Wazee wa Ngwasuma FM Academia FC katika picha ya pamoja kabla ya kupepetana na Twanga Pepata Leaders Club Jumapili. Prezidaa Nyoshi el Sadat ndiye kepteni na kipa wa timu. anazifuata ile mbaya utadhani Isega Isindani kwa masarakasi. ngoma ilimalizika droo 0-0
Twanga Pepeta United wakiwa tayari kuwava FM Academia
Twanga Pepeta United wakiwa tayari kuwava FM Academia
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...