Home
Unlabelled
taswira ya mwaka toka haiti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
10 days?! the kid was with his guardian angel! ni nadra kwa binadamu bila ulinzi wa malaika kuishi 10 days without food / water. hapo ni Mungu mwenyewe kajidhihirisha kwa binadamu kuwa yupo na ataendela kuwepo.
ReplyDeletekwel mungu n muumba wa yote....am touched
ReplyDeleteNimetoka machozi kwa furaha. Hivi ungekuwa wewe ni mzazi wa huyu mtoto ingekuwaje?
ReplyDeleteDuh!! mungu ahimidiwe!!!
ReplyDeleteGOD BLESS HAITI AND ITS PEOPLE'S
ReplyDeleteWADAU NISAIDIENI INACHUKUA MDA GANI BINADAMU ASIPOKULA NDO AFE? MAANA INANICHANGANYA KWA YANAYOTOKEA HAITI
ReplyDeleteinasemekana kuwa baada ya wafaransa kuondoka katika nchi ya haiti waliweza kuweka bom ainaya 37tyy ili kuangamiza kizazi chote ilikuwa ni bahada ya miaka 76 iliyo pita wanasema kuwa pale kuna mafuta mazuri kuriko irak na watu wanasema baada ya mambo yote watapigana kati ya wamarekani warus na wafaransa kutaka hiyo sehem
ReplyDeletemdau brazil
Mungu mkubwa! Watoto hawana dhambi.
ReplyDeleteduhuu asante ankal kubandika hii pichaa hapa kune blogu ya jamiii.mimi hapa nilipo nabubujikwa na machozi ya furaha kuona ginsi huuu shujaa alivo sevu.yaaani mungu yu mwema.hiii kideo nilivooiona juzi kati kune msn yaani imeninasaa mno
ReplyDeletemdau madukani
Mungu ni mwema sana, mlilie na atakusikia,Jina lake libarikiwe sana milele hata milele.Amen
ReplyDeleteGod Bless The DEad.....That kid is a HERO!!!
ReplyDeleteANONY wa hapo Juu....Acha Ukichaa
Issue si Dhambi ingekua Dhabi Ndo imesababisha we ungekua wa Kwanza na Dunia Isingekuepo!!!
KWAKWE NI MAHAJABU,MUNGU ATUKUZWE MILELE AMEN.NAMTAKIA DOGO MAISHA MEMA
ReplyDeletewachawi sana hao wahaiti wenu kama ilivyo desturi ya mwafrika, walikosea masharti ya majini,jini likaamua kuwa adhibu!
ReplyDeleteAnko Michuzi, picha inauma hiyo!! we acha tu. yani kalivyofurahi ndo kanazidisha uchungu wa hao wengine waliopotea. But hata hivyo tumshukuru Muumba kwa kupona kwake
ReplyDeleteWhat a courage is this? unbelievable.
ReplyDeleteReally touching.
Haitians are different people wamekufa mamia ya maelfu ya watu lakini kwenye picha mbalimbali tunazoziona hatuoni taswira za watu kulia au kusononeka zaidi ya yule mwanamuziki wao, wapo kawaida tu.
Ndiyo ujasiri anaouonyesha huyo dogo.
qute boy,ankal picha imenitoa machozi mengi sana kama mzazi mungu wabariki watoto,wanusuru na kila matatizo na majanga makubwa na madogo,mungu mpe umri mrefu huyo mtoto na mafanikio aamin.mdau greece
ReplyDeleteANKAL,TUNASHIKIRU SANA KWA TAARIFA MBALIMBALI TUNAZOZIPATA TOKA KWENYE GLOB YETU YA JAMII.LAKINI NAFIKIRI NI VIZURI TAARIFA HIZI ZISIMAME KWE UKWENYE UKWELI.PICHA HII IMEPIGWA JUMATANO,SIKU YA NANE BAADA YA TETEMEKO KUTOKEA.NAOMBA KUTOFAUTIANA NA WEWE KUWA MTOTO AMEOKOLEWA SIKU YA NANE NA SIYO SIKU YA KUMI AMBAYO NI LEO.UNAWEZA KUIONA HIYO TASWIRA NA MUDA ILIYOPIGWA KWENYE CNN.COM.THANX
ReplyDeleteLeo alikuwa anahojiwa na waandishi wa habari..
