

Inawezekana: Watanzania KWA Watanzania Harambee ya Mafuriko Kilosa
-Michuzi
------------------------------------
JINSI YA KUCHANGIA:
Tumebuni njia mbalimbali za kuweza kuchangia vitu kama vyandarua, maboksi ya maji safi, nguo, madawa (ambayo hayajapita muda au kufunguliwa), mahitaji ya watoto na kina mama n.k.
A: MOJA KWA KWA MOJA KWA CHAMA CHA MSALABA MWEKUNDU
1. Peleka msaada wako moja kwa moja kwa Chama cha Msalaba Mwekundu kilicho karibu nawe. Kupata taarifa za Chama cha Msalaba Mwekundu wasiliana nao:
P.O. Box 1133
Dar es Salaam
Simu: (00255) (22) 215-0330/ 215-1839/215-0843
Email: logistics@raha.com
B: KUTUMIA MTANDAO WA WANATAALUMA WA TANZANIA (TPN).
Hivyo TPN itakusanya michango yetu kwa njia mbalimbali hapa chini na kuiwasilisha kwa TRCS na kutoa taarifa za mara kwa mara za maendeleo ya kampeni hii.
2. Kuingiza Benki au kuhamishia fedha benki(bank deposit and transfers):
· Jina la Akaunti: Tanzania Professionals Network,
· Jina la Benki: CRDB Bank ; Tawi: Lumumba
· Jiji: Dar Es Salaam; Nchi: Tanzania
· Swift Code: CORUTZ TZ
· US $ (Fedha za kigeni) A/C No: 02J1 007 608 900;
· TZS A/C No: 01J1 007 608 901
C: KUTUMIA MITANDAO YA SIMU
3. M-Pesa (Vodacom): 0768 777 888
4. Z-Pesa (Zantel): 0773 88 18 88
5. Zap (Zain) 0784 00 88 99
6. Michango ya kutumia makato ya kila siku ya Airtime za simu:
“Changia Shs 150 kwa siku kwa waathirika wa mafuriko. Tuma SMS yenye neno TPN kwenda 15522. Utakatwa Shs 250 kujisajili. Kwa maelezo zaidi wasiliana na 0715 740 047.
7. Western Union — Tuma kwa jina la: Mr. Emmanuel Mmari; TPN Finance and Administrative Manager; Dar Es Salaam; Tanzania. Tuma nakala ya MTCN kwa president@tpn.co.tz, info@jamiiforums.com na mwanakijiji@jamiiforums.com na issamichuzi@gmail.com ili kuweka rekodi sahihi.
8: Michango ya vitu mbalimbali: Ofisi za TPN — Barabara ya Nyerere; Jengo la TOHS; Ghorofa ya kwanza, karibu na TBC (RTD) Radio. Piga simu 0715 740 047 kwa kupata msaada wa kuja kuchukua vitu kama huna usafiri.
Tuwakumbuke na HAITI
ReplyDelete