Support your local businessman, this ride is already at the taxi rank.
sofa sideways
back side
Speak of innovation in Africa
From Mdau wa Musoma





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 39 mpaka sasa

  1. Kaka mkubwa huo ni ubunifu wa aina yake. Lakini nina wasiwasi kama hilo ni Bajaj jamaa akaamua kuli-customize. Yeah ame -pimp his/her ride.

    ReplyDelete
  2. This is the best creativity. I don,t think if the 'wakubwa' will look for an opportunity to empower this guy.

    I fear, that he will be banned out insteady of being couraged.

    Tumeshuhudia uvumbuzi wa mitambo mbalimbali, ikiwemo ya kuvua umeme ya mstaafu askari, ya kule Makete, nk; lakini wanaishia kuonyeshwa kwenye TV na sifa zote kuishia hapo. Hakuna anayethubutu kuwawezesha.

    Hata Wajapan, walianza kwa vitu vidogo kama hivi. Tusisahau kuwa "Mbuyu ulianza kama mchicha"

    Mdau mpenda maendeleo.

    ReplyDelete
  3. Acheni kuwadanganya watu hii ni ubunifu wa philippines sio Musoma nendeni kwenye hii URL kuiona gari hiyo. thttp://green.autoblog.com/2009/07/13/a-truly-renewable-vehicle-comes-to-the-philippines-coconut-oil/

    ReplyDelete
  4. tunataka na helicopta ya mithili hii

    ReplyDelete
  5. this is an accident waiting to happen

    ReplyDelete
  6. ....Nimeipenda sana idea na ujasiriamali wa huyu mdau .... kazana taratibu tutafika...Big up!

    ReplyDelete
  7. THIS IS A POSITIVE SIGN FOR CHANGES IN TANZANIA ALL INNOVERTIVE-INVERTIVE-CREATIVITY INDIVIDUAL WILL BE FINENCED INDEFINENTY TO THEIR PROJECTS

    ReplyDelete
  8. nimelipenda hilo HUMMER, vipaji tunavyo bado kuviendeleza tu vifikie standard za kimataifa

    ReplyDelete
  9. Who is the innovator? What is the innovation, would you please tell us more. What is new here? Artcraft? Engineering? Both? Please let us know - I am sure there are so many out there who are equally keen to know more.

    ReplyDelete
  10. Hii Ni kali. Kwakweli ningependa kununua hii. Shida yangu itakuwa kwamba nikipita mtaani madaladala watataka waigonge waone inavyoweza kupambana na chuma. Wenye vituo vya mafuta watadondoshea mafuta wakati wa kuweka. Nikipita mtaani watoto wataweka kiberiti waone inaunguaje!

    ReplyDelete
  11. Mzushi huyo! Hivyo vi magari vya makuti ni vya Li- Philipino! Angalia background!

    ReplyDelete
  12. Holy Cow !! can you show us the motor of that junk??

    ReplyDelete
  13. Does it meet safety standards?

    ReplyDelete
  14. For real?........what is its crash safety rating?

    ReplyDelete
  15. Great!! ...ila ni kuomba Mungu isitokee ajali!! Maana hizi nyasi sidhani kama zitawahifadhi vizuri waliomo ndani.

    ReplyDelete
  16. Duh sipati picha mvua ikinyesha inakuwaje.safi sana kidogo kidogo tutafika tu.
    mdau scandi.

    ReplyDelete
  17. Uongo Zambi magari haya yanatengenezwa Thailand or Philipines Mdau wa Musoma ungejitokeza basi tuone kweli. Kilimandi

    ReplyDelete
  18. sasa hapo injini ikipata moto hayo mapande ya mikeka si yataungua??