ReplyDeleteakaulizwa (hajui kingereza hivyo ana mkalimani)..
Uliwezaje kukaa siku kumi bila kula ama kunywa? akajibu kwa kilugha..
ambacho tafsiri yake ni..
Mungu alinilinda..
wote wakakaa kimya
hao waokoaji ni kutoka USA
ReplyDeleteAnnon wa 05:24.
ReplyDeleteSikujua kama mpaka sasa kunawatu wenye fikira ndogo kama huyu.
Ukimwi uliua watu wnegi miaka ya tisini kwababu ya kuwa na akili ndogo kama hii, watu walisingizia uchawi mpaka wengi wao kupoteza maisha bila sababu. Mfano, ukimwi tungeujua vizuri na kuuelewa husinge huwa watu wengi kama ilivyotokea. Lini jamani waafrica tutatoka kwenye ulimbukeni kama huu. Wacha tu weupe wazidi kutunyanyasa sababu ya akili kama hizi.
Elimu ni dawa.
Hii eneo la nchi ya Haiti, ni vulnerable kwenye natural disaster tangia zamani. Hushangai kwanini weupe hawajapanunu sana interms of investing. Wakoloni walitumia natural resources enzi hizo kudevelop nchi zao. Haiti haina market kama zamani.
Walitakiwa wasaidiwe namna ya kujenga nyumba zao na kudevelop maeneo mazuri. Ni nchi za mwanzo kupata uhuru kutoka kwenye slavery bahati mbaya developed countries ambao wengi wao ni educated na wana high tech hawakuwashauri Haitians namna ya kudevelop land yao.
This is so simple and easy to undertsand. It is very important to understand soemthing when you the history of anyone or anywhere you want to investigate or learn.
Kama uchawi basi Tanzania tungeshapigwa vingapi? mpaka sasa.
michu michu ubarikiwe daima kweli kabisa nakuombea dua hii hapa duniani na kesho akhera kwa kutuwekea hii blog, yani nafaidika sana na mengi kila ninapoingia katika blog yako, mungu akujaliye kila lenye kheri na wewe na lenye shari na wewe akuepushiye, itikiya basi amin.
ReplyDeleteokay nimefurahisha sana na wadau hawa walio changia hii madaa.
mdau wa brazil wa 2:31 pm January 22 naomba please kama una feed back au kitabu umekisoma au habari hii uliyoieleza kama ni ya kweli naomba uniambiye nikitabu gani au katika research zako gani please naomba nielimishe,sipingani na maada zako kwa sababu jamaa hawa ngozi nyeupe wamefanya mengi tu kwa sisi ngozi nyeusi kwa ajili ya faida yao binafsi please nielimishe na mimi nikakisome hicho kitabu nielimike au nikatafute hiyo reaseach kwa sababu napenda sana issue kama hizi kujua mambo.
mdau wa friday 22 at 5:24
nimeburudika sana kwa comment yako ni kweli hawa jamaa wachawi sana lakini umekosea kusema kwamba ni desturi ya muafrica, no and no sikubaliani na wewe hata kidogo kwa hapo uchawi umeanza kwa wazungu bwana some tena soma sana na sana utafute hii history ya uchawi na chimbuko lake sema,hebu tizama halloween siku ya mashetani wanavyoisherekeya sema waafrica tulipo upate uchawi kidogo tu tukaukumbatia utadhani nini.
mdau wa 9;06 uchawi upo ndugu yangu ukitaka usitake lakini ni kweli kwa yale uliyoyaelezea kwa baadhi yetu kushikilia kuushikilia uchawi weee mpaka tuna kosa dira hakuna kama mungu ukimuomba atakupa thats is all.
mdau wa 9:06 nakuomba na wewe pia please kama umesoma kitabu au umefanya research ya natural disaster katika nchi hii ya haiti naomba na mimi nielimishe ili nisome hiyo historiya please.
natoa tena shukran zangu za dhati kwako michu michu michuzi kwa kutuwekea blog hii ubarikiwe daima na pia kwa wadau hawa kwa mchango wao wa maana na please naombe msisahu kunielimisha please.
mdau wa new york (newala)
mdau salim wa 4:08 wewe ndo uache ukichaa bwana mdogo,kama jina lako linavyojujuisha kama ni muumini wa dini ya kiislamu utakubaliana na mdau wa hapo juu watoto hawana madhambi na katika sheria za dini ni kwamba ardhi pia ina haki yake usipoitendea haki yake basi mambo kama haya yako,wazungu wametufunga macho kila kitu natural disaster kwa vile hawataki kusema mungu pia anafanya kazi yake.
