia jukwaani bila kuvaa chupi, akiwa amevalia gauni ya mpasuko mpaka kiunoni. Wakayo ulikuwa ukionekana hadharani. Wakati wa kucheza, kila alipokuwa akiinama au kuchuchumaa kidogo utupu wote ulionekana kama ulivyo. Ndio starehe yenyewe hiyo. Nitahudhuria kwa sababu hiyo.
ReplyDeleteNakuunga mkono Anony 05:51
ReplyDeleteWanamziki wetu hawakubaliki kongo,isipokuwa sisi watanzania tuna tabia ya ukarimu ambao tunawezakugawa chakula cha watoto kwa wageni,Maporomota hapa kwetu wapo tayari kumwaga mapesa kwa kuwaita wanamziki wa nje,lakini hawapo tayari kuzitoa bendi zaa hapa kwenda nje.
Please, wasimbanie wamuache afanye show kama ile ya Kampala - naipenda sana.
ReplyDeleteMbona kwenye picha za Kampala anaonekana kijana sana ilikuwa mwaka gani vile?
jamani tulieni sio yeye aliyesahu kuvaa nguo ya ndani ni huyo mwimbaji mtangulizi ambaye yuko kulia kwake mweny blauzi nyeusi na sketi ya grey. mimi niliziangalia zile picha za Kampala kwa makini nikaona haiwezekani Tshala awe na sura ya msichana! nika google ndo nikakuta picha zilizoeleza ukweli wa huyo msichana, inaonekana wengi mlipay attention kuangalia eneo wazi kuliko sura, all u needed was to look at the face of that woman on the foto. Tshala amekua ameacha hizo ila amehakikisha amewarithisha vijana wake vimbwanga vyake ambavyo ndo wengi wanampendea for years.
ReplyDeletehaki ya nani nimechekaaa hadi basi kweli humu ndani acheni tu watu wamepinda he he heeee
ReplyDeletehalo halo wadau poleni mlo majuu hamufaidi kama wenzenu wa dar ndiyo mumebaki midomo juu munasema hili mukiacha hili mie niliona picha za aliyekaa uchi ni yule dada upande wa kulia plz atakaye ende kwenye shoo tutumieni picha atakazo fanya mamboz ya kumwaga shobooo? tujetufaidike nasi wa majuu mdau toronto.
ReplyDeleteLazima nitie timu manake ule UMWANZI we acha tu
ReplyDeleteDah watu tulimzoea enzi zile akioneysha nguo za ndani akicheza, inamaan ndio basi tena , hapo akifunua ni manyama uzembe yalio laliana, ukweli tena kama alivyo sema mdau hapo juu, uzeee ni katili sana.
ReplyDeleteNdio maana Benny wa ABBA alisema moja ya sababu ya kukata offer kubwa ya kufanya tour baada ya miaaka kibao ni kwamba hato watendea haki fans zao sababu hawataki waone makunyanzi usoni wakati waliszoe kuona hot hot chicks wakiimba Mama Mia