Home
Unlabelled
kibao 'zanzibar' na sipho hotstix mabuse
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bro. Mithupu umenikumbusha mbali sana enzi za ujana wetu wakati tunayaruka magoma YMCA na Rungwe Ocean
ReplyDeleteDuh Thx bro Michuzi kwa kunipa Taswira ya zamani . kweli tumetoka mbali kwa maana umenikumbusha enzi za YMCA wakati huo wewe unakaa Aggrey. mangomani wewe ndie uliyekuwa unatufotoa na picha mtu unazipata week inayofatia , unapewa picha yako na negative hahahahaha hakuna mambo ya digital. mabingwa wa kucheza disco wakati huo YMCA na Mbowe wanajulikana kina Tony,Sabri, Bandawe,Maulid Tewa . big up mkuu tunaomba uwe mara kwa mara ukituletea vitu kama hivi.
ReplyDeletemdau Leicester UK.
Du! wakati Bilicanas ikiwa Mbowe!
ReplyDeleteDj Kalikali
'Nhamba Dance', 'We are Number One','Soul Train', 'Zanzibar','Weekend Special', 'Brigadier Sabari', 'Dancing on the floor', 'Going Back to My Roots'
ReplyDeletekweli tumetoka mbaliiii na pembeni yupo Michuzi na still camera yake kufotoa, tukachukue picha kwa Bakhresa Riddoch Motors kesho mchana!
Mdau
Jijini London
Du! nimejaribu kusikiliza hilo song lakini sijasikia neno ZANZIBAR,kweli aliyeimba zanzibar ni huyo jamaa lakini hicho sicho kibao chenye hilo tittle,tafadhari hebu tuwekee kibao Zanzibar sasa, manake munkari ulisha panda
ReplyDeleteAliyesema Rungwe beach hizo zilikuwa zetu sie wadogo sasa ndio tupo 25.
ReplyDelete