ALI K 4 REAL IS IN TOWN READY 4 MAKAMUZI.

HE IS GOING 2 BE LIVE ON SAT30THJAN @ FACE CLUB READING RG1 7JE ENTRY £15 FROM 10PM -5AM

COME EARY TO AVOID DISAPPOINTMET

HOSTED BY BONGODJS

CU THERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Watu wa Mabox ndio viatu hamsafishi au?

    ReplyDelete
  2. sidhani kama kuna mtu wa mabox anajua ata dawa ya kusafisha kiatu

    ReplyDelete
  3. WEWE ANOY HAPO JUU NIKIKUFIKIRIA NAONA UMEMALIZA KUUZA MAJI NA UNAPELEKA HELA KWA TAJIRI SASA HASIRA ZINAISHIA KWA WABEBA BOX. THIS IS WINTER SEASON MJASILI MALI SO IF YOU ARE NOT LIVING LONDON YOU ARE NOT SUPPOSED TO TALK ANYTHING. WEWE UNAIJUA POUND YA LONDON? MWULIZE KIBA AKIJA NITAMPA HIVI VIATU UPIGE KIWI U SHINE NAVYO KINONDONI AMA USUBIRI MPAKA EASTER UVIVAE.

    ReplyDelete
  4. MWAMBIE HUYO MLALAHOI ANAFIKIRI HUKU KUNA MWENYE TIME YA KUSAFISHA VIATU

    HUKU UNAVAA UKICHOKA UNANUNUA VINGINE MAMBO YA KUKAA CHINI ETI USAFISHE VIATU KWANI UNASAFISHA DHAHABU.....KWIKWIKWIKWIIII

    POLE KIJANA.

    MDAU UHOLANZI NAWAKILISHA.

    ReplyDelete
  5. we anon wa juu acha ushamba,timberland haipigwi kiwi,na ubaya wake mtu akikukanyaga tu ndio doa kama lile, vilevile huku hatufui wala kupiga kiwi viatu hakuna vumbi uliza uambiwe sio unaropoka tu

    ReplyDelete
  6. Hahahahaa Duh inaonesha jamaa wa juu kawakuna kidonda hawa Jamaa Duh safi sana mwengine kachemsha eti Timberland haipigwi kiwi kweli haipigwi Kiwi ila ina dawa yake ya kutizamia hivyo viatu, Mpo huko Nje ila Ushamba tu. Rudini tutawapa kazi huku. leather protecter.

    ReplyDelete
  7. Mbeba Box ndula lake chaaafuuuu, dah utadhani katoka shimoni kuzoa taka, viatu kama ndio vimechafuka unanunua kipya sasa mbona hicho umekivaa tangu mwaka juzi, hununui tu? na wewe mdau wa uholanzi, mi nafikiri wewe ata passport huna, hapo ulipo ndio umefika, kutoka huwezi wala kwenda chooni nafikiri unawasiwasi utanyakwa...beba box utume hela home wakufanyie mandingo...kwenu nyumbani wadogo zako wanalia njaa, njaa mpaka wanachuma tumbogamboga tunatwochepua uwani wakati wewe unalia na upya wa mandula.

    ReplyDelete
  8. chuki na wivu tu mlala hoi wewe. mtaendelea hivyohivyo kuita watu wabebabox unafikiri ndo kazi pekee. karagabao wewe.

    nawakilisha toka canada.

    ReplyDelete
  9. Eti wabeba mabox we anon unajua wabeba mabox au unawasikia, acha ushamba viatu unavaa unatupa vikishachoka mambo ya kuosha ni huko kwenye vumbi la kufa mtu,habari ndio and deal with it!!!

    ReplyDelete
  10. Wabongo kwa kupigana MaDoNgO,yaani soo... utawajua tu.Hakuna anaekubali kushindwa Ngoma kOrOiGgwa....

    ReplyDelete
  11. Inategemea kiatu gani, kwani kama cha ngozi si unanunuwa kiwi toka Pound Shop unapata kiwi na brush yake kwa pound moja, ambayo unweza kuipata kwa kufanya kazi kwa dakika tano tu kwa kipato cha chini, one pound = Tshs 2200.

    ReplyDelete
  12. Huyu bwana Alikiba anapendwa kweli na kweli anajua kuimba na kucheza,,big up kijana.

    ReplyDelete
  13. we mbebabox safisha lakuchumpa hilo...si ajabu ulikurupuka kutoka kwenye box kumuwahi Kiba airport ndio mana ukasahau kusafisha lakuchumpa lako...duuu, chafuuuuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...