ReplyDeleteUnafikiri umeletwa hapa duniani bure bure tuu na ukifa basi kila kitu kina haki yake usipoitendea haki yake mungu atatoa adhabu zake siyo kila kitu natural disaster.
na wewe mdau wa 7:33 usituyayushe bure kwani unadhani wa haiti wana kilugha gani zaidi ya kifaransa na krio mchanganyiko wa kifaransa cha slang.
unafikiri wandengereko hawa au wanyamwezi? wacha hizo eti amesema kilugha kama hujui bwana mdogo nyamazaa
SIO 10 DAYS NI SIKU SABA NA NUSU. GO
ReplyDeletehttp://www.cnn.com/video/#/video/world/2010/01/21/moos.mile.wide.smile.cnn?hpt=C2
Anon wa 1800 una matatizo. Kilugha maana yake sio lugha ambayo anon hajaielewa na sio kingereza. Afu nani kakwambia ni bwana mdogo?
ReplyDeleteSasa si ungesema tu hicho kilugha ni kifaransa au vingine. kulikuwa na haja gani ya maneno yote hayo? umejishusha
anon wa 1800 una uwezo mdogo wa kuelewa na kufikiri, na unaonekana mtu wa chuki.
ReplyDeletesasa mambo ya wazungu kutufumba macho nk, na kuwa hatujaletwa bure bure.. hebu we tueleze basi kilichotokea Haiti ni nini?
MI NAONA DOGO HASHANGILII ILA HAJUI KINACHOENDELEA.MUNGU MKUBWA
ReplyDeleteMjomba
ReplyDeleteKwa wale wanaotaka kuona ilivyokuwa wanaweza kuangalia hii link hapa chini.
http://cnn.com/video/?/video/world/2010/01/21/moos.mile.wide.smile.cnn
Ni vigumu kuamini lakini nchi huwa zinakaliwa katika laana, inawezekana laana toka enzi za mababu kwa waliyoyatenda,ndiyo maana kuna maombi maalamu ya kukomboa nchi toka laana mbalimbali, na adhabu ya laana inakwenda hadi kizazi cha nne, utajiuliza mtoto mdogo anakufa,anteseka amekosa nini?,kwa dhambi gani hasa?,lakini ukweli ni yaliyofanyika huko nyuma, k.m ardhi haikukombolewa(kwa sala na maombi maalum)inaadhibu hata kizazi kisicho na hatia. Mara nyingi utasikia kuna mijuzia,mtoto k.m huyu amepona kwa siku kumi amekaa chini ya kifusi,watu wengi tutatafuta "scientific justification" lakini hata madaktari wenyewe wanakuambia it was just a pure miracle, na baada ya kuokolewa ungetegemea labda angezimia,hana nguvu tena hata ya kuongea, lakini muangalie mikono juu,akimshukuru Mungu wake.So mbali na laana zilizopo,bado ukimlilia Mungu katika shida zako atakuokoa,na wengi ambao hawakuchoka kuomba kwenye hili tatizo la Haiti waliokolewa na wako hai(mifano mingi tumeona toka CNN) na wengi walipoulizwa,walijibu hawakuacha kuomba wala kukata tamaa,na Mungu aliwasikia.Hivyo amini tu ndugu yangu, kuna "supernatural existence" hata wana sayansi wenyewe hawana majibu hadi leo,mfano yaliyotokea Sodomma na Gomorra,ushahidi wa jinsi miji ile iliyoteketea kwa moto inaweza kupatikana ktk( "youtube") wanasayansi waliokwenda kuuona huo mji(miaka ya 70") wanashangaa moto ulitumika kuteketeza miji ile,walichukua sample za udongo,na walibakia na kitendawili; pili bado kuna ,onyo la Mwenyezi Mungu kupitia Nuhu kwa wanaadamu na waliyokuwa wanayafanya,na walivyoshindwa kumsikia na kumkasirisha,Nuhu alijitahidi kuwaonya na kuwaambia wanadamu kujisalimisha lakini walimcheka na kumuona kichaa,matokeo yake mafuriko yaliikumba dunia nzima nzima,na Nuhu peke yake na familia yake na mifugo alipona katika mashua na ushahidi wa mtumbwi huo ulipatakina na wanasayansi juu ya mlima mmoja uturuki(tafuta kwenye youtube utaona)wanasayasi hadi leo hawana majibu,ni mtumbwi wa ajabu, na dimensions walivyopima ni zile zile k.m zilitolea ktk maandiko matakatifu,a maagizo ya Mungu kwa Nuhu ajenge mtumbwi wa aina gani na urefu gani.So tuamini tu,na tutende ya kumpendeza Mungu tu.Jina la Bwana Lihidimiwe.
