Ankal Michuzi,
Pole na kazi kubwa uliyonayo ya kujulisha watu yanayojiri ulimwenguni hasa ya nchini kwetu Tanzania.Tunafurahishwa sana na kazi yako.
Nauza gari aina ya
SUZUKI GRAND VITARA 2.0,
AUTOMATIC GEARBOX,
2.0 LTR PETROL ENGINE,
4 WHEEL DRIVE,
POWERFUL A/C
kwa bei poa ya 16,500,000/= Tshs tu.
Kwa mawasiliano ili kuiona na kupata
habari zaidi wasiliana na
Henri 0757407355
au
Marco 0714257594.


Muuzaji haupo serious kwanini hujaweka information zote muhimu?
ReplyDelete1. Ni ya mwaka gani?
2. Imetembeka Kilometer ngapi toka ianze kuwa barabarani?
3. Je ni V6 au V4?
4. Je kwa nini unaliuza?, umelibamiza ukalitengeza, limekushinda kwa sababu ni V6 linabwia sana mafuta
Halafu bei yako siyo practical kabisa japo ni ya kuanzia. I mean too much kwa Grand Vitara V6
Mr Michuzi hii gari ipo Uk na siyo dar es salaam,Kwa bei ya UK ni pound 2000 -2500 ,wadau wa UK mbona mnakuwa wajanja hivyo.Milion 16 ni uzushi ni vyema atakayetaka kununu ni bora anunua Vitara Grand new model kwa pound 8000.Wabongo mnaliwa hapa
ReplyDeletehio gari iko bongo,kama uko serious piga simu ukaione,imetoka UK na imelipiwa ushuru,insurance etc,wewe unaesema gari kama hio UK ni £2000-2500 ni kweli,ila kumbuka sio zote bei ni sawa na hali ya gari inatofautiana,na hio £2500 jumlisha freight na ushuru pale Dar
ReplyDeletevilevile usisahau hii ni biashara
kumbe ni biashara?!!!. Mbona mayadi kibao
ReplyDeleteReferring Anon Jan 18, 04:27:00AM.
ReplyDeleteFOB £2500
Insurance £500
Freight £1500
Taxes £3015
Total £7515
Rate 2130
Total approx 16m
It is a fare price, jamaa yuko sawa.
weka information muhimu za hiyo gari, kama alivyokushauri OMARY hapo juu, unaficha nini?,
ReplyDeleteHiyo bei yako, bora utembelee mwenyewe.Grand Vitara with full options haifiki bei yako huyo. Gari hata haina alloy wheel.
ReplyDeletesimple maths,
ReplyDeleteCost - FOB GBP 3000
Freight& insurance GBP 1000
Total CIF GBP 4,000
Change to dollars @ 1.63 = USD 6,520
Change to Tz shillings @ 1340 = TZS 8,736,800 CIF Value
import duty 30% = 2,621040
VAT 18% = 2,044411.20
CLEARING CHARGES 1,000,000
TOTAL 14,402,251
10% PRIFIT - 1,440225.12
Total selleng price = 15,842,476.32
tusipende kukatishana tamaa,wewe kama unaona bei kubwa usinunue,mambo ya oooh mayadi kibao,mara haina alloy wheels,kwani nani asiyejua hizo yard,watu wamekupa simple maths lkn huelewi,sidhani hata kama unajua gari inavyonunuliwa na kulipiwa
ReplyDeleteCheck gallery ya www.vivienneuk.com kuna V6 same model green colour £3000 mbaka Dar.
ReplyDeleteShipping paid, kazi kwako kuitoa customs...
Hii gari ni kutoka UK,ina viwango vyote vya kimataifa.Na kama upo interested kwa nini usiweke appointment kuicheki.Na wewe uliyeweka hiyo website ya hiyo gari ambayo unasema ni £3000 mpaka Dar ina depend hiyo gari ni ya mwaka gani na inawezekana umenunua kwenye minada ya magari yaligongwa.Kwa quality car 16milllion ni reasonable price unless uwe umesha zoweha magari kutoka Dubai ambayo any time yanafia njiani.
ReplyDelete