wa i-view anayeratibu mambo ya taswira ya kampeni hii.
kutembelea tovuti yake




(picha zote za juu ni kwa hisani ya i-View)
Aliyekuwa Balozi wa Marekani nchini Mh. Mark Green akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari kwenye Hoteli ya Movenpick wakati wa uzinduzi wa kampeni ya "Malaria Haikubaliki: Tushirikiane Kuitokomeza"
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Profesa David Mwakyusa katikati akisikiliza hotuba ya aliyekuwa Balozi Marekani nchini Mh. Mark Green alipokuwa akizungumza katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni ya kutokomeza Maralia kwenye Hoteli ya Movenpick leo. Kulia ni Bw. Peter Peter Chernin (Mwenekiti wa Malaria no More Marekani ) ambaye ameungana na Balozi Mark Green katika kampeni hiyo. Shoto ni Naibu waziri wa Afya Dk. Aisha Kigoda.
Mwaka huu Tanzania itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kufanikisha zoezi la utumiaji wa chandarua ya mbu na kutolewa kwa gharama nafuu kwa raia wake. Katika kuhamasisha juhudi hizi, Raisi kikwete na Malaria haikubaliki inahamasisha kila mtanzania kuwa na jukumu la kujilinda mwenyewe na familia yake katika kuidhibiti malaria.
"Ulimwengu wa muziki unanafasi kubwa katika kufikisha ujumbe kwa watanzania katika kupambana na malaria na kupata mafanikio makubwa katika kupambana na ugonjwa huu, alisema Lady Jay D kama msemaji wa wasanii walio katika kampeni hii. "Watanzania wote wataweza kupaza sauti zao kwa njia ya wimbo kwa nia moja ya kusitisha malaria nchini".
Kampeni ya Malaria Haikubaliki pia imehusisha baraza la kiristo nchini na baraza la kiislam kuwahusisha viongozi wa kiimani na waumini wao kuweka juhudi katika kupambana na malaria nchi nzima.
Barani Africa malaria haiathiri maisha ya watu tu bali jamii nzima. Husababisha mtu mmoja kukosa kazini kwa siku kumi na tano ndani ya mwaka familia inatumia zaidi asilimia 25 ya kipato cha familia katika kutibu malaria barani Africa.
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imetangaza kuwa leo mheshimiwa Raisi Jakaya M. Kikwete amekubali kuongoza kampeni ya Malaria Haikubaliki: Tushirikiane Kuitokomeza.
Wizara hiyo imeungana na wasanii mashuhuri wa Tanzania, washirika wa kimataifa na viongozi wa serikali, wafanyabiashara na vitengo vya sanaa kulitangazia Taifa tamasha la zinduka hapo tarehe februari 13, mwaka huu katika viwanja vya leaders club jijini Dar es salaam. Tamasha hili ni la kuwahamasisha watanzania katika kupambana na malaria.
Mwaka huu Tanzania itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kufanikisha zoezi la utumiaji wa chandarua ya mbu na kutolewa kwa gharama nafuu kwa raia wake. Katika kuhamasisha juhudi hizi, Raisi kikwete na Malaria haikubaliki inahamasisha kila mtanzania kuwa na jukumu la kujilinda mwenyewe na familia yake katika kuidhibiti malaria.
Tanzania, kama kiongozi wa kupambana na malaria ulimwenguni, inahamasisha sekta zote za kijamii zikiwamo sekta za sanaa, biashara, na michezo kujumuika pamoja kupambana na malaria nchi nzima.
Chini ya uongozi wa Raisi na wizara ya afya na ustawi wa jamii kampeni hii ya uhamasishaji imelenga kila jamii ya kitanzania ili kubadili mtazamo wa watanzania juu gonjwa hili la malaria.
Chini ya uongozi wa Raisi na wizara ya afya na ustawi wa jamii kampeni hii ya uhamasishaji imelenga kila jamii ya kitanzania ili kubadili mtazamo wa watanzania juu gonjwa hili la malaria.
Matokeo ya juhudi hizi ni kuongeza ujuzi zaidi wa kujikinga na malaria kama kulala ndani ya chandarua kilichowekwa dawa, tambua na itibu malaria mapema na hakikisha unajali na kuangalia afya ya mama mjamzito.
“Waafrika wengi hudhani malaria haiepukiki, na kwamba hakuna wanachoweza kufanya katika kuzuia gonjwa hili. Tunakwenda kuwahakikishia kuwa sio sahihi. Tunaweza kupunguza vifo vitokanavyo na malaria” alisema Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii David Mwakyusa.
“Pamoja na mheshimiwa Raisi Jakaya Mrisho Kikwete ninaamini kila Mtanzania atajiunga pamoja kutamka kuwa malaria haikubaliki nchini kwetu 2010", aliongezea Profesa Mwakyusa.