ReplyDeleteJina la Bwana lihumidiwe,bila yeye hakuna linalowezekana, kaboy kana Mungu,jamani wamuwekee hiyo kumbukumbu yake Mungu ampe uzima atakapokuwa mkubwa aoneshwe,kanaweza kakaja kuwa kamtu kakubwa serikalini kwao ati.
ReplyDeletejina la bwana libarikiwe huu ni muujiza
ReplyDeletewe anony 16:00 wasema eti dogo hashangilii ila hajui kinachoendelea, kwa akili yako ulitaka areact vipi mtu aliye sevu kufa kwa siku zote hizo,coments zako sio za kimafikira kabisa pole sana.
ReplyDeleteBIBLIA yasema MUNGU alipoumba ulimwengu na vilivyomo alivitakasa ulikuwa safi na perfect kulikuwa hakuna vimbunga wala ajali za kuliwa na simba au nyoka, vimelea vya magonjwa nakadhalika,kila kitu kilikuwa salama.
adam na eva walipotenda dhambi kwa kumsikiliza shwetani ardhi ikalaaniwa na vitu vyake vikaondolewa utukufu.
vimbunga ukimwi matetemeko wivu mbu nyoka simba na binadamu hata mimea kama mibangi ikawa na uwezo wa kudhuru isipotumiwa kama ipasavyo.mf sokota na uvute moshi.
MUNGU ambae ni muumba wetu ni mwingi wa upendo na rehema si adhabu yake kwa mabaya yanayotokea ila laana ilikuwepo toka binadamu alipo kuwa mkaidi na shetani alipata fursa ya kufanya maangamizi.
binadamu alitaadhalishwa mapema kuwa ukikosa ukila tunda nililokukataza utakufa maana yake ndo hiyoo laana kwani mabaya yote mwisho wake ni kifo.
vimbunga maraia nakadhalika ni process ya kifo.
adam na eva walikuwa na uhuru kama tulivyo leo kuwa huru kwani Mungu si dictetor mfate au usimfuate hukumu /adhabu ni mwisho wa dunia na wala si matetemeko na ukimwi yanayotokea bali ni hiyo laana au matokeo ya dhambi ya mwanadamu ambayo tumerithi toka kwa adam na eva kwani laana ufata vizazi na vijukuu nk.
dawa ni
kushika amrizake 10 kimsingi na tutapona ile hukumu ya mwisho na baada ya hapo tutaishi MILELE kwenye nchi mpya jerusalem mpya, isiona laana wala vishawishi vibaya kwani shwetani atakuwa keshauliwa.
ukinipenda utazishika amrizangu Mungu si wa mobu wala kulazimishwa ni wa hiari siku ya kiama kutakuwa na maelfu ya watakao okolewa ila ni wengi wataenda motoni.
Mungu hajali wingi ila quality.
JE WEWE WAMUABUDU MUNGU YUPI? KWANI KUNA MIUNGU LUKUKI ISIPOKUWA MMOJA NI WAKWELI AMBAYE ALITUUMBA HATA HAO MIUNGU FEKI YADAI YENYEWE NDO IMETUUMBA AKILI KICHWANI MWISHO WAJA.
NI MIMI
ELIMUDUNIA
His name is KIKI God bless him! He was rescused the 7/8 day not 10.
ReplyDeletemachozi yamenitoka uwiii ee Yesu wangu,,,
ReplyDeletesasa nyie mnaobisha jana 23 jan 2010 mtu katolewa kifusi mzimaaa mbaba anaongea ingawa yuko hoi,,,aya ni siku ya ngapi???news TV Al-jazeera