Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe akitia sahihi kwenye kitabu cha wageni baada ya yeye na ujumbe wake kuwasili ubalozi wa Tanzania nchini Canada jijini Ottawa wakati wa ziara yake ya kikazi. Shoto ni balozi wetu kanada Mh. Peter Kallaghe
Mh. Membe na Balozi Kallaghe na mai waifu wao wakati wa hafla fupi ya kumkaribisha Ottaw
Mh. Member katika picha na maofisa wa ubalozi wetu Canada
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe akizungumza na watanzania waishio Canada jijini Ottawa wakati wa ziara yake huko hivi karibuni
Watanzania waishio Canada wakimsikiliza waziri Membe




Waziri Membe na balozi Peter Kallaghe wakiwa kwenye ofisi ya Waziri wa nchi wa Mambo ya Nje wa Canada, Bw. Deepak Obhrahi



Waziri Membe azungumza na mabalozi wa nchi za kiafrika mjini Ottawa




Waziri Member akiwa na Mabalozi wa Kiafrika wanaowakilisha nchi zao Canada








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Kweli ubalozi ni mzuri kwani umembadilisha kabisa Peter Kalaghe na huwezi kujua ni yule alikuwa anakuja kwenye vikao vyetu vya ukoo (watu wa Misozwe) tunavyofifanya Club ya wazee Ilala. Sasa amekuwa kweli 'envoy'. HONGEA MGOSI. Ujumbe kwako ni kuwa baba mdogo wetu wa Magomeni mgonjwa sana. Zidi kumwombea.

    ReplyDelete
  2. Naomba uiweke hiyo stori vizuri.Bw Deepak Obhrai siyo waziri wa mambo ya nje ila ni katibu mkuu( permanent Secretary) wa wizara ya mambo ya nje na pia alikuwa kiongozi wa upinzani bungeni hapa Canada.Bw Obhrai alizaliwa na kukulia huko Mbulu, Tanzania kabla ya kuhamia Canada.

    ReplyDelete
  3. namuona muheshimiwa balozi alivyo pendeza, kumbe suti zinakutoa ile mbaya!!!
    mdau trono!!

    ReplyDelete
  4. Mheshimiwa Sokoine siku hizi yupo Kanada??

    ReplyDelete
  5. Eeh! MUGABO Biefe McKenzie,
    Na wewe kumbe uko ubalozini Canada, hongera sana.Sisi hatujambo UJIJI.

    ReplyDelete
  6. piere kalaghe Rais wetu wa awamu ya sita!!!! Go go go peter, you look nice!

    ReplyDelete
  7. mdau wa trono umeniacha hoi na hiyo trono aka toronto

    ReplyDelete
  8. Wadau wa Canada wasafi.

    ReplyDelete
  9. na ule mjadala wa Uraia wa nchi mbili sijui ulifikia wapi? maana wenzetu waganda na wakenya wameshaupitisha na kuwapa huru raia wao kunufahika na uraia wa nchi mbele,lakini kwa wabongo bado mizengwe?

    ReplyDelete
  10. Mama membe ameenda kufanya nini?

    ReplyDelete
  11. nakuona togolani mavura unapaa tu.

    ReplyDelete
  12. hureeeeeee!!!!! nimefurahi sana kumuona Joseph Sokoine....jamani kaka mbona bongo umetususa namna hiyo???? Chole Road tunakumiss sana haswaaaaa UNDP Flats.... Mzee Saidi bado yupo bana...ahahahahh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...