Wachezi nyota wa Ivorycoast, Didier Drogba, Kolo Toure na wenzao licha ya kuwa nyota wa kimataifa lakini walikuwa tayari kupiga picha na mashabiki wao bila taabu, ikiwa ni baada ya mechi yao na Rwanda ambapo Ivory Coast walishinda kwa bao 2-0. Drogba akipozi na mdau. Yaani jamaa hana nyodo wala nini
Mchezaji Kolo Toure wa Ivory Coast na Manchester City akiongea na wanahabari
mpigapicha wa Globu ya Jamii Francis Dande na Drogba




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ndoto ya mchana,Sweden.January 08, 2010

    Je Hizo ni mentality za kibongo au baadhi ya Wabongo mtu akipata umaarufu anaanza kukataa kupiga picha na watu?Haya ni mambo ya kiswahili sana mbona.Kupiga picha na mashabiki wake na kusaini autograph ni vitu vya kawaida kabisa,kwa hiyo msione ajabu.

    ReplyDelete
  2. Kwanini awe na nyodo kupiga picha ndo kutanganza biashara bure, starz wa nje wote hawana nyodo yoyote ukienda Atlanta kuna Mall unakuta mastarz kibao wapo public na wanachukua picha na fans wao kama kawa. Kwahiyo wala usishangae kwamba anapiga picha na watu mbalimbali hilo ni jambo la kawaida tu.

    ReplyDelete
  3. aah! mastaa wengine wana Nyodo bana,nakumbuka Busta Rhymes aliwachomolea raia pale uwanja wa ndege wa eapoti ya mwalim nyerere.Eti anaogopa magonjwa....

    ReplyDelete
  4. Sasa kama mastaa wa afrika wanaanza kushambuliwa na majambazi huko Angola, CAF itabidi wahamishie michuano hiyo Tanzania na Kenya. Maana kina Drogba wapo salama Tanzania na Etoo wapo salama Kenya.

    Adebayo yeye kaona kwa macho yake dereva wa basi lao akipigwa risasi na kufariki. Polisi wasindikizaji ilibidi wajibu mapigo ikawa vita kina Adebayo wamejificha chini ya viti.
    Mdau
    Cabinda
    Angola

    ReplyDelete
  5. Togo team bus attacked by gunmen in Angola By Ann Gripper, Mirror.co.uk 8/01/2010

    The Togo team bus has been attacked in Angola on the way to the Africa Cup of Nations.


    The Sparrow Hawks, who have Manchester City striker Emmanuel Adebayor in their squad, were travelling from their training base in Congo.

    City have confirmed Adebayor was unhurt in the attack, but Togo officials say the driver was killed and two players were injured.

    The players who were hit are thought to be defender Serge Akakpo and reserve keeper Kodjovi Obilalé.

    "I'm okay but several players are in a bad state," Togo and Nantes striker Thomas Dossevi told French radio station RMC.

    "We are still at hospital. We were machine-gunned like dogs and had to remain hidden under our seats for around 20 minutes to avoid the bullets.

    "It’s awful. We had security but it wasn’t enough."

    Mdau
    Luanda

    ReplyDelete
  6. are these dudes married???

    very good what an inspiration to afrika?our heroes

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...