Mbunge wa Jimbo la Monduli Edward Lowassa (kushoto) akimsikiliza Mbunge wa Karatu Dkt Wilbord Slaa (kulia) leo nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuanza mapumziko ya mchana. Katikati ni Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi Juma Kilimba.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Dayosisi ya Morogoro Jacob Mameo Ole Paulo (kulia) akimsikiliza kwa makini Mbunge wa jimbo la Karatu Dkt Wilbord Slaa (kushoto) jana katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.

mbona mi naona Slaa ndiye anaemsikiliza Askofu kwa makini Michu?
ReplyDeleteHalafu we Michu mi nimekushtukizia siku hizi nahisi kuna mtu umempa tenda ya kuandika habari/ picha/ matukio humu globuni. Kuna lugha nyingine inaandikwa humu nagundua kabisa si wewe!!
JAMANI ALIYEANDIKA HABARI HII ANA MAKENGEZA HALI HII INAWAKABILI WAANDISHI WENGI WA TANZANIA.
ReplyDelete