TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu wahariri napenda kuwafahamisha kuwa kesho (tarehe 16/01/2010) kutakuwa na Mahafali ya Tatu ya CHUO KIKUU ARDHI kuanzia saa Nane mchana katika viwanja vya Chuo hicho maeneo ya Survey.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo Mh. Cleopa David Msuya anatarajiwa kuwatunuku stashahada na shahada mbalimbali wahitimu 391, ambapo kati yao 314 ni wa shahada ya awali, huku wahitimu wanawake wakiwa 64 sawa na asilimia 16 ya wahitimu wote 391.
Vyombo vya habari vinakaribishwa katika kufanikisha tukio hilo muhimu kwa Chuo na jamii kwa ujumla. Ushirikiano wenu unahitajika sana.

Kwa niaba ya Chuo,
Wenu,
Samson Kamalamo
Ladyband Company Ltd
0754 468229
Wenu,
Samson Kamalamo
Ladyband Company Ltd
0754 468229
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...