Mh. Zainabu Vullu, Mbunge Viti Maalum

LEO NI SIKU YA HEPIBESDEI YA KUZALIWA MH. ZAINABU VULLU. KWANZA KABISA ANASHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA KUMJAALIA KUSHEREHEKEA SIKU HII MUHIMU KATIKA MAISHA YAKE. PILI ANAWATAKIA WATANZANIA POPOTE PALE WALIPO KUDUMISHA AMANI, UPENDO, USHIRIKIANO NA UZALENDO WA KUIPENDA NCHI YAO. ANASEMA HAKUTOKUWA NA MNUSO WALA KUKATA KEKI. FURAHA YAKE YA KUINA SIKU HII NI MNUSO NA KEKI TOSHA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hongera Mheshimiwa Zainab.nakutakia kila la kheri.

    Mdau
    Haruna Mbeyu

    ReplyDelete
  2. Kwanza nakutakia sikukuu njema ya kuzaliwa. Pia napenda nikupe changamoto ifuatayo. Wakati ukifikiria mwaka uliopita na kuanza mwaka mpya wa maisha yako, ni wakati mwafaka wa kufikiria, kama mbunge:
    (i)Je, umeleta mabadiliko gani ya kudumu kwa watanzania katika mwaka uliopita. Iwe kwenye upande wa sera, utendaji au mchango miradi ya maendeleo inayoleta mabadiliko ya kudumu kama upatikanaji wa huduma za afya, elimu bora n.k?

    (ii)Je, unafikiri ungeweza kuleta mabadiliko zaidi kama ungeweka juhudi zaidi? Umejifunza nini?

    (iii)Je, unafikiri maadili yako ya kazi yamebadilika katika mwaka uliopita? Umekua kiuongozi?

    (iv)Je, umejiwekea malengo gani kwa ajili ya mwaka unaokuja?

    Nafikiri unawafahamu viongozi wetu vyema kuliko sisi wananchi. Je, kuna kiongozi ambaye unafahamu kuwa anafanya kazi kwa nia sio kwa maneno tu? Nakupa changamoto "FUATA NYAYO ZAKE"

    SIKUKUU NJEMA YA KUZALIWA.
    Mdau

    ReplyDelete
  3. Dada heshima yako and happy birthday...yaani mpaka kilemba kina "Z" for Zainab hahahaa. I bet you didnt plan that

    ReplyDelete
  4. hongera mama yangu mheshimiwa Vullu ehee sikuamini nilivyoiona picha yako mbona umekuwa mdada na umependeza hivi,happy birthday, kuombea mungu akusaidie kama ulivyofanikiwa kuiona birth day yako 2010 pia nakutakia ushindi mwema katika kinyang'iro cha uchaguzi 2010

    ReplyDelete
  5. Swali gumu kuliko yote kwa WaTz especially ladies " Je umetimiza mingapi mingapi now mama Mvullu?" I bet ankal pia hajui hapo katumiwa tu picha. Mkiweka hapibesdei za watoto mnaweka umri lakini watu wazima nenhi!!!

    ReplyDelete
  6. iiiii wajemeni hongeraga na mamiaka ya kuzaliwaa
    tangu mamiaka ya suukita mpaka leo bado unadai poa hongera Muheshimiwa

    ReplyDelete
  7. Mhe Hongera sana na pia hongera kwa kazi unazozifanya na dhamira yako ya kweli.

    Siku nyingine tuambie mapema ili tufanye mpango wa mpunga. Bajeti ya ndizi juu yetu.

    Mungu akusaidie katika mwaka huu wa 2010 ambao ni wa uchaguzi mkuu.

    Mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...