Katika shughuli za mwaka 2010, Raisi Kikwete ataongoza tamasha la kitaifa liitwalo zinduka litakalowashirikisha wasanii mashuhuri wa Tanzania akiwamo msemaji mkuu wa tamasha hili lady Jay dee, Professor Jay, Tanzania House of Talent (THT na wengine wengi.
Kupitia vituo vya luninga na redio ujumbe wa tamasha hili utaweza kuwafikia mamilioni ya watanzani na ujumbe mahususi wa kutambua jukumu lao katika kujikinga na ugonjwa wa malaria.
Wasanii hao mahiri wa Tanzania wametunga wimbo wa pamoja unaozungumzia athari za ugonjwa wa malaria, wimbo uliowashirikisha wasanii 18.
Wimbo huo umetambulishwa kwa waandishi wa habari na utaimbwa siku ya tamasha la zinduka.
"Ulimwengu wa muziki unanafasi kubwa katika kufikisha ujumbe kwa watanzania katika kupambana na malaria na kupata mafanikio makubwa katika kupambana na ugonjwa huu, alisema Lady Jay D kama msemaji wa wasanii walio katika kampeni hii. "Watanzania wote wataweza kupaza sauti zao kwa njia ya wimbo kwa nia moja ya kusitisha malaria nchini".
Shughuli kibao za ushirikiano za kijamii, ujumbe kwa njia ya luninga na radio,mabango,ngazi ya jamii,kiutamaduni, matukio ya kimichezo na maonyesho ya barabarani ili kuhakikisha ujumbe wa malaria haikubaliki unaufikia kila familia nchini Tanzania.
Kampeni hii ya kitaifa itakuwa kwenye engo zote za ngazi ya kijamii na kila nyumba kwa kuhamasisha shughuli za kijamii zitakazotolewa na Population Services International ,Johns Hopkins University na shughuli za district advocacy zitakazoongozwa kwa sauti moja. Wakati huo huo chama cha msalaba mwekundu Tanzania kitakuwa katika kampeni za nchi nzima.
Kampeni ya Malaria Haikubaliki pia imehusisha baraza la kiristo nchini na baraza la kiislam kuwahusisha viongozi wa kiimani na waumini wao kuweka juhudi katika kupambana na malaria nchi nzima.
Barani Africa malaria haiathiri maisha ya watu tu bali jamii nzima. Husababisha mtu mmoja kukosa kazini kwa siku kumi na tano ndani ya mwaka familia inatumia zaidi asilimia 25 ya kipato cha familia katika kutibu malaria barani Africa.
Malaria ni kikwazo katika maendeleo, inakadiriwa barani Afrika dola bilioni 12 kila mwaka zinapotea na asilimia 40 zinatumika katika masuala ya afya.katika kupambana na ugonjwa huu, Tanzania imeweza kuonyesha jinsi Africa peke yake inavyoweza kujikwamua kutoka kwenye mzigo wa malaria na kuendeleza mikakati yake ndani na nje ya mipaka.
Malaria Haikubaliki: Tushirikiane Kuitokomeza inaongozwa na serikali ya Tanzania na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Washirika wengine katika kampeni hii ya kupinga malaria ni Roll Back Malaria Partnership, Malaria No More, Population Services International, Johns Hopkins University Center for Communication Programs, Tanzanian Red Cross, United Against Malaria, MEDA na World Vision with support from the Global Fund.
ILI TUWEZE KUPAMBANA NA MALARIA MATANGAZO YA BIASHARA ZA VYANDARUA YAPIGWE MARUFUKU, ELIMU IANZE KUTOLEWA JINSI YA KUANGAMIZA MAZALIO YA MBU IKIWA KUFUKIA MADIMBWI YA MAJI YALIYOTUAMA. MATANGAZO YA VYANDARUA YANASHAWISHI KUZALISHA MBU ZAIDI ILI VYANDARUA VIUZWE KWA WINGI NA HAYASHAWISHI WALA HAYAZUNGUMZII LOLOTE KUHUSU KUANGAMIZA MADIMBWI YA MAJI MACHAFU BALI YANASEMA VYANDARUA PEKEE NDIYO VINAVYOWEZA KUPAMBANA NA MALRIA.
