MOO FLAVA DJS & SAFARI ENTERTAINMENT

IN COLLABORATION WITH
CLEAR VYBZ PRODUCTION

WANAWAKARIBISHA WADAU WOTE WA HOUSTON TO THE ALL AFRICANS RED CARPET & CAR SHOW" ITAKAYOFANYIKA OUTSIDE SAFARI CLUB IN HOUSTON TX, SAT, 30th JAN 2010 (leo) KUANZIA SAA NNE MPAKA TANO USIKU(10PM TO 11PM).

WADAU WOTE MNAOMBWA KUHUDHURIA TUKIO HILO LA KIHISTORIA KUTOKEA HAPA HOUSTON, LIKIFUATIWA NA HOUSTON BEST AFRICAN DJ CONTEST NDANI YA CLUB SAFARI.

RED CARPET & CAR SHOW HIYO ITAJUMUISHA VIDEO NA PHOTO SHOOT KUANZIA UNAVYOINGIA NA GARI KWENYE VIWANJA VYA SAFARI CLUB , UNAVYOTOKA NDANI YA GARI MPAKA SEHEMU MAALUMU YA KUPIGIA PICHA.

VINYWAJI LAINI(SOFT DRINKS) NA VITAFUNWA (MISHIKAKI AND OTHER SNACKS) VITAKUWEPO WAKATI WOTE WA TUKIO HILO HAPO NJE BILA KUSAHAU LIVE OUT DOOR DJ ATAKUWA AKIENDELEA KUTUMBUIZA. PIA UKIPENDA UNAWEZA KURUHUSU VIDEO CAMERA NDANI YA GARI YAKO KUONYESHA UNIQUE FEATURES OF UR CAR (OPTIONAL).

AGAIN TUKIO HILO LITADUMU KWA SAA MOJA TU(10PM TO 11P) NA BAADA YA HAPO PARTY ITAHAMIA NDANI YA CLUB SAFARI KWA AJILI YA HOUSTON BEST AFRICAN DJ CONTEST NA PARTY MPAKA ASUBUHI.

ZAWADI KWA 'THE MOST SEXY OUTFIT(LADIES) THE MOST GENTLEMAN OUTFIT(MEN) & THE MOST GOOD LOOKING COUPLE ZITATOLEWA IKIWA NI PAMOJA NA FREE ENTRANCE TO THE DJ CONTEST. TUNARUDIA TENA 'RED CARPET & CAR SHOW NI BURE KWA WOOOOTE!!

HIVYO MWAMBIE JIRANI NA RAFIKI
YAKO ASIKOSE! KARIBUNI WOOTE!!

SPONSORED BY CLEAR VYBZ STUDIOS & PRODUCTION

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. thts what we need in houston at leat something new, haya sasa tuone nani mwenye mchuma unaotishia amani houston! mi nakuja na volkswagen yangu ya 1978 bado inatembea na ninajua nitafika hapo safari club salama, tafadhali niwekeeni parking wahusika. teheteheteheeeeeeee!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...