    ReplyDelete
  19. sipendi ku-criticsize vitu bila sababu za msingi. well, hebu tuangalie kweli kama hii unayoiita innovation ina viwango vya kuitwa innovation yenye mwelekeo mzuri.
    1.nakubaliana na wewe kwamba kwa joto la msoma mjini hii kwa abiria wako imewapunguzia joto.
    2.usalama wa hii hammer yako ni mdogo na hatari kwa maisha kuanzia dereva hadi abiria kwasababu zifuatazo:
    a]imesheni mbao na mkeka,vitu ambavyo kama itatokea kugongwa au kuanguka havita himili shearing force,mbao zitavunjika na zinaweza kuwachoma na kuwaua abiria wako,na wengine kurushwa nje waanguke na kufa au kujeruhiwa vibaya.
    b]materia zako ziko prone kwa kushika moto,ukizingatia gari yao inatumia mafuta na material za mbao na mkeka zio fire proff.
    2.sikubaliani sana kuwa hii ni innovation ya kimaendeleo maana sidhani kama kuna ulichobadili ktk technology nzima,hapa nikimaanisha:
    -fuel inayotumika kama ni environmental friendly,
    -engine inayotumika kama ni home made na economical kwa mtumiaji.
    hivyo basi kama kweli tunazingatia innovation nilazima tufanye vitu ambavyo vinatutoa ktk ujima kwenda mbele i.e development from good to better,from better to best. lakini kwa style za ukingwendu wa kuchekesha na kufurahisha macho ya kadamnasi hatufiki kokote.na hiki ndicho kinafanyika hasa tanzania.
    samahani kama nimekosea huu ni mtizamo wangu.
    mdau

    ReplyDelete
  20. ubunifu wa kiafrica unawaza finyu sana mvua ikinyesha hayo makuti inakuaje

    ReplyDelete
  21. All I see there is fire hazard and a lot of safety code violations!

    ReplyDelete
  22. BIG UP kwasana mdau kwani umejitahidi sana kuonyeshauwezo wako katika taaluma uliyonayo,unahitaji support hasa kutoka serikalini.jaribu kufanya mawasiliano huenda ikawa bahati nzuri kwako.

    ReplyDelete
  23. "WELLDONE THIS IS A PIECE OF ART"

    Huu ni mwanzo baada ya miaka kupita kizazi kijacho kitarudi nyumba na kuiomba hii picha kama ukumbusho wa wazee waliopita wametoka mbali,kwa sasa yaonyesha kama ni mojawapo ya mazingara yetu ya uigizaji. Mkuu jaribu kuifadhi hii picha na maoni kwa kizazi kijacho

    Mickey Jones Amos
    Denmark

    ReplyDelete
  24. EX FAR EAST, GREAT!!

    THAT WILL KEEP YOU BUSY AND FORGET ABOUT CATTLE RUSTLING FOR WHILE.

    GOOD LUCK!!

    ReplyDelete
  25. Duh Mdau nakupa big up sana. Kama umeweza ama ukiweza andika mtiririko wa materials ulizotumia -aina gani - kiasi gani mchanganyiko kama upo, pamoja na mahitaji yake yote, michoro nk hakika utaweza saidiwa kuendeleza shuhuli hii pevu ama na VETA ama wadau wenye pesa zao wajitokeze kuendeleza jambo hili zuri... tunaweza baada ya muda tukatokea hapa... Pls wadau wengine mtoe mawazo endelevu kwa inshu hii...

    ReplyDelete
  26. Kama technolojia ya mtanzania ndo hii hakika tunamuda mrefu sana wa kujikomboa kutoka katika umaskini, magari kama haya yalitumiaka zaidi ya miaka 600 iliyopita! Huu bado ni ujima na utaalamu wa zama za mawe, tafadhali tuondoke katika ufinyu wa kufikiri na tutumie akili na utashi aliotupatia mwenyezi Mungu kufikiri mambo yanayoendana na technolojia ya sasa. Kaa chini na ufikiri namna ya kutengeneza umeme kwa kutumia upepo na mambo mengine mengi sio kupoteza muda wa kutengeneza gari ya kutumia miti, Jee hii ndo Green Technology? Gari zuri kwa maonyesho lakini sio kwa technolojia ya sasa litawaka moto wakati wowote! Sory!
    Mdau wa damu

    ReplyDelete
  27. Kaka Ankali,
    Huyu jamaa ni mbunifu na ingetakiwa wadau kama hawa wawezeshwe. badala ya kushabikia politix ingetakiwa TZ iwe inahangaika namna ya kuwaendeleza wabunifu kama hawa.Hii imetulia uncle. Nampa FIVE huyu mdau.

    ReplyDelete
  28. Is this real car or a model? If so then it's such amazing!

    Mdau, Canada.

