Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Mh. Dr. Aisha Kigoda akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa tamko la siku ya ukoma duniani. mjini Dodoma leo. Kilele cha siku ya ukoma itaadhimishwa wilayani Kilombero MKOANI Morogoro Januari 31, 2010
Waandishi wa habari za Bunge wakimsikiliza Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh.Dr. Aisha Kigoda wakati akitoa tamko la siku ya ukoma duniani mjini dodoma. Picha na mdau Catherine Sungura wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. sasa huyo Dada wa Kike hiyo not buuk ya karatasi ya nini tena wakati ana elektronik not buuk hapo?

    Si angeandikia tu humo kwenye laptop? Sasa kuna haja gani ya kubeba zigo lote hilo, bega linauma halafu huitumii?

    Au betri ilikwisha?

    ReplyDelete
  2. Tuite SIKU YA KUTOKOMEZA UKOMA,au KUPAMBANA NA UKOMA. tukiita siku ya ukoma naona kama tunaushangilia.
    Yangu ni hayo wadau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...