kitabu cha maombolezo ya kifo cha Simba wa Vita kikiwa katika ubalozi wetu huko Washington
kocha mtangazaji wa Voice of America Alhaj Juma Nkamia akiweka sahihi ya maombolezo
Sunday Simba Shomary wa VOA akiweka sahihi yake
kocha na sunday wakiwa na balozi wetu Marekati, Mh. Ombeni Sefue
Sunday akiwa na afisa wa ubalozini Suleiman Saleh baada ya kutoa rambi





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Juma Nkamia tunakumiss sana hapa kwenye supu za asubuhi. Nakupongeza kwa mafanikio.

    MUSHI

    ReplyDelete
  2. Yes, tunakumiss sana kwenye supu za asubuhi hapa Hongera Bar karibu na chuo cha ustawi wa jamii Mwenge. Nakumbuka ulivyokuwa unapuliza fegi yako na glass ya white wine. Rafiki yako Shabban Kisu naye haonekani siku hizi tangu umeondoka. Nashangaa ulikataa kazi ya mamilioni Arusha ya mzee mzima ukaenda huko ambako nadhani hupati nusu ambayo mzee Low..sa angekupatia. Rudi mtu mzima. Bongo tambarare. By the way ubunge vipi --- MUSHI

    ReplyDelete
  3. Ankal (kama ujiitavyo) comment yangu umeichinjilia baharini!!!! poa tu lkn yote maisha kaka ila ukumbuke nilikuahidi ipo siku nitaanzisha libeneke langu lazima nikutoe nje ya uwanja wa mapambano, lita-hit hilo, facebook, hi5, Twitter sijui nini vyote cha mtoto. we haya tu, ngoma ya watoto hiyo haikeshi ikifika saa sita usiku utalala!!!!
    haya usiku mwema ulale salama!!! na ukiendelea kuniminyaminya ujue nitamwambia my wife wako unachofuataga Bujumbura Burundi kila kukicha. unadhani hatujui?? au nimwage mchele jamvini hapa ndo uamini??? watu tunajua hadi jina ohooo!! anyway let me spare you for the moment but i do promise to burst up if you will go on wit your binning my valuable comments!!
    ahsante.
    ni mimi nikujuaye kuliko unavyoweza ku-imagine.
    Macmuga.

    ReplyDelete
  4. Mzee wetu kawawa kala chumvi nyingi, inasikitisha ila wote tunaenda huko huko.

    Sunde shomari si ni alikuwa ITV? siku hizi yuko marekani sijawahi kumwona lakini naona tunazeeka sio kama vile tulivyokuwa bongo na vipi Mary mgawe yuko wapi?

    ReplyDelete
  5. Handsome Boy, Sunday nakuona unajidai:)

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  6. Juma Nkamia Baba, Kamua Kamua watu watasema mengi lakini Ukweli ni kwamba kiwango unacho hata waliochezea shilingi chooni wanajua ama kama wanavyosema vijana wanakubali kiaina, na kwa sisi wazee wa viminyio tunasema WIVU SINA ILA ROHO INAUMA EEEHEEE!!!

    Ila ndugu yangu Shabani Kisu na wewe Ukiondoka graph ya Umaarufu wa TBC itazidi kuporomoka usifanye hivyo, Please!!. Ila nikipata Nauli nitamfuata Mjomba nimwambie huku nyumbani si shwari.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...