habari zinasema kundi hili la east african melody limemeguka na kwamba sasa kuna east african melody academia. yetu macho ila hawa jamaa ni wakali hasa katika miondoko hii ya pwani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. zee la mambasaJanuary 22, 2010

    Mama ndio maana USA wanamfadili mbwa maana binaadamu hatuwezekani haya jamani haya ni mambo ya msaikomichuzi turushie basi kibao chako huyo dada cha KINYAGO CHA MPAPULE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...