Naibu waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Joel Bendera akifafanua jambo kwa kamati ya kudumu ya Bunge ya maendeleo ya Jamii kuhusu mpango wa serikali wa kuiboresha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) mara baada ya kamati hiyo kukagua maeneo mbalimbali.
Mh. Elietta Switi ,Mbunge wa viti maalum kutoka Rukwa akisisitiza jambo kuhusu mmomonyoko wa maadili na utamaduni nchini wakati wa ziara ya kamati ya kudumu ya Bunge ya maendeleo ya Jamii katika Chuo cha Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa).

Mkuu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Bw. Juma Bakari akitoa ufafanuzi kwa kamati ya kudumu ya Bunge ya maendeleo ya Jamii mara baada ya kuwasili jana mchana kuhusu mkakati unaoendelea wa kuiboresha Taasisi hiyo katika maeneo mbalimbali yakiwemo ya elimu na Miundombinu. Kushoto ni mwenyekiti wa kamati hiyo Mh. Jenista Muhagama na Naibu waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Joel Bendera.

Mbunge wa Mbinga Magharibi Capt. John Komba ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii akichangia mjadala kuhusu hali ya utamaduni nchini wakati wa majumuisho ya ziara ya kamati hiyo katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo jana mchana. Picha na mdau Aaron Msigwa wa Maelezo




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Very well motivated by per diem.

    ReplyDelete
  2. GENERAL
    Salutation Honourable Member picture
    First Name: Capt. John
    Middle Name: Damiano
    Last Name: Komba
    Member Type: Constituency Member
    Constituent: Mbinga Magharibi
    Political Party: CHAMA CHA MAPINDUZI
    Office Location: P.O.Box 60161, Dar es Salaam
    Office Phone: +255 754 284527
    Ext.:
    Office Fax:
    Office E-mail: jkomba@parliament.go.tz
    Member Status: Current Member
    Start Date: 28 December 2005
    End Date: 27 December 2010
    Date of Birth 18 March 1954
    EDUCATIONS
    School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
    Lituhi Primary School Primary Certificate 1963 1969 PRIMARY
    Songea Boys Secondary School O-Level Education 1971 1974 SECONDARY
    Kleruu TTC Certificate 1975 1976 CERTIFICATE
    Cadet Training Unit - Monduli Diploma 1978 1979 DIPLOMA
    Magdeburg - Germany Diploma 1988 1990 DIPLOMA
    Chuo cha Sanaa - Bagamoyo Diploma 1986 1988 DIPLOMA
    CERTIFICATIONS
    Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
    No items on list

    EMPLOYMENT HISTORY
    Company Name Position From Date To Date
    CCM Chief Culture 1992 2005
    Tanzania One Theathre (TOT) Executive Director 1992 2005
    JWTZ Chief Culture 1978 1992
    Ministry of Education Teacher Grade III 1977 1978
    POLITICAL EXPERIENCE
    Ministry/Political Party/Location Position From To
    CCM NEC Member 1987 to date
    PUBLICATIONS
    Description Published Date
    No items on list

    SPECIAL SKILLS
    Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
    No items on list

    RECOGNITIONS
    Recognition Type Recognition Date Reason Action Taken Issued by
    No items on list

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...