HAYATI SWETU FUNDIKIRA
SWETU FUNDIKIRA, KIJANA AMBAYE AMBAYE ALILAZWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI KUUGUZA MAJERAHA MAKUBWA ALIYOYAPATA KUTOKANA NA KIPIGO CHA WATU WANAOSADIKIWA KUWA WANAJESHI USIKU WA KUAMKIA JANA, AMEAGA DUNIA ASUBUHI HII.
KAKA WA MAREHEMU, ISMAIL FUNDIKIRA, AMETHIBITISHA KIFO HICHO CHA KUSIKITISHA CHA SWETU SASA HIVI.
MSIBA UKO NYUMBANI KWA BABA WA MAREHEMU, KINONDONI NYUMA YA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KIONONDONI JIJINI DAR. KWA MUJIBU WA ISMAIL MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA KESHO MCHANA.
HATA HIVYO SIKU NA MUDA WA MAZISHI VITAJULIKANA BAADAYE KWANI KWA VILE HII NI POLICE CASE, MAZISHI YATATEGEMEA NDUGU WATAKABIDHIWA MWILI LINI NA SAA NGAPI.
MOLA AILAZE MAHALA PEMA
ROHO YA MARAHEMU SWETU.
AMINA


OOOOHH MY GOOOD.. JAMANI HAWA MAAFANDE WETU HAWA, HIZI LAZIMA NI NJAA TU NDIO ZIMEWAPELEKA KUFANYA MAUAJI HAYA, SASA TUONE SERIKALI ITAFANYAJE KUHUSIANA NA HIKI KIFO.. MUNGU YUPO NA MALIPO HAPA HAPA DUNIANI KAKA MICHUZI..
ReplyDeleteRIP SWETU, JUSTICE WILL BE DONE!!
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMEN
ReplyDeletePole sana kwa familia, ndugu, jamaa na marafikiri. Ni wakati wa kufanya upelelezi ili kuwabaini waliohusika na kuwachukulia hatua kali za kisheria.
ReplyDeleteM
Oh NO! I knew him from old school days Forodhani!! What happened to be beaten? May god rest his soul in eternal peace,Amen.
ReplyDeleteRIP, amen.
ReplyDeleteHivi kila siku tunasikia amani na utulivu hivi vitu vipo kweli au tunapigwa changa la macho?
R.I.P my best friend /broda Swetu.AMEEN.
ReplyDeletePoleni sana Chelu,Muga,Nzwala,Mshama et al.Tupo pamoja katika huu msiba mzito.
Mimi nimeishi karibu nchi tano hapo afrika,,na sasa niko nchi ya pili ulaya,lakini sijawahi kuona jeshi la polisi baya au bovu linalotembea na sheria mfukoni mwao, ambalo halina adabu kama jeshi la polisi la Tanzania.Sijui kama wanapewa mshahala mdogo sana!Inatakiwa viongozi wachukue sheria kali kwa hilo jeshi lasivyo watu wataishia jela wengine waishie kuzimuni,kama shelia inayochukuliwa kwa ma trafiki ni nzuli sana.
ReplyDeletePOLENI SANA WAFIWA, MUNGU AWAPE FARAJA.
ReplyDeleteMISIBA YOTE INAUMA LAKINI JAMANI KUNA MINGINE INAUMA MNO,sasa hii wanajeshi kweli waje wakuvamie wakupige tu bila sababu? au wametumwa na watu wamewalipa may be, walikuwa na beef naye au beef na mzee wake jamani inatisha, you never know.
RIP mtoto wa watu, hata kama ulikuwa una hatia au mzee wako may be,sabahu yoyote iliyowapelekea kukuattack,lakini i am 100% sure halikuwa kosa jipya hapa duniani so halikustahili adhabu ya kipigo hadi kifo.Bora ukapumzike baba manake ungebakia labda na majeraha na vilema ungeteseka tu kapumzike.
Wakristo tunasema KWA MAANA BWANA NI MUNGU WA KISASI, HAKIKA YAKE YEYE ATALIPA.
RIP!
IVI ZILE DIFENDER ZINAFANYA KAZI GANI ADI WATU WANAAMUA KUTESA HADI KUUWA, NAJUA VISINGIZIO VITATOLEWA VINGI LAKINI HAVINA SABABU YA KUUWA BINADAM
ReplyDeleteOh! Now it is an ample time for us (Watanzania wazalendo)to watch very carefully how our government is going to react on this particular issue. Do we need such kind of soldiers in our community? Is the government aware of many complaints from different corners of our country that there are some soldiers who are actually criminals? Do we need a special task force to find out if these allegations are justifiable?
