Mwanamuziki mashuhuri wa reggae nchini Ugandan, Bebe Cool a.k.a Moses Sali, akiingizwa katika hospitali ya Nsambya jijini Kampala baada ya kupigwa risasi katika klabu moja jijini humo.
Kwa mujibu wa mtandao wa gazeti la The Monitor toleo la mchana huu, risasi hizo zimevunja miguu yote miwili, amesema Daktari Mrakibu wa hospitali hiyo, Dk. Martin Nsubuga says.
Habari zinasema risasi zilirindima katika klabu ya Effendys katika maeneo ya Centenary Park, na kwamba kuna utata wa sababu zilizopelekea purukushani hilo. Inasemekana watu wengine watatu ikiwa ni pamoja na mabaunsa wa Bebeb Cool na askari wa kikosi maalum pia walijeruhiwa.
Chanzo cha habari


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. THOSE THUGS SAW A MAN DRIVING CHYRSLER 300 I SA THEY KILL HIM LATER THY KNOW IT WAS LUCKY DUBE. EVEN THUGS NEED TO HAVE GOOD TIME IN MUSIC CLUB THEY SHOULD PROTECT OUR ARTIST.

    ReplyDelete
  2. Tatizo kubwa ni Protection ya artst zimekuwa kwikwi,mara nyingi wanamziki hawana ulinzi wa kutosha,yaani ni simple sana kuwavamia

    ReplyDelete
  3. sijui kwanini?mara nyingi wanamziki ndio wananyukwa kiulaini?Mwaka2008 nilishuhudia mwanamziki mója maarufu kutoka Uganda akila kichapo mjini Amsterdam,Holland,walio kuwa wamamchapa ni mabaunza wanaosemekana waliotumwa na poromota mmoja ambaye hakupenda mwanamziki huyo apige kazi kwa mpinzani wake wa kibishara,kisago iko walichapwa hadi mabaunza wa mwanamziki yule.

    ReplyDelete
  4. Josse chamelion alipataga mkong'oto kama huu Holland.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...