Dear Michuzi
Wakati wasomaji wako wakisubiri kwa hamu Kongamano la Wanataaluma Ijumaa hii (18-12-09) Golden Tulip Hotel :Kongamano la Kwanza la Wanataaluma Waishio Ndani na Nje ya Nchi 2009
nimeona ni vyema kuendelea kuwapeni undani wa mtaalamu wa kitanzania, Dk. Alex Paurine kwani utaalamu wake na ubunifu wake umekuwa gumzo kule Copenhagen na pia wapatikana katika channels za discovery, na kukubalika na wanasayansi wa USA kama njia ya kusaidia kupunguza mabadiliko ya tabianchi au "climate change"
Wakati wasomaji wako wakisubiri kwa hamu Kongamano la Wanataaluma Ijumaa hii (18-12-09) Golden Tulip Hotel :Kongamano la Kwanza la Wanataaluma Waishio Ndani na Nje ya Nchi 2009
nimeona ni vyema kuendelea kuwapeni undani wa mtaalamu wa kitanzania, Dk. Alex Paurine kwani utaalamu wake na ubunifu wake umekuwa gumzo kule Copenhagen na pia wapatikana katika channels za discovery, na kukubalika na wanasayansi wa USA kama njia ya kusaidia kupunguza mabadiliko ya tabianchi au "climate change"
BOFYA HAPA
Dr. Hildebrand Shayo
hello michuzi
ReplyDeleteNimefurahishwa sana na huu ubunifu wa huyu mtanzania, na jitihada zinazofanywa na hildebrand shayo kutupatia ubunifu kutoka kwa wataalamu kama Dr. Alex.
Mimi simfahamu, ila ningependa kama angehudhuria hilo kongamano la huko dar mwezi huu. Niko Tayari kumlelekea return ticket london dar london (economy class) na malipo ya hotel Dar (4 stars Hotel )three days. Naomba contact zake kama unazo i.e. za Dr Alex Paurine.
Kusema la ukweli Bwana shayo nimeshindwa kufuatilia mahojiano yako na uyo injinia. ktk mahaojiano umeshindwa kumhoji injinia ili aseme mtambo unafanya nini? nimeikiza mahojiano yote lkn nashindwa kufuata mahojiano!
ReplyDeletetuonyeshe basi site gani tuingie tuone mtambo unavyozungumziwa copenhagen
ReplyDeleteHongera sana sana. keep the good work going sir.
ReplyDeleteSasa mke umeshapata Dr Paurine? au utaenda tena Tanzania?
jamani, huko copenhagen kuna mambo mengi ya kuzungumziwa kwani huko sana sana ni kuwekeana makubaliano.
ReplyDeletePamoja na ukweli mimi siyo mfuatiliaji sana wa haya mambo, ila sidhani kama huu ni wakati wa kuomba upewe "site" uone mtambo unavyofanya kazi.
Mchangiaji wa hapo juu unayeomba site, mtafute huyu jamaa kwenye webiste ya www.lsbu.ac.uk na utagundua utaalamu wake uko wa kiwango gani.
Wataalamu hawaendi kwenye makongamano, wanakwenda wanasiasa!
Nawakilisha
huu ndiyo muafaka mzuri wa wanahabari kumtafuta bwana Alex na kuongea naye na kumpa interview.
ReplyDeleteNafikiri, tatizo la waandishi wa kitanzania, bado hatujawa na specialization, huyu anareport kuhusu michezo, huyu kuhusu crime, huyu kuhusu science na ubunifu, huyu kuhusu siasa nk.
Utakuta waandishi wengi wa kibongo wanataka kureport kila kitu.
Kama kuna mwandishi anayespecialise kuhusu mambo haya ya ubunifu huu ndiyo wakati wa kumtafuta Alex na kumhoji ili wabongo tujivunie mtanzania wetu.
Mara ya mwisho huyu jamaa alikuwa bongo mwezi 10/2009 na bila shaka sura yake inaonyesha ni yeye na siyo mwingine!
Mtambo huo unapambana vipi na tabia nchi? Nadhani kabla ya kusifia, kuponda, kuchangia nk tujue kwanza kuhusu mtambo wenyewe, ubunifu katika kazi hiyo ni upi na unafanyaje kazi.
ReplyDeleteTuelekezeni wapi tunaweza kupata habari hizo!
Dr kwanza hongera, baada ya kuona picha na kusikia mazungumzo yako nimekumbuka mbali, sana.
ReplyDeleteTulikuwa wote pale chuo kikuu cha dar es salaam, ila ulivyoondoka nikapoteza mawasiliano na wewe.
Naomba tuwasiliane, niko Rome, Italy.
email mnacho91@msn.
Kwa kweli nimefurahishwa sana sasa.
Hivi Dr Shayo huyu jamaa kweli anapenda nchi yake au lha? maana nadhani kama huyu na wengine wengi wangekuwa hapa nyumbani tungeweza kusaidiana nao kimawazo. Sasa mimi binafsi naona kama mnatulingishia mambo yenu maana sioni ni jinsi gani sisi wananchi tunavyofaidika.
ReplyDeletekaka Trio ni kweli huyu Shayo hajui kuhoji kabisa na huyu injinia huwezi kumlaumu maana anajibu alivyoulizwa.
ReplyDeleteKichwa cha habari na mahojiano hayaendani kabisa,hakuna hata international organization yeyote ambayo imeonyesha kumkubali,namuunga mkono kwa juhudi zake binafsi kama mwanasayansi lakini kukurupuka na kusema kuwa ''UBUNIFU WA MTANZANIA WAWAVUTIA WATAALAMU COPENHAGEN'' au ''KAKUBALIKA NA WANASAYANSI WA MAREKANI''ni mapema mno,na ikibidi mutupe link za kuthibitisha hilo,ukisearch Google unakuta ni blog zetu tu za kibongo zinazomtaja.
ReplyDeleteAnyway namtakia safari njema kwa jina la Tanzania.
Mdau Istanbul
wewe anon hapo juu, watu tumeomba site kwasababu tumeambiwa 'ubunifu wavutiwa wataalamu copenhagen'. kwani tukitaka nasisi tujionee comments za copenhagen kuna ubaya gani?
ReplyDeleteHongera sana kaka michuzi! this is good example to all of us it show up even africans and in Particular tanzanians can be creative and inovative...I am m proud to see this..hongera sana Dr Alex.
ReplyDeleteMaelezo yako ni changamoto tosha, na wala usiwasikilize wanaobeza ati kichwa cha habari hakiendani na shughuli za mtambo wako uliougundua.
Wasomaji, umajua ubunifu kama huu unatia moyo, kuona ni kwa jinsi gani tukiamua kuwatumia wataalamu wetu na watoa mawazo kama ya akina John Mashaka na wenzake, tutawezaza kufika mbali kiubunifu.
Huyu jamaa namfahamu vizuri siyo mtu wa kujionesha au kujitangaza. Angekuwa wa vile tungeisha muona sana. Imagine jamaa kafika level hii hata hatumjui. Na kumbuka siyo yeye anayeandika hapa bali Dr shayo. Na huyu Dr Shayo pia tumshukuru kwa kutujulisha kwamba tunamtu au watu wa aina hii maana yeye kama mtanzania lazima anajivuna. Nadhani huyu ni mtendaji maana watendaji hawana muda wa mbwembwe na kuandika andika. Lakini we Shayo nisikutetee maana title hiyo uliyokurupuka nayo hata mimi sijaridhika nayo.
ReplyDeleteWe mdau hapo juu nadhani kuhusu kukubalika na Engineers wa Marekani Dr Alex kaisema mwenyewe kwe mahojiano.
HA HA HA USILOJUA NI USIKU WA GIZA KINENE.
ReplyDeleteANGALAU MDAU WA ISTANBUL ANAJUA ANACHOONGEA.
NAMSIFU DR ALEX KWA JITIADA ZAKE.
UKWELI NI KUWA HAKUWA GUMZO NA WALA HAKUONGELEWA HUKO COPENHAGEN.
KWANI UBUNIFU WAKE HAUNA/HAUTOLETA SULUHISHO KUBWA KWA CLIMATE CHANGE/GLOBAL WARMING.
DR ALEX ALICHOVUMBUA NI KUWA KUNA MITAMBO MBALIMBALI YA KUSAFISHIA MAJENGO AU HARD SURFACES BAADA YA KUCHAKAA AU KUPATA UKUNGU,KUTU AU KUCHAFULIWA KWA ALAMA ZA RANGI NA WALE WACHAFUZI WACHORA KUTA,KAMA KUTA ZA MATOFALI YA KUCHOMA ,KUTA ZA CHOKAA,METAL SURFACES NA KADHALIKA.
MASHINE ZILIZOPO SASA ZINATUMIA MCHANGA,ZINATUMIA PRESSURE KALI KUSUKUMA MCHANGA NA MCHANGA UNASAFISHA KWA KUKWANGUA UKUNGU KUTU AU RANGI AMBAZO ZIKO KWENYE KUTA.
DR ALEX AMEKUJA NA IDEA MPYA BADALA YA KUTUMIA MCHANGA MTAMBO WAKE UNATUMIA ICE GRANULES.
KWANI MCHANGA UNAKWANGUA SANA KUTA NA KUDAMEGE KUTA ILA IMPACT ZA ICE GRANNULES HAZIDAMEGE KUTA KWA SABABU SANDS PARTICLES ARE HARDER AND ROUGHER THAN ICE PARTICLES.NA MASHINE YAKE HAITUMII UMEME MWINGI KAMA ZILE ZINAZOTUMIA MCHANGA KWA HIYO ZINA CARBON PRINT NDOGO THERE GREEN OR FRENDLY TO OUR ENVIRONMENT.
HIZO MASHINE HAZINA MATUMIZI MENGI KUHATARISHA AU CHAFUA MAZINGIRA KAMA VIWANDA MATUMIZI YA MAGARI KUCHOMA MITI MAMELI MANDEGE NAKADHALIKA.
HAKUKUWA NA GUMZO WALA USTAAJABISHO WOWOTE HUKO COPENHAGEN.
HONGERA SANA DR ALEX.
SAMAHANINI SANA LUGHA YANGU HOPE NIMEELEWEKA.
mbona hii habari haina uhusiano wowote ule na copenhagen?binafsi nipo hapa copenhagen na nafuatilia sana kwa karibu huu mkutano unaoendelea since day one...
ReplyDeleteDr Alex hajagundua mtambo huo anaoongelea bali yeye ameuendeleza kuongeza ufanisi wa mtambo huo..jina na lmtambo ni Absorption Refrigeration ambao ulikuwa ni title ya Phd yake, mtambo huo uligunduliwa na mfaransa mwanasayansi Ferdinand Carré mwaka 1858. kwa hiyo hongera kuongeza ufanisi lakini mnaotoa taarifa msitoe kwa kupoteza maana ama mkatunga bila uchunguzi. na usinibanie hii comment uncle michuzi..najaribu kubadili tabia..tumezidi kuongeza chumvi..
ReplyDeleteannon #1....duh
ReplyDeleteMdau wa Thu Dec 17, 12:54:00 PM. Maelezo yako ni mazuri lakini sidhani kama ni ya mtambo huu unaoongelewa hapo juu.
ReplyDeletewewe mdau hapo juu, kubari tu Dr Alex amegundua japo hata sehemu ya mtambo maana ili kuongeza ufanisi lazima uweke kitu ambacho hao wagunduzi wa mwanzo walishindwa kukiona na yeye amekiona. Kwa lugha ya kiataaluma zaidi tunasema "There is novelty in his work" and if that makes sence then he invented that novel aspect of the entire system. Ni kwanini tunajisifia wagunduzi mashuhuli kama akina Elija McCoy? maana kazi zao ni muendelezo ya kazi za watu. Let us learn to appriaciate.
ReplyDeleteMimi naomba kuuliza. Hivi inakuwaje jamaa good looking kama huyu ana akiri za darasani? maana tumezoea kuona wote wenye akili wanafanana na John Mashaka yaani wabaya wabaya. Mimi angenioa lakini basi tu najua atakuwa mtu wa family. Kazi nzuri Dr. Alex.
ReplyDeletePole, Rose. Ninamfahamu sana Dr. Alex.
ReplyDeleteHana Mke na ukizingatia bado umri wake ni mdogo miaka 30 TU.
Nilisoma naye shule ya msingi na sekondary na baadaya ya kwenda UK, tumekuwa tukiwasiliana tena kwa karibu sana sana.
Kama uko single, na uko tayari mtafute, huenda ikawa bahari yako.