ReplyDeleteIt is my hope that these 2 criminals should be punished accordingly so that this can be a lesson to those who are still at large!
We argue our leaders to show their people where they stand for!
Pole sana wafiwa !
serikali imekuwa ikilea huu ujinga wa wanajeshi kwa muda mrefu,ni bahati tu hawakuua watu wengi siku nyingi maanake kila siku wao ugomvi na wanachi...sasa ndio tunayaona haya,kama hao wanajeshi wakithibitka wamefanya hivi tunaomba hii ndio iwe fundisho
ReplyDeleteAibu kubwa kwa jeshi la wananchi kuua raia wanaopaswa kuwalinda.
ReplyDeleteRIP SWETU.
Inna Lilah wa Inna Illah Rajioun , hakika sisi kwake ni marejeo na kila nafsi itaonja mauti . nimepokea habari hizi kwa mshtuko lakini apangalo mungu hakuna awezae kulifuta Inshallah mwenyezimungu akupumzishe mahala pema peponi na akusamehe madhambi yako ndugu yangu na swahiba wangu Swetu. nitakukumbuka sana ndugu yangu Swetu toka enzi za Aggrey na safari yetu zenji na cool Brothers ,Ushindani wa Shoka na Wizard na makutano yetu Leaders ulikuwa mtu wa watu ,mcheshi na mpenda utani kweli chema hakidumu Bro pumzika kwa amani nasi tupo nyuma yako tunafuatia .poleni sana ndugu zangu Ismail, Mgalula, Mshama, Salu, Chelu,Mkala ,Nzwala na ndugu na jamaa wa marehemu. Inshallah mwenyezi mungu akupeni moyo wa subra katika kipindi hiki kigumu ameen. tupo pamoja.
ReplyDeleteSaleh Mcomoro Leicester UK.
Iwe nini tena na kesi iko polisi Tanzania hakuna lolote linalokuwa watapongezana tu kama wamempiga mpaka wamemuua hakuna hatua itayochukuliwa huu ni uonevu wa raia wema mungu amlaze mahala pema peponi amin.
ReplyDeletepoleni wafiwa na hao wanajeshi wanastahili kufungwa jela maisha.
ReplyDeleteInna Lilah wa Inna Ilah Rajiun,R.I.P Bro.Swetu.Poleni sana ndugu zangu wafiwa tuko wote ktk msiba huu
ReplyDeleteMungu ampumzishe mahali pema peponi!Serikali inatakiwa ichulkue hatua kali sana!Hamna kitu kibaya duniani kama raia wakianza kulichukia jeshi lao!Madhara huwa makubwa sana na kuyasahihisha huchukua karne!Itafika kipindi watu wataanza kutia moto kambi sasa!Maana wanajeshi wanatakiwa kuwa mfano mzuri na sio kuua raia!
ReplyDeletePoleni saana wataanzania wenzangu na wanafamilia wote.
ReplyDeleteHivi kwetu hakuna polisi jeshini (MP -Military Police)na system ya kuhukumu wanajeshi wanaofanya makosa popote pale iwe uraiani au katika vita?
Haya mambo na mengine mengi wanajeshi wamekuwa wakifanya huko nyumbani ni kama vile ni miungu watu,please please hebu serikali iamke.
kutuibia mtuibia na kufuatilia vitu vidogo vidogo kama hivi pia mshindwe,haaa.watanzania tuna kaaazi kweli kweli!!
Swetu, babaangu mdogo, mshikaji, mtani, mnoko, yeah sometimes ulikuwa unakuwa mkudaa..but loving and understanding all the same, pocket money za shule, we could ve a drink or two, baadae limitations,joker even to your own kids, snap when it turns around on you, though sio kiubaya, you used to load me with cash and yet ask how come i dont sleep monday to monday n ground me, when i was cool to stay with you, cool uncle than pops, football star and captain to all teams you ever played for, a natural leader, peoples person all the time, fashiniosta, you bought me my first 501s back in early 90s, suede shoes n all, all this might sound irrelevant to a lot but its family thing, love you and will always miss you, and got my little cuzs Misuka and Syalo in check from now on, might all sound like bs, but its my way of grieving, rest in peace Mtemi!!
ReplyDeletePoleni ndugu kwa msiba wa ghafla ambao hamkuutegemea, Ankal tuwekee picha yake yake basi tusiomjua ndugu yetu Swetu tumuone mtu ni kidole ati!
