Home
Unlabelled
kipende chako
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa hapo hao yanga wamewafunga nani? au wameifunga timu ya wapiga picha!!!
ReplyDeleteVijana majina yao yanapotumika kibiashara wapewa mafao yao? au ni Ujiko tuu?
ReplyDeleteNI VIZURI SANA KUTHAMINI WACHEZAJI NA WANAMICHEZO WETU PAMOJA NA WANAMUZIKI/FILAMU , LAKINI TUWE MACHO NA WANAOTAKA KUFAIDIKA KIFEDHA KWA KUCHAPISHA/KUTENGENEZA KWA WIZI KAZI ZA WENGINE/WAVUJAJASHO.
ReplyDeletengoja na mie leo nichangie hata post nyingine sio kuvizia vizia pajazzz tu.
ReplyDeleteNaam kaka michu nikiwa wa kwanza kutoa maoni katika post hii ninasema kwamba hiyo staili nyemelevu kaka ni bomba sana. sio kuvaaa drogbaa drogbaa, lampadiiii lampadiii, wakati tuna kina mwaikimba nyumbani. za drogba zinavaliwa abidjan coz wanajivunia mtu wao. pendeni vyenu.
Nyie hamumuoni Michuzi ni shabiki wa liverpool kwelikweli kama mimi hapa na anavaa jezi za liverpoool lakini nyuma anaziandika majina yake mwenyewe. kuna moja nyuma kaiandika ''LIBENEKE'', nyingine kaiandika ''MDAU''. havai sijui gerard, sijui torres.huo ndo uzalendo manake kuandika libeneke nyuma ya jezi yako ni kukikuza kiswahili. na mie saa zingine huwa nina pointi jamani msidhani akili yangu imekaa kipaz pajazz tu, hiyo ni obi tu. ahsanteni na kwaherini
mdau wa pajazzz
JAMANI KUULIZA SI UJINGA MBONA NAFATILIA SANA MPIRA WA AFRICA CUP LAKINI TIMU YA TZ SIJAIONA IKICHEZA?????? AU MPIRA WA TANZANIA UNAISHIA HUKO UWANJA WA UHURU TU???????????? NAJISIKIA AIBU KUONA MSUMBIJI WAMO TANZANIA TUNAONGOZA KWA KULA RUSHWA, UKIMWI, MALARIA, NA UFISADI MUNGU TUJAALIE NCHI YETU ITAWALIWE TENA KAKA MITHUPU USINITIE KAPUNI
ReplyDeleteMimi mwenyewe nataka mojai la sijui pa kuzipata maana nipo nje ya Tanzania, nchi za Asia.Kuna mwenye kujua lolote, tafadhali anisaidie.
ReplyDeleteJmani weee wacha tu tutawaliane wenyewe, wakija wale jamaa si watatupiga tena minyoror, wacha tu kina chenge na zombe wafany wafanyavyo ila mizungu isije na utawala ulee aliouondoa Nyerere, Kawawa na wenziwao.
ReplyDeleteNgasa na Ngassa ni tofauti! ish
ReplyDeletemdau wa Sun Jan 17, 04:30:00 AM afadhali umejitetea kwanza uliposema kuuliza sio ujinga. kwa hivyo kwa kukujibu suali lako ni kuwa tanzania haipo kwa sababu haikuweza ku-qualify kufika katika stage hiyo ya mwisho ya africa cup. kwa ufupi tanzania ilishiriki lakini ilitemwa mapema (qualifying stage)
ReplyDeleteKweli hapo Ngasa na Sufiani wote wameliwa. Jezi aliovaa wala sio ya Ngasa na kama alinunua akifikiri mapato yatamfikia Ngasa ajue alishaaibiwa kweli Bongo Dar es Salaam.
ReplyDeletenajibu swali la huyo jamaa anayesema kwa nini tanzania haipo kwenya Africa cup. sababu kubwa iliyotufanya tusiende Angola ni kwamba timu ya taifa inawachezaji wengi ni wazee ila huwa wanadanganya umri hata ukiwatazama uwanjani huwa wanachoka sana. kwa mfano hivi kweli mtu kama juma jabu kazaliwa 1990 au kigi makassy naye 1991 huu si uongo jama ili swala wadau wa soka tanzania inabidi tuliangalie kwa makini kwani ndio linatuludisha nyuma kwenye soka si hao tu chuji naye eti 1988 na maftah naye1988.kaseja naye 1985.yaani hii inanishangaza sana anko nanii mtu kaziliwa 1975 anasema kaziliwa 1990 huu si uongo jamani wapo wengi kama kina salum machaku azam fc eti anajifanya kaziliwa 1992
ReplyDeletemdau
mussa
Uzalendo mzuri :)
ReplyDeleteJezi za Taifa stars zinatakiwa kusambazwa dunia nzima kwa sasa kama wanavyofanya wenzetu.
Tukiwa na maduka yanayouza jezi hizo kwa pesa ya kigeni itasaidia
Ndiyo wadau!
ReplyDeletemie kama kawaida yangu bado nashangazwa na short-mind tulizo nazo watanzania may be is matter of education or different vision....lakini kujua vitu siku hizi siyo lazima uwe na university of high education level is matter to be more exposure in information through internet communication ,television , na media nyingine ambazo ziko access almost to those who are living in big towns .....
Napenda kuwakosea wadau wawili hapo mwanzo
1.kuvaa jezi ya Drogba,Ronaldino,Berkham.. au mchezaji yeyote famous siyo kukosa uzalendo, wazungu ni wazalendo sana na wako proud sana na vitu vyao lakini wanavaa nguo zenye majina ya watu weusi...kwasababu Drogba ni (bidhaa -product)yenye thamani ambayo kila mtu ana taka ainunue ndiyo maana viatu vya mchina vina bei tofauti na viatu vya Italy.Real Madrid walimchukua Berkham kwa record transfer those time lakini pesa yao ilirudi within short period of time kutokana na kuuza jezi zenye maandishi ya Berkham.. Asia .
Dunia ya sasa ni ya mashindano siwezi kununua jezi ya Ngassa nikaacha ya Berkham kwasababu huyu ngassa mwenyewe ana dream kuvaa jezi ya Berkham kwasababu yeye anajijua siyo bidhaa bado....(bidhaa -product inakuwa na use value- demand -price )hiyo simple principle in ecomonics.
2.Mdau aliyesema hatukwenda Angola kwasababu ya umri ...jamani hacheni michapo hii blog inasomwa na watu mwenye akili timamu....nataka nikukumbushe kwamba world cup 1990 ambapo Cameroon walifanya maajabu ambayo katika history ya mpira Africa haijawahi kutokea ile safu yote mchezaji kijana alikuwa Oman Biyeke the rest walikuwa watu wenye age ya juu wakiongozwa na Rogemila.. mpira walio uonyesha mie sijawahi kuuona in last 5 world cup ........kwahiyo ndugu tuangalieni kiini cha matatizo siyo matokeo ya matatizo...
MDAU WA KANYIGO(DR)
mdau wa kanyigo ama kweli unatufungua macho watu wengi wana upeo wa karibu sana....
ReplyDelete