

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
anko mithupu safi sana uwe unafanya vakesheni za ndani siyo kila siku wewe uko ndani ya AIR BUS au boinge halafu unajiita mzalendo
ReplyDeleteKweli Ankal tumekukubali! Hiyo vekesheni itakuwa poa sana! Najua samaki na ubwabwa kwa sana huko! Turushie picha za huko tulione jiji la ifakara!
ReplyDeleteKila la Heri kwenye vekesheni yako ndani!
Mdau,
South East Asia!
Aminia babake kanyaga twende!!! usisahau taswirazz za kuku wa kienyeji huko ifakara wapowapo nshatiaga timu huko one day moja hivi years back wakati naishi bongolandi. ila be careful mafuriko nnjennje hapo we waulize wadau hapo kuhusu mto rumemo unafurikaga hadi sokoni mitaa ya kati hapo. waambie pia wakupeleke kibaoni kule kuku wa kienyeji wa kumwaga teh teh teh!!
ReplyDeletedon't fogeti taswirazzzz za Pa...zzzz na ti...zzzzz kaka niko mtandaoni bado nimelitegesha kimtindo nakong'otea tu, njaa inauma kaka na si unajua mie sina gharama sihitaji mbogo ya kiukwelikweli mi ugali kwa picha tu ya samaki ngoma ntoleee.
ubarikiwe kaka
mdau wa pajazzz+titizzz
Dah mbona leo umejitole siri yako namna hiyo hujui kwamba wanajamii walikua hawajui kwamba huwa una safiri kwenda mwezini leo ndio umemwaga pyaa...............
ReplyDeleteMwezi huu utasafiri tarehe ngapi?
Ankal naona mambo yako si haba. Itabidi tuongee na Sir Richard Branson ili upate return ticket ya bure ya Virgin Galatic ili uende angani (suborbital space).
ReplyDeleteWee ankal huna lolote.huko ndoo nimezaliwa mie.nenda mtaa pogoro au kossovo watakupa maelezo..nasikia umepata nyumba ndogo ifakara.sisi wadau tunaelewa.hio nyumba ndogo yako inaishi mlabani ndoo maana upo karibu na hicho chuo.poa.wasalimie wote.Ila uwe mwangalifu, watakunyoa nywele wandamba.wee waulize kuhusu bibi.Usisahau kupiga picha lumemo darajani.enjoy.
ReplyDeleteUncle Ankal tunaomba picha za Ifakara, nilikaa Ifakara miaka 10 iliyopita, asante.
ReplyDeleteMdau
Finland
Hee?? Huko Ifakara hakuna mafuriko??Tuletee wali na pegere ankal.
ReplyDelete'World Tour' or 'National Tour' nisadieni jamani
ReplyDeleteKaka mie naomba ufike pale kivukoni uninunulie ngarange. Najua mwezi huu pepeta hadimu, lakini ukiuliza wenyeji wanaweza kuwa nazo bado za wageni.
ReplyDeleteKila la heri
Mdau
Cardiff
Ankal,
ReplyDeleteOmbi la wengi ni taswiraz za Ifakara na vitongoji vyake. wape wadau kitu wanachokipenda.
All ze best ktk vekesheni yako
tembeatz.blogspot.com
Ankal, nasikia umekwenda kutafuta ndumba kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao!! Teh Teh Teh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMichuzi hongera sana bwana kwa uzalendo. Umefika ifakara wenyewe wanapaita Ifoza,hapo pilika kwa sana usisahau kufika kivukoni kwenye pantoni ya mto kilombero kwenda mahenge/ulanga. Hapo ni maarufu kwa samaki wa kukaanga wa motomoto wanaitwa ngalange. Ukienda hapo usisahau taaswira,na najua lazima utaandaa ziara nyingine huko ifoza maana samaki ni watamu wa maji baridi.
ReplyDeleteMdau washington dc
MKUU MICHUZI PICHA YA PILI INAONYESHA UNA KITAMBI, PLZ PUNGUZA MAUGALI NDUGU YANGU
ReplyDeleteKaka michu, hao ma- anonymous wanajifanya wako mara cardiff mara DC hakuna lolote, wapo hapa bongo. Achana nao, hebu fika pale soko mjinga, utapata vitoga, ulete kaka. Msalimie huyo Kivuyo.
ReplyDeletetunasikia mzee jacob zuma ana mtoto nje ya ndoa je ni kweli?
ReplyDeleteHAKUNA LOLOTE NI SAFARI YA KWENDA KWA MAMA KALEMBWANA TEEH TEH,TUMEKUSHIKIA SIO NATIONAL TOUR,BALI UMEKWENDA KURECHARGE. SIO MCHEZO HUKO KWA MAMA KALEMBWANA,NAOGOPA CCTV ZAKE ZISIJE NIONA BURE.
ReplyDeleteMDAU WA LUSUNGO KYELA.
UNANIKUMBUSHA MBALI MIAKA HIYO NIKO KWA WAJOMBA LIAMPAWES , NILIKUWA JONGO PRIMARY MWAKA MMOJA 1986/87 LIFE WAS GOOD. KUKOBOA MPUNGA MASHINE ZA MZEE KINDNDINDI UKITAKA MAHALI PA KULALA NDUBARO BASI LA KUSAFIRIA SHARUKSI, UKITAKA NGALANGE NENDA KIVUKONI. NILIKUWA MTOTO/ PA MTU WA NYANGA (BOOKWORMS) 24/7 VIWANJA SIKUVIJUA
ReplyDelete