ReplyDeletepoleni sana ndugu zangu kwa huu msiba wa ghafla ,Mola awatie nguvu kwa kipindi hiki kigumu na ailaze roho ya marehemu pema peponi amina
ReplyDeletekuna siku niliongelea suala la dereva wa school bus kunyanyaswa na mwanajeshi wakati amebeba watoto. na kuna mtu humu ndani ya blogu akaniponda na kusifia kitendo cha mwanajeshi/wanajeshi kunyanyasa raia. namtaka leo kama kweli yeye ni msema kweli na 'si mnafiki', atetee wanajeshi waliompiga swetu kwenye blogu.
ReplyDeletemkuu wa majeshi na serikali, endeleeni kukaa kimya sababu leo mkisema lolote kuhusu tabia ya wanajeshi kupiga raia, unafiki wenu utawasuta hadi kaburini.
Sitashangaa kumsikia Mkuchika akiyaita haya maombolezo yetu kuwa yamevunja ibara fulani za usalama wa Taifa (?) kwa sababu tunalalamikia mauaji yaliyofanywa na (wana)jeshi. Poleni sana ndugu wafiwa.
ReplyDeleteNauli kwenye basi wasilipe, nyumba za bure na hatujuwi kina Swetu wangapi wamekufa (manake sio wote wanatangazwa kwenye vyombo vya habari). Shikamooni wanajeshi.
ReplyDeleteinabidi ziwekwe sheria kama za somalia ukiua uuliwe kila mtu atafuata sheria,hilo ndio suluhisho la matatizo haya
ReplyDeleteINANNAH LILAH WA INA ILAH RAJUUNA.
ReplyDeleteWANAJESHI NI KAWAIDA YAO KUONEA WATU HATA KAMA WAO NDIO WENYE MAKOSA, NA HII NI
KUTOKANA NA SERIKALI YETU KUTOCHUKUA SHERIA KALI KWA VITENDO VIOVU VINAVYOFANYWA NA WANJESHI HAO.
NA HALI YA WANAJESHI KUCHUKUA SHERIA MIKONONI NA KUJIONA WAO NI WABABE NA WANAWEZA KUFANYA LOLOTE KWA RAIA NA ISIWE KITU ITENDELEA MILELE NA MILELE MPAKA HAPO WATAKAPOKUJA KUPEWA FUNDISHI NA KUONA AHH KUMBE TUKIFANYA MAMBO YA KIJINGA TUTAADHIBIWA HATA KM NI WAJESHI.
AU SERIKALI INATAKA MPAKA PALE UTAKAPOANZA UHASAMA KATI YA JESHI NA RAIA NA KUANZA KUTAFUTANA NA KUPIGANA NDIO MCHUKUE SHERIA?
SERIKALI ZIBENI UFAAAA KABLA SIO MGOJE KUJENGA UKUTAAAA
WNANCHI TUMECHOKA KUONEWA NA WANJESHIIIIII.
Naungana na Saleh mcomoro wa Leicester kuipa pole familia ya Fundikira.....Hasa Mkala tupo Pamoja mwenzetu ndo katutangulia namkumbuka sana Swetu kwani Msufini na bwawani ndo mitaa yetu.poleni Ciaro na Lucy na Swetu jr. R.I.P Ondo Zegegga
ReplyDeleteINNA LILAH WA INNA LILAH RAJIUUN.
ReplyDeleteMWENYEZI MUNGU AMSAMEHE MAKOSA YAKE NA AMJAALIE PEPO YA FIRDOUS.
SWETU NAMKUMBUKA SANA PALE KINONDONI MAHAKAMANI,TULIKUWA TUNACHEZA MPIRA PAMOJA TIMU YA SHOKA FC YA PALE MSUFINI.ALIKUWA NI KIJANA HODARI,MCHESHI NA ALIKUWA ANAMUHESHIMU KILA MTU.
POLENI SANA BRO.ISMAIL PAMOJA NA FAMILIA.
KWA KWELI NIMEPOKEA TAARIFA HIZI KWA MASIKITIKO MAKUBWA.
RASHID,USA.
