Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. jamani hii ilikuwa mwaka gani kwa sisi tuliokuwa hatujazaliwa bado!!Duh nimependa sana wanavyoimba na kucheza mpira kazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  2. beauty in its own self!

    ReplyDelete
  3. we nae issa umezidi hizi hata wewe ulikuwa hujazaliwa.lol

    ReplyDelete
  4. Ankal Issa,
    Hii inanikumbusha miaka hiyo ya mwanzoni mwa 70. Binamu yangu ambaye sasa ni marehemu (Mwenyezi Mungu amrehemu) alikuwa na record player na sahani za santuri kama mbili au tatu hivi moja wapo ni hii. Na ilikuwa ni kijijini na player ilikuwa inatumia battery.

    Niliusikiliza mara nyingi sana huu wimbo. Asante kwa kutukumbusha mbali.

    Mdau

    ReplyDelete
  5. Asante ankal umenikumbusha enzi...

    ReplyDelete
  6. nshimimana aka dumisaneJanuary 08, 2010

    they are very violent, i'm learning.

    = = =
    Buffalo (tangu miaka ya sabini hivi),
    New York

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...