    ReplyDelete
  29. Kuna watu hapo juu wao nafikiri ni vichwa vya panzi Jamaa amashangaa ooh ...... cow!!! mara moto, wengine tayari wanazungumzia safety jamani wewe unajifanya kujua yote hayo unafanya nini! Si ajabu kazi yako ni kubeba box! hata sindano imekushinda kuitengeneza, Tunazungumzia ubunifu Hata Hammer haikuanzia hapo na wala si kazi ya mtu mmoja kutengeneza full functional peace of work. Michango na mawazo ya watu yanatakiwa kufikia ukamilifu!
    Haya magari ndo usafiri wa wafilipino na yanafanya kazi Manila na sehemu zingine za filipines

    ReplyDelete
  30. mdau wa jan 15,saa 10:09 pm
    sikubaliani na wazo lako kwamba watu wanapinga bila sababu,kumbuka kwamba kila anachofanya mwanadamu kwa ajili ya kumsogeza mbele na kuweka maisha yake ktk usalama zaidi ndicho huitwa maendeleo.
    sasa toa basi hoja yako inayothibitisha kwamba haya ni maendeleo. maana kama bodi ya gari hiyo ingekuwa imejengwa imara kwa usalama wa abiria hakuna ambaye angelalamika. au kama huyo mtengenezaji angekuwa kaja na ubunifu wake mpya wa kubuni engine yake basi tungemsifu. lakini hii ni sawa na mtu anayejenga dungu akiigiza gorofa,kisa unamsifu eti ni ubunifu.ungekuwa ubunifu kama kweli hakuna gorofa.
    hapa ninakoishi kuna project ya muda mrefu sana tangu ilipoanza wametengeza gari inayotumia maji,japo hawajaanza kuzizalisha lakini niliona inavyofanya kazi na nikapenda,hayo ndiyo maendeleo maana haichafui mazingira na nirahisi kuimudu unachohitaji ni distilled water tu pamoja na lubricants tena wanazotengeneza pia kutokana na mwani.
    sasa hii nayo ya mbao na misumari kisha chasis na engine umechukua za mjapan unaita innovation?
    hapana kaka hapa tunadanganyana na kuchekesha hadhara muda uende. bora hata mchina aliyetumia engine ya pikipiki kutengeneza helicopter,maana aliruka juu toka ardhini.
    mdau

    ReplyDelete
  31. Aliyeweka habari ya picha hii ni mzushi wa uwongo kweli!

    Acha kudhalilisha jina la Musoma!

    ReplyDelete
  32. Aliyetengeneza gari hili tafadhali nitafute.

    Nataka nikupe $1,000 kwa ubunifu wako.

    Asante.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  33. WABONGO TUNACHEKESHA...LOL! KUNAUBUNIFU GANI HAPO. WENZETU WAMETENGENEZA MAGARI YA MAKUTI WAKATI WA ZAMA ZA MAWE. SISI TUNATENGENEZA WAKATI WA SCIENCE NA TECHNOLOGIA.. IS THAT A JOKE? HAKUNA INOVATION HAPO NI SAWA NA MAMA KAAMUA KUSUKAKEKA STYLE YA GARI.

    ReplyDelete
  34. Si sahihi kwa wadau kutuma habari ambazo si sahihi. Hii inapunguza uaminifu wa blog. Sasa mi nilidhani kweli ni Musoma, kumbe sio. Wadau, sio vizuri kumtumia Michu vibaya.

    ReplyDelete
  35. excellent, fantastic, faboulous - vizuri saana sio mtu anajiita yeye ni professor kumbe uprof wenyewe ni wa theory, ungwini na research ambazo hazijamkomboa mtanzania na kuendelea mtegemezi hadi kufikia hatua stick za meno anaimport from abroad


    NONDO

    ReplyDelete
  36. ignore my last comment... congratulation philippines!!







    NONDO

    ReplyDelete
  37. JAMANI KUNA VITU VIWILI HAPO HUO SI MAENDELEO YA GARI ILA NI UBUNIFU, NA HIYO NI PHILIPINO SI MUSOMA.

    ReplyDelete
  38. KWANINI MUNAWEKA MAMBO YA UONGO HUMU? sio ubunifu wa kiafrica

    ReplyDelete
  39. Dah,nampa big up sn huyo mdau aliebuni hiyo ndinga. Ila naona kama sio musoma vile?? ingekua hivyo wasinge gombania ng'ombe daily wanatuzingua PUMBAVU HAO.

    Kifaru.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...