ULALE PEMA SANA KAKANGU SWETU ,ULIKUWA RAFIKI MKUBWA WA KAKANGU HATIM NA MARA KWA MARA ULIKUWA UNAKUJA HOME NAKUKUMBUKA SANA YAANI NA NINAKUTAKIA ULALE MAHALI PEMA PEPONI .R.I.P .RAMBIRAMBI KWA MSHAMA,NZWARA AND THE REST OF THE FUNDIKIRA FAMILY .AMEM
ReplyDeleteTANZANIA BADO IPO ZAMA ZA MAWE.KWA WATU WENYE USTAARABU KUPIGA WENGINE NI UPUUZI NA BADO TUPO WAJINGA.JE INASAIDIA NINI KUUA WENGINE AU NDIO UAFRIKA WETU UNAOTUTUMA TUFANYE HIVYO? INASIKITISHA SANA KUONA NA KUSIKIA MAUAJI YASIYO NA MAANA YANAFANYIKA KWENYE NCHI ILIYO HURU. SASA KUNA TOFAUTI GANI KATI YA TANZANIA NA SOMALIA AMBAO WANAPIGA KILA KUKICHA? WATANZANIA TUBADILIKE TUCHUKIE MAOVU! KUUA MWENZAKO HAKUSAIDII KUMALIZA TATIZO.NAIOMBA SERIKALI IWE SERIOUS NA MAMBO KAMA HAYA KWANI SISI RAIA TUNAHITAJI KULINDWA KWA SABABU NI HAKI YA KILA MTANZANIA AISHI KWA AMANI.TUNATAKA HAKI ITENDEKE MAANA BILA YA HAKI HAO JAMAA WALIOFANYA HAYO MAUAJI WATAENDELEA KUUA WENGINE.POLENI SANA FAMILIA YA MAREHEMU. MUNGU AMLAZE MPENDWA WENU MAHALI PEMA.
ReplyDeleteINNA LILLAHI WA INNA LILLAHI,RAJIUN AMA KWA HAKIKA MPAJI NI MUNGU.KILA JAMBO LINA SABABU YAKE NA KWAKUA BINADAMU HATUNA UPEO WA KUONA MBALI HATUTOJUA NI KWA NINI,TULIMPENDA SANA ALIKUA MUADILIFU KWETU NA KWA FAMILIA LAKINI TUKUMBUKE KWAMBA KUNA MAISHA BAADA YA DUNIA.
ReplyDeleteMATENDO YETU HAPA DUNIANI NDIO KIOO CHA KUONA MAISHA BAADA YA HAPA. MUNGU UILAZE MAHALA PEMA PEPONI ROHO YA NDUGU YETU SWETU,ALLAHU MAAFILL JANNAH.
POLENI WAFIWA,WAFUUMA MWIKULLU.
TUKO PAMOJA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA MSIBA.ILA TUYAFUATE NA KUYATENDA MEMA ALIYOKUA AKIYAFANYA MAREHEMU MAANA HIYO NDIO AMALI NJEMA.
KWAKWELI TUMEPOMPOTEZA IONGOZI WA ASILI,MTEMI. MUNGU AWAPE SUBIRA.
MAYOR M,DC
RIP Swetu., Wanajeshi hao wanyongwe kabisa ndio itakua fundisho kwa wenzao...... Poleni sana ndg, jamaa na marafiki pamoja na wanachi wote mlioguswa na tukio hili
ReplyDeleteIna lilahi waina ilahi rajiun,RIP CHIEF FUNDIKIRA JNR.
ReplyDeleteYOUR DEATH SHALL NOT BE IN VAIN,INSHAALAH
I still can't believe it...It was lovely spending the last few days together while we were in Dar...(Esther, Lilian and Hanifa)May the lord our God rest your soul in eternal peace..you will be sorely missed..lala salama kaka Swetu xxx
ReplyDeleteNimepokea habari hii kwa mshutuko mkubwa sana,Kwakweli hawa wanajeshi hawastaili kutembea uraiyani,najua watajitetea lkn hakuna kosa utakalo lifanya ambalo unastaili kufa,walitakiwa wampeleke kiyuo cha Police na sio kumua, wao ndio wanatakiwa walinde wananchi wa Tanzania sio kuwauwa.Sasa nataka kuona serikali itachukuwa atua gani kuhusu hili swala.
ReplyDeletePole sana wadogo zangu Misuka,Syalo,Mwiza na Swetu jr.Kwakuondekewa na Baba. and all of Fundikira Family.Mungu awenanyi katika kipindi hiki kigumu.
