Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Idris Kikula baada ya kukamilisha ziara yake ya kukitembelea Chuo kikuu cha Dodoma UDOM leo kuangalia maendeleo ya ujenzi wa majengo ya Chuo hicho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM, wakati alipotembelea Chuo hapo leo




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Jamani hii sasa kali. Ni juzi tu tumemsikia VC wa Udom alipoongea na waandishi wa habari akigusia swala la udini chuoni hapao. Iweje leo Dreva wa gari jipya linalo beba wafanya kazi wa chuo hicho kupiga nyimbo za kwaya muda wote bila kujali kuwa abiria alio wabeba ni wa dini tofauti. Dreva please kama wanakuzulia, basi nawashauri wakuombe msamaha, lakini kama ni kweli tafadhali jirekebisha kabla halijazua mzozo. Watakuja watu na kanda zao nao ziwekwe, tayari itakuwa kunyosheana vidole. Tahadhali kabla ya hatari. Ushauri wa bure, unafaa chukua haufai basi, lakini yakitokea yatakuwa yako.

    ReplyDelete
  2. Michuzi asante kwa kuweka picha hii,
    huyu Profesa Kikula ni ndugu yangu,mama yake yeye na baba yangu ni mtu na kaka yake, miaka mingi sijamuona.Aliishi na sisi Ubungo wakati anasoma chuo kikuu hapo Dar, lakini kwa sasa hata mawasiliano hakuna.Anyway akisoma hii comment maybe atajua imetoka kwa nani asante.

    ReplyDelete
  3. Wewe Tarehe Tue Feb 23, 09:13:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous
    Acha Uzushi kwani alipokaa kwenu umesema mambo mliyokuwa mkimfanyia? Hii ndio life ni kuachana, wewe ukishangaa ohh alikaa kwetu mwenzako mkuu wa Chuo Kikuu huyu anapaa. Kesho anakuwa WAziri wewe bado tu oooh alikaa kwetu. Chakarika soma sana kijana acha kupiga domo.

    ReplyDelete
  4. mweeeeee wewe uliesema vc ni ndugu yako kwanini ww usiende kumfata na kumsalimia kuliko unaishia kulalama kama bwege mtandaoni , mie vc ni kama baba yangu cz ninakaa kwake tangu zamani na ndugu zake wote nawafahamu so ww ni nani ambaye unalalamika unadai vc alikaa kwenu na kama alikaa kwenu sie tungejua acha kumsema baba yetu ni mtu mzuri asie penda makuu na hupenda ndugu na ndugu zake soo kama unalako mfate kwake au ofisini cz sidhani kama atajua ww ninani kwakupitia blog cz huwa hasomi blog other wize uchapishe kwenye gazeti .. fata ushauri wa huyo hapo juu kakupa ushauri mzuri

    ReplyDelete
  5. Watanzania bwana, wewe wa tarehe 23 mimi nilitoa hiyo comment kumshukuru Michuzi kwa kuweka hiyo picha, sikuwa na maana yoyote mbaya, ijapokuwa wewe umeitafsiri vibaya, his success is my success actually I am very proud to be related to him.
    God bless you all.

    ReplyDelete
  6. Sasa ww unaweka comment zako za malalamiko kwenye public board ili zitusaidie nini, ndo maana kawasahau na nyie pia hamkumfanyia vizuri. Angaika na maisha yako au na ww nenda ukae kwake ukipize. Kwanza enzi zao walikuwa wanakaa chuoni nafasi zilkuwa kibao kakaaje kwenu. mwongo sana. Kuja kwenu kuwatembelea kwenye weekends na likizo ndo iwe nongwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...