inakuletea

1.) Huduma ya kutangaza biashara yako bure, Ukiwa kama mfanyabiashara,dalali,mnunuzi unachotakiwa kufanya ni kujiunga nasi na kuacha mawasiliano yako.
Kama ni mfanyabiashara,dalali,kampuni unao uwezo wa kuweka company profile yako,picha za bidhaa unazouza na maelezo yake, picha za ofisi yako certificate ya kampuni yako ili kujenga trust kwa mnunuzi.

2.) Vile vile ukiwa kama mnunuzi unachotakiwa kufanya ni kujiunga nasi na kuacha mawasiliano yako. Na utatakiwa uweke tangazo lako la bidhaa gani unayotaka kununua, pia unaweza kutafuta wafanyabiashara wa hapa na nje ya nchi ambao tayari washajiunga nasi.

Mojawapo za kampuni za Tanzania zilizoko ni:
Radium Salon Equipments Company limited - http://www.radiumsalonequipments.com/
Pick N Drive Co Ltd - http://pickndrive.eaguides.com/
Tamco - http://noctunal.eaguides.com/
Autorec
SBTJapan

Na mengine mengi ukitaka kuona zaidi tembelea
http://www.eaguides.com/
Kwa mawasiliano zaidi piga +255-713-767764 or email info@eaguides.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mzuka kaka nimekubali kazi.
    Unaitumia technology vizuri.
    Big up man

    ReplyDelete
  2. HII KITU SIYO MCHEZO, NI BOMBA SANA...NI BOMBA KULIKO SITE NYINGI TU ZA US...ANYWAY, I HOPE UTAPATA SUPPORT...MY SUGGESTION: KEEP POSTING ON BLOGS UNTIL WE ARE USED TO IT..SISI HUWA TUNASAHAU MAPEMA SANA...ANYWAY, GOOD JOB

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...