R.I.P Swetu Fundikira
huyu ni mtoto wa chief Fundikira kabisa? if yes, i believe he's coming from strong family ambayo inaweza kusimamia justice! kweli hawa wanajeshi wanatakiwa kuchukuliwa hatua kali (kifungo cha maisha angalau) ili iwe fundisho kwa wengine vinginevyo so many innocents souls will be killed kwa mtindo huu. hii si mara ya kwanza kwa matukio ya namna hii kutokea (askari kuua raia) and waliotenda hivyo nadhani wote wameachwa huru kabisa wakati familia za marehemu husika zimeendelea kuumia hadi leo! this is not fair at all, something need to be done to stop this nonsenses! wanajeshi wanatumia silaa na skills walizofundishwa kwa kodi zetu against sisi raia? that's rediculous jamani! Michuzi, u guys need to stand tall on this issue, acha Swetu atumike kama grain of wheat kukomboa wengine wengi ambao watauwawa na wanajeshi! i'm so sorry for Swetu's family, imagine he has a wife and kids! his wife and kids will mourn forever as long as they live! i'm saying this because i lost my dad in 1988 and todate i'm stll mourning him, the same will apply to Swtu's kids knowing that their dad was killed! hao watoto watawachukia wanajeshi wote bcs of this and if they wont be counselled well, they may end up being against wanajeshi, God forbid but that's the truth! mbegu nyingine zinapandwa na binadamu wenyewe. nisiseme sana, hakika Mungu ni Mungu wa kisasi and he will definetely pay back!
ReplyDeleteanons jan 24,06.09pm, 6.15pm, 6.19pm, 6.37pm
ReplyDeletehakuna kosa jipya chini ya jua,ata km marehemu alikua kafanya kosa kwa hao "mabusati" wangemfikisha kunako,maana naskia ilikua usiku wa saa 7 na marehemu aliikwaruza gari la wahuaji eti ndo wakaanza kutwisha miguni na mateke,sijui virungu,,,jamani afu ndo jeshi la wanainchi yani siku tutaingia vitani RAIA vs WAJESHI
jamani ni habariza kusikitisha sana mimi nilivyosikia nilishindwa kuvumilia kaka yetu swetu jamani tutakukumbuka sana hasa sisi watoto wa mango garden..lakini hapa tunaomba haki itendeke wapewe adhabu ya kunyongwa kama wanazopewa watu wengine mana wameleta ukiwa hata kwa watoto wake jamani...mungu ailaze roho ya kaka yetu mpendwa mahali pema peponi AMEN.
ReplyDeleteDu poleni sana kwa msiba mzito familia ya fundikira..HIVI HAWA MASELA JEY WII KA WANA HASIRA SANA NA WANAHAMU YA KUZICHAPA Y WASIMUOMBE JK WAKAZICHAPE DRC, AFGHNISTAN AMA IRAQ?
ReplyDeletePOLENI SANA NDUGU WAFIWA WOTE INNA LILLAHI WA INNA LILAHI RAJIUN
ReplyDeleteMUNGU AKULAZE MAHALA PEMA PEPONI KAKA..
ReplyDeleteHII NCHI JAMANI MBONA INATIA KINYAA?
HIVI KUNA TUSI JIPYA LINALOPELEKEA KUTOA UHAI WA MWENZIO?
TATIZO HAWA WANAJESHI WANAJIDAI SANA AS IF HII NCHI IPO MIKONONI MWAO WAPO TAYARI KUFANYA LOLOTE.
NA SIO WAO TU VIONGOZI WOTE TULIOWAPA DHAMANA YA NCHI HII HAWATUJALI KABISA YANI NI KAMA VILE TUPO UGENINI..HAWAJIAMINI WANAONA KAMA WANADHARAULIKA NA HII NI TATIZO KUBWA LA KUWAPA DHAMANA KUBWA WATU WALIOTOKA FAMILIA ZA KIMASKINI SO ILE DHANA YA KUDHARAULIWA ANAKUWA NAYO KICHWANI HATA UMPE URAISI,SO ANATUMIA NGUVU YA DHIADA UMTAMBUE YY NANI.
TULIONA DITOPILE ALIUA DEREVA WA WATU KWA KISA CHA KIJINGA,
WAPO WENGI TU DIZAINI YA KINA WAZIRI NANI SIJUI ANAONGEA NA SIMU KWENYE ATM MLINZI ANAMWAMBIA ANAMUULIZA HUJUI MI NI NANI?
KWANI LAZIMA TUWAJUE KWA SURA VIONGOZI WOTE AMBAO KWA SISI WALALA HOI TUNAWAONA SIKU MOJA MOJA TU KWNYE TV!? KANG'ANG'ANIA ISHU NDOGO HIYO MPK MLINZI KAFUKUZWA KAZI..HUU SI SAWA NA UUAJI?MLINZI NA FAMILIA YAKE WATESEKE NDO RAHA YAKE.
WAPO WENGI TU WANAUA TU MTAANI HALAFU WANALINDANA.
UNAMPIGA MTU KAMA MWIZI KISA KAKUCHOMEKEA?
NDO NAANZA KUAMINI HAWA WANAJESHI WANAVUTA SANA BANGI