ReplyDeleteVery nice pictures...shukurani wote kwa picha nzuri, Shukurani kwa JK,ankal,i-view (Raquey), wasanii wote, na kila mtu aliyetokea kwenye picha sita za juu kabisa (bi kidude, banana, marlaw,jd,prof J)-IITIFAKI IMEZINGATIWA
ReplyDeletehao wamerekani ni wafanya biashara zaidi
ReplyDeletenaunga mkono comment ya kwanza hapo iliyotolewa Fri Jan 15, 08:20:00 AM
"ILI TUWEZE KUPAMBANA NA MALARIA MATANGAZO YA BIASHARA ZA VYANDARUA YAPIGWE MARUFUKU, ELIMU IANZE KUTOLEWA JINSI YA KUANGAMIZA MAZALIO YA MBU IKIWA KUFUKIA MADIMBWI YA MAJI YALIYOTUAMA. MATANGAZO YA VYANDARUA YANASHAWISHI KUZALISHA MBU ZAIDI ILI VYANDARUA VIUZWE KWA WINGI NA HAYASHAWISHI WALA HAYAZUNGUMZII LOLOTE KUHUSU KUANGAMIZA MADIMBWI YA MAJI MACHAFU BALI YANASEMA VYANDARUA PEKEE NDIYO VINAVYOWEZA KUPAMBANA NA MALARIA"
Tuondoe mazalia ya MBU. angalau iwe moja ya strategy
Tunaomba kampeni iwe ya vitendo kama tunavyoona wenzetu kule Zanzibar, wako na vitendeakazi vya kuangamiza mbu (mashine za kupulizia madawa) na mazalia yake. Isiwe kampeni ya kwenye nyimbo za bongo fleva na kwaya. Tutasikia sisi binadamu tu mbu hawaogopi kwaya wala rap; wanazidi kuzaliana tu na usiku kutuuma. Walivyo wajanja hata hapo panapoimbwa rap wao wanakuja na kuuma watu vile vile.
ReplyDeleteHivyo Nashauri mikakati iwe ya kuangamiza mbu, siyo kuvaa au kujifunika vyandarua; na wala siyo kumeza makwinini. Tumeanza zamani kumeza lakini bado malaria yanatumaliza.
Tufukie madimbwi, kupulizia madawa katika vichaka wanamojificha mbu, majumbani nk kwa vitendo, siyo kwa nyimbo.
US citizen is not a requrement
ReplyDelete[USA] Graduate Students and Postdoc Positions in Information Sciences at Los Alamos National Laboratory
The Socio-technical Modeling and Simulation team in the Information Sciences Group (CCS-3) at Los Alamos National Laboratory (LANL) has projects in modeling and simulation spanning the full range of research activities from problem analysis, algorithmic and system design, to implementation, testing and applications of our tools. Our work covers a diverse and ever-expanding spectrum of application domains with a focus on infrastructure modeling; our current portfolio includes communication networks, transportation networks, commodity networks, epidemic modeling, agent-based activity modeling, and social networks. Our simulations model large-scale socio-technological systems with high fidelity. To tackle the scalability challenge, we implement our systems on high-performance distributed computing clusters. Most of our students have been able to publish their work done here in peer-reviewed journals and conferences.
We have several openings for graduate students to work with us for a limited period of time (typically between three and 24 months). We also have openings for postdoctoral positions, preferably in cyber-security (2 year appointments with one year of potential extension). Applicants should have demonstrated domain knowledge in one or more of the following areas:
•Cyber security
•Communication networks
•Domain-specific knowledge in critical infrastructures (e.g., Internet, transportation networks, public health, etc.)
•Combinatorial algorithm design
•Distributed discrete-event simulation
We also expect applicants to have the following skills:
•Excellent verbal and written communication skills in English
•Strong programming skills and interest in C/C++, including template programming and STLs
•Knowledge of one or more scripting languages (Perl, Python, shell)
•Experience with distributed programming and MPI will be a plus.
US citizenship is NOT a requirement.
Starting dates for these student positions are negotiable; the appointments related to the above positions are expected to start between April and August, 2010. Please send your CV (PDF preferred) to ghyan@lanl.gov. Please also put “Los Alamos CCS-3 Internship in 2010″ in your subject line. CVs received no later than Feb 15, 2010, will receive full considerations.
Los Alamos National Laboratory provides an excellent academic working environment with access to state-of-the- art technologies and also an impressive pool of researchers with diverse backgrounds for collaborative efforts. Annualized student and postdoc salaries fall in the range from USD 44K to USD 70K depending on education status.
Los Alamos is a small, picturesque town located at an altitude of 7000 feet in northern New Mexico, and offers ample opportunities for outdoor recreation, public concerts, and artistic activities. In addition, the nearby city of Santa Fe is home to a great variety of cultural events throughout the year.
We are looking forward to your application!
=============================
Guanhua Yan, Ph.D.
Information Sciences (CCS-3)
Los Alamos National Laboratory
E-mail: ghyan@lanl.gov
Phone: +1-505-667-0176
Homepage: http://ghyan.weebly.com
Jamani hyo Banana na Marlaw sijapenda kabisa jinsi walivyo vaa, yaani mnaenda kukutana na Rais kisha mnavaa jeans, hebu muangalieni Pr Jay, kweli hyu jamaa yko juu.
ReplyDeletemazalia ya mbu ndo yaangamizwe
ReplyDeleteannon #1 well said,,,
me ndo kila siku sijawai elewa izi kampeni ZA KIBIASHARA ZAIDI za wazungu na wengine wa bongo apa..
kwanini mwaganda na mineti yenu?sijui xpel mara dawa mseto?????acheni kuua watu nyie ?"":L:"|"'@?: zenu sana
puliza DDT ktk madimbwi yote na mazalia mengine
na ww unaesema sijui wavae suruali za vitambaa eti wako na rais!!sasa tukisema na rais ndo kavaa nini ilo t-seti na kulamba mkanda nje tena juu ya kitovu???acha zako
wewe annon uliyesema eti hujapenda banana na marlow walivyovaa. Ulitaka wavae suti? Presidaa mwenyewe umemunona alivyovaa? Hao ni wasanii.
ReplyDeletewabongo tumeishakuwa sugu na ngonjera pamoja na mabango ya 'tanzania bila ukimwi inawezekana' na 'malaria haikubaliki' bila kusahau 'kilimo kwanza'! Hayo mabilioni mnayotumia katika mabango yapelekeni kuboresha elimu ya msingi ambamo somo juu ya malaria linaweza kujumuishwa katika mitaala - na uone matokeo ya elimu endelevu juu ya malaria baada ya miaka kumi!!!!
ReplyDeleteninakubaliana na mdau hapo juu kuwa hii ni biashara tu ambayo imeambatana na ufisadi na mtindo wetu ule ule wa 'zima moto'. period.
Hata mimi naungana na wadau waliotangulia kusema hapo mwanzo, kuwa malaria haitamalizwa na rap za wasanii au kuuza vyandalua bali ni kwa kuondoa vyanzo vya mazalio ya mbu yaani (source reductions). Halafu nataka kuuliza, hawa wadau ni kwa sababu ya majina yao makubwa au kwa sababu ni pesa ya grobal funds ndio maana lazima irudishwe kwao kwa njia hiyo?. Mbona kuna mashirika mengi yasiyo ya kiserikali NGOs zenye wataalamu waliobobea katika fani hiyo yaani entomologist, epidemilogist and communicable diseases controler hawahusishwi?, Kwanini serikali na wizara ya afya isitoe matangazo ya expression of interest ili kila mwenye kujiona ana mchango wowote katika kampeini hii atume maombi?. Jamani malaria inatuua sisi watanzania sio hao wanaotuletea msaada. Shauri yetu bwana sisi tunafanya kazi ngazi ya jamii kwenye vijiji ambapo hata upunguze bei ya chandarua namna gani hawataweza kununua hali zao kiuchumi ni za kutisha!. Rap tuimbieni, Raisi wetu shiriki tu, mabango bandika sana tu, viongozi wa dini shiriki tu na vyandarua uzeni tu lakini malaria haitakwisha kwa mtindo huu ng'o. Tunangojea mwisho wa mradi kupata tathimini ya tunasikitika mradi haukuzaa matunda yaliyokusudiwa, unajuwa hapa palikwenda hivi mara vile. Wasalaam aleikhum.
ReplyDeleteMAONI YA HIRO RITOA MAONI RA KWANZA NI YA UPEO WA JUU SANA KWA KWERI. MAONI YANGU NI KWAMBA MALARIA YAPO MPAKA LEO KWA SABABU WATU WANANUFAIKA SANA NAYO!!WATU MILLIONI NYINGI TU WANAHITAJI DAWA KILA SIKU, CONSTANT, REPEATITIVE!
ReplyDeleteMALARIA SIO NGUMU KIASI HICHO KUTOKOMEZWA, NI UTASHI WETU TU. TUKITEGEMEA MJOMBA, YEYE ANAANGALIA ZAIDI MASLAHI YAKE KWENYE TEKNOLOGIA ENDELEVU YA FAIDA KUPITIA DAWA. TUPELEKE FEDHA KWENYE UTAFITI, SIO KUJENGA MAJUMBA YA KIFAHARI YA VIONGOZI!
rais wetu wangemvika ka jeans pale angetoka kweli ... lakini t-shirt na dresspants mmmmh na kama kawaida yake anacheka tu, natamani na mie ningekuwepo pale kwenye picha
ReplyDeleteJK juu juu juu ZAIDI
PROFESSOR "J" NA "JK" HONGERA.... PROFESSOR "J" UZEE UKO MBIONI MAPEMA TUU (UNAUKIMBILIA)...
ReplyDelete