Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hahahaha Dogo huyo mkali sana.

    "Little Superstar" Binya hii ndio kiboko pia Youtube. "Little Superstar"

    MZ.

    ReplyDelete
  2. full mzuka lol!!!!

    ReplyDelete
  3. Siku hizi ana TV show yake inaitwa Boby says cartoon network amekuwa mkubwa sana

    ReplyDelete
  4. nampenda, sometimes anakuwa kwenye show ya Thats so Raven kwenye Disney chanel. Anafurahisha sana.

    ReplyDelete
  5. Is this something to be applauded really?

    ReplyDelete
  6. dogo anapokuwa mbele ya big screen huwa full kujiamini.hata muvi alizoshiriki katoka poa.alikuwa na nafasi kidogo t ktk "My Baby's Daddy" lkn kafunika fresh as "lil 2Pac".haha

    ReplyDelete
  7. huyu mtoto si alikuwa kwenye movie ya Role Model?? duh,kweli ni full mzuka manake hata lil bow wow hakuwa na confidence kama yake..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...