Sherehe za miaka 48 ya kuzaliwa kwa taifa letu pendwa la Tanzania
(sikukuu ya uhuru).
Mwaka huu chama cha wakina mama/dada cha SWAO (Sauti ya Wanawake wa Africa-Ohio) kimeamua kujitoa na kutayarisha shamra-shamra za sikukuu hii tukufu ya kuazimisha miaka 48 ya kuzaliwa kwa taifa letu.
Hii itakua mara ya kwanza baada ya mda wa zaidi ya miaka 18 kusherehekewa kwa sikukuu hii hapa mjini Columbus , OH .

Wanachama wa SWAO wanajitolea katika kutayarisha shamra-shamra hizi, kwa nia ya kuhamasisha Watanzania wote wanaoshi Ohio na Pan-Africanist wote ambao wangependa kujiunga na watanzania katika kujivunia urithi wetu na taifa letu; na shughuli hii na zingine nyingi…ambazo wana SWAO wanategemea zita chipukiza kutokana na hamasi hii.
Akhsanteni
Mkuu
--------------------------------------------------------
The Steering Committee of the Sauti ya Wanawake wa Africa-Ohio (SWAO) has the pleasure and honor of proudly presenting the 48th anniversary of Tanzania Independence Day celebrations, in Ohio .
The event will take place on Friday, December 11, 2009, at
610 Lancaster Avenue,
Reynoldsburg , OH 43068 .
The time-frame for the event is 7:00 PM – 1:00 AM;
the event is a revival after more than 18 years when it was last celebrated in Columbus . These celebrations used to be organized by the East African Community in Columbus , OH annually during the early 80s to the early 90s.

The SWAO organization is organizing this event in the sprit of “ Tanzania volunteerism and community participation” by facilitating the pride of our heritage and patriotism for our mother nation. They hope to inspire both Tanzanians and Pan-Africans ( Tanzania enthusiasts) in Ohio to collaborate in mobilizing the community and enabling other related community events.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Huo Muungano sisi Wazanzibari hatuutambui kwani hauna maslahi na sisi una maslahi kwa nyie watanganyika tu kwa hivyo muna kila sababu ya kuusherehekea.Inaniuma sana.

    Mdau,
    Columbus,Ohio.

    ReplyDelete
  2. KIPI KILIANZA MUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBA AU UHURU WA TANGANYIKA AU TANZANIA ILIPATA UHURU TOKA KWA NANI? TUSIPENDE KUPOTOSHA HISTORIA MWISHO WQA SIKU VIZAZI VIJAVYO HAVITAJUA KAMA TANGANYI ILIKUWEPO NA ILIUNGANA NA ZANZIBA VIKAZAA TANZANIA, BALI VITAJUA TANZANIA ILIKUWEPO NA BAADA YA KUPATA UHURU ILIUNGANA NA ZANZIBA NA VIKAAMUA KUTUMIA JINA LA TANZANIA HIVYO KUIMEZA ZANZIBA. LAZIMA TUKUBALI KUWA TANGANYIKA ILIPATA UHURU TAREHE 9 DESEMBA NA TANZANIA HAIKUWAHI KUPATA UHURU TAREHE HIYO KWANI HAIKUWEPO.

    ReplyDelete
  3. Mbona nyie ndo zenu? Kazi yenu kuharibu tu! Tunawajua.

    ReplyDelete
  4. Tanganyika Independence


    Royal arms
    Tanganyika Independence Act 1961
    1961 CHAPTER 1 10_and_11_Eliz_2

    An Act to make provision for, and in connection with, the attainment by Tanganyika of fully responsible status within the Commonwealth.

    [22nd November 1961]
    Annotations:
    Modifications etc. (not altering text)

    C1Power to repeal Act (except s. 1) given by Tanzania Act 1969 (c. 29), s. 5
    1 Fully responsible status of Tanganyika

    (1)On the ninth day of December, nineteen hundred and sixty-one (in this Act referred to as the appointed day) Tanganyika (the limits of which are defined in Article 1 of the Tanganyika Order in[S.R. & O. 1920 No. 1583.] Council, 1920) shall become part of Her Majesty’s dominions under the name of Tanganyika and as from that day Her Majesty’s Government in the United Kingdom shall have no responsibility for the government of Tanganyika.

    (2)No Act of the Parliament of the United Kingdom passed on or after the appointed day shall extend, or be deemed to extend, to Tanganyika as part of the law thereof, and the provisions of the First Schedule to this Act shall have effect as from that day with respect to the legislative powers of Tanganyika.

    (3)Subsection (1) of this section shall not affect the operation in Tanganyika of any enactment, or any other instrument having the effect of law, passed or made before the appointed day, or be taken to extend any such enactment or instrument to Tanganyika as part of the law thereof.

    ReplyDelete
  5. KAMA KWELI HATUJUI HATA UMRI WA TAIFA LETU TANZANIA BASI TUTAENDELEA KUWA WABEBA MABOKSI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...