Ankal Michuzi,

Nathani ni muhimu ku share na Wadau;

Jana nilikwenda Pale TCC Club Chang’ombe na nikakuta penye ubao wa matangazo kuna vitu kibao vilivyookotwa na mdau mmoja kapoteza funguo za gari. Nikajiuliza maswali kibao

Je, aliondokaje?
Je, kuna watu wanatembea na funguo
boya za kuweka juu ya meza tu?

Kama kweli kapoteza swichi,
basi na aende TCC Club amwone meneja
Mdau Chang'ombe

na

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ahaa kaka ya mji huu makubwa watu wana switch za BM X 5,VOGUE ,ML CLASS wanaweka mezani kibishoo hiyo cku nimemuona dada du leaders anatikisa za benz naenda kupanda dala dala nakuta naye yumo kweli mjini akili kichwani na hatuami hata kam hatuna ki2 kweli mjini raha

    ReplyDelete
  2. Mbona sijaona simu zilizopotea zikining'iana hapo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...