

MKUU, hebu waeleze watu kuhusu huyu mtu mweusi mwanamume wa kwanza duniani kushinda medali katika olympics za baridi, na ni mtanzania mwenye asili ya ujerumani lakini baba yake ni mtanzania tena ni dokta hapa dar. kwa kumjua zaidi waweza ukali- google jina lake.
Mdau Canada
Mdau Canada
The German figure skating pair have won bronze in the 2010 Vancouver Olympics. The male of the pair is Black--Afro-German. Is he the first Black man to win a medal in Olympic figure skating? This is Robin Szolkowy, and he has a Tanzanian father Robin Szolkowy.
With partner Aliona Savchenko, he is the 2010 Olympic bronze medalist, 2008 & 2009 World Champion, the 2007 World Bronze Medalist, the 2007-2009 European Champion, the 2008 Grand Prix Final Champion, and a six-time (2004–2009) German National Champion.
Savchenko & Szolkowy scored the first 10.0 ever given by a judge under the ISU Judging System. As of January 2010, they were ranked 1st in the world.
Szolkowy was born in Greifswald, Mecklenburg-Vorpommern, East Germany. His mother, a nurse, met his father, a Tanzanian medical doctor, when the latter was a student in Greifswald. Although Robin had seen photos of his father, the two did not meet until March 2008, in Vienna, Austria. Szolkowy began skating when he was 4 years old. Originally a singles skater, he switched to pairs when he was 16.
During the 2010 European Figure Skating Championships, they led in the short program with 74.12 points, by just 0.2 over Yuko Kavaguti & Alexander Smirnov. They placed second in the free skate with a new personal best 137.60 points, 1.63 behind gold medalists Yuko Kavaguti & Alexander Smirnov, who consequently placed first in the free skate and overall. Overall Savchenko and Szolkowy earned a new personal best score of 211.72 points.
At the 2010 Winter Olympics in Vancouver, Canada, the pair earned their personal best score of 75.96 points in the short program, yet only placed second. Rivals Shen Xue & Zhao Hongbo took the top stop with a world record short program score of 76.66 points.
They placed third in the free skating with 134.64 points, 7.16 behind Qing Pang & Tong Jian, who placed first in that segment. Overall they won the bronze medal with 210.60 points, 5.97 behind of gold medalists and olympic champions Shen Xue & Zhao Hongbo and 2.71 of silver medalists Qing Pang & Tong Jian.
For Source
Mdau umejihatahidi sana kumvuta lakini jamaa bado ni mjerumani tu.
ReplyDelete@ any sn 21 Feb, 01:23pm, So what's your point exactly ?
ReplyDeletediaspora huyo. Mpeni pasipoti ya pili yakibongo.
ReplyDeletemdau thanks manake nilikuwepo humo ila sikujua huyu jamaa ni remix ya kibongo hata ningejua isingewezekana kumpa japo hi hawa wazungu wana viherehere sana na wako senstive acha tu haya mashindano ya kwenye barafu ni matamu sana nimejaribu kuudhuria hudhuria ni muhimu saana olympic nani hapendi kama kuna wadau wako vancouver bc tupeane mawasiliano its sooo fun down here na hakuna baridi ya kuhivyo kama huko madc poleni mwee huku tambarare wadau wa vancouver mawasilianooooo
ReplyDeletemdau vancouver
HUYO NI MJERUMANI,TANZANIA SI HAKUNA DUAL CITIZENSHIP,MSIJIPENDEKEZE
ReplyDeleteMmmmmm !!! hilo jina la baba yake mbona kigugumizi, sounds more baltics. Wa Tz tuna majina yetu si hayo ya shevchenko, Romanov au Simirnoff. Nawakilisha
ReplyDeleteKwani aliwaambieni anataka uraia wa Tanzania? Au nyie wenyewe tu kwa kujikomba? Huyo ni mjerumani tu hata mfanyaje?
ReplyDeleteHata nyie mnaolilia dual citizenship kama mmezaa na wazungu watoto wenu wakiwa wakubwa wala hawatakuwa na mpango na TZ, mtawaburuza hivyo hivyo wakiwa wadogo twendeni kwa bibi, sijui twendeni kwa babu, lakini wakishhakuwa wakubwa wataendelea kivyao na maisha yao.
Kwanza hawatafit na maisha ya bongo na wala msitegemee eti watakuwa wanatuma remittances, hawatumi ng'o. system yao ilivyo wao na maisha yao basi, kama kuja Africa labda ni kwa vile kwao itakuwa cheap vacation wata save pesa za kulala hotel!
Wabongo wengi tuna "backward mentality" mmeambiwa ana damu ya Kibongo halafu mnauliza jina lake si la kibongo.Does name Barack Obama rings a bell?Kwani hamjui mtu unaweza kuchukuwa jina lisilohusiana na Mzazi/wazazi wako.Mfano mzuri ni Mtoto Patrick Vieira au mtoto wa Jamhuri Kihwelo anaitwa Baggio. Wabongo acheni uzumbukuku.Jina si lazima lifanane na la baba yako.Mtoto wangu anaitwa jina anaitwa Mandela Nyerere.Huyu jamaa angekuwa na damu ya kimarekani(Blacks) msingesema lolote wala kuponda lakini kwa vile ana damu ya Kibongo basi midomo mnachonga.
ReplyDeleteMkaribisheni nyumbani Tanzania huyu kijana, sio kutoa comment zisizo na maana, haya yote ni maisha.
ReplyDeleteMdau
Germany
HII kitu inanikorofisha roho sana,ingawa najua kuwa hakuna ninachoweza kufanya ,siku hizi nikisikia maneno hayo, naomba Mungu anipe subira.I am talking about "the first black person to" expression. We are being treated as an entirely different specie on this planet and the hidden meaning or connotation is that we are NOT supposed to do that.
ReplyDeleteComing to think of it let me know when the first goat speaks English.
ANGEKUWA NA URAIA WA NCHI MBILI TANZANIA INGEANDIKWA KWENYW VITABU VYA HISTORIA.LAKI KUNA WATU WANA HASIRA NA URAIA WA NCHI MBILI ETI MSHIKAJI AKIRUDI ATAWACHUKULIA WAKE ZAO.WANGEKUWA WAKENYA,JUMATATU INGEKUWA SIKU YA MAPUMZIKO
ReplyDeleteWE ANONYM UNAYESHANGAA KUWA HILO SIYO JINA LA KITANZANIA HIYO NI TISA,KUMI KUNA MMAREKANI ANAITWA KOKUSHEMEREZWA RUTACHOKOZIBWA.HAKUNA MTU NAYEMSHANGAA WALA KUKOSEA MATAMSHI,HAPA US MWENDO MDUNDO.
ReplyDeleteCORRECTION Sio mtu mweusi wa kwanza kushinda medal kwenye winter olympics ni kwenye skating. Shani Davis was the first and he won gold in the last winter olympics and again silver this winter.
ReplyDeleteMmmmmmh! sihivo, dual citizenship jamani, I rest my case!
ReplyDeletemh!!!ilo tusi la first black man
ReplyDeleteaya bwana mdogo karibu bongo,ingawa yaonekana baba yako alikutupa kiaina yani mmekutana 2008??
hahahahahaaaaa
ReplyDeleteyaleyale ya 'spermdoner', bado uganda kuibuka na wao